Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano


aleesha

aleesha

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
499
Likes
565
Points
180
aleesha

aleesha

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
499 565 180
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano

32954335_1128680623938448_4712255074254979072_n-jpg.782025
 
F

Falconer

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
665
Likes
144
Points
60
F

Falconer

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
665 144 60
Ndugu zangu kwanza niwakumbushe kuwa hamna nchi inaitwa Tanzania bara. Pili, hao wanao sema kuwa Sultani atarudi ni watu wenye akili finyu. Tatu huu munao ita muungano hauna ridha ya wazanzibari. Naomba mwenye mkataba wa muungano atuletee tuuone. Pili, UN haina nakala kuthibitisha muungano huu. Baraza la mapinduzi halikuridhia muungano na pia waznzibari hawaja ridhia muungano.
 
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Messages
8,111
Likes
2,698
Points
280
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2013
8,111 2,698 280
Muungano uliwapo kutokana na shinikizo la mabeberu wa magharibi

Fuatilia vizuri siasa za Tanganyika na Zanzibar kabla ya uhuru,uchaguzi wa zanzibar uliompa ushindi mzee shamte,mapinduzi ya kina okelo,kuingia madarakani mzee karume,mauaji ya kimbari yalotokea baada ya mapinduzi na jinsi Kiongozi wa Tanganyika na Zanzibar walivyoafikiana kuziunganisha nchi zao bila ya kuwashirikisha wananchi wa pande zote mbili na yaliyojiri na yanayoendelea kujiri baada ya muungano huo ndio utaelewa kwanini wazanzibari wengi hawaukubali muungano huu kwa jinsi ulivyo hivi sasa.Historia hii haufundishwi mashuleni wala vyuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fitina ya wapemba tuu ! Fitina mlianza siku nyingi tuu kabla hata mapinduzi. Zanzibar ni mali ya Sultanate of Oman, kama kurudi irudishwe huko !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Messages
8,111
Likes
2,698
Points
280
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2013
8,111 2,698 280
Mimi kama mzanzibari naona hasara tupu kuanzia identity/utambulisho hadi uchumi .... labda utuekeze hizo faida utujuze mkuu
Mlikuwa laki tatu, sasa mpo 1.8 mil. Visiwa havitanuki hivyo na huku bara tupo mil 55 na bado nchi tupu.
Mjue nje ya muungano huku bara unaweza kunyimwa hata viza. Hapo ndo utajua kwanini UK wanahangaika mpaka sasa na Brexit !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Messages
8,111
Likes
2,698
Points
280
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2013
8,111 2,698 280
Inatuhusuuu?? waachieni matatizo yao wayamalize wenyewe.. tangu mmiwashikilia miaka kibawwo mpaka leo hii hakuna amani ya kweli. waachieni wawe huru.. mmiwang'ang'ania tuuuuu
.....kauliza Brexit kwanini inawatesa wa UK wakati wao wana uhuru zaidi na elimu zaidi !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

majeshi 1981

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Messages
1,922
Likes
348
Points
180
M

majeshi 1981

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2013
1,922 348 180
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
huyu ni mfuasi wa sultani seyyid Jamshid aliyepo uhamishoni uingereza, wametumwa, na ni wakuwashughulikia
 

Forum statistics

Threads 1,262,477
Members 485,588
Posts 30,123,273