Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano


aleesha

aleesha

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
512
Points
1,000
aleesha

aleesha

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
512 1,000
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano

32954335_1128680623938448_4712255074254979072_n-jpg.782025
 
Marry Ngowi

Marry Ngowi

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
850
Points
1,000
Marry Ngowi

Marry Ngowi

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
850 1,000
Wa kulipa ni wavamizi kutoka Tanganyika. Laanatullahi Nyerere aliivamia Zanzlbar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi na kumfunga katika jela za Tanganyika pamoja na Mawaziri wake bila kufikishwa mahakamani kabla hata huo uitwao Muungano haujafikiriwa April 26, 1964
hebu weka jina lako kamili na halisi na namba ya cm hapa tuanzie hapo!!
 
ichumu lya

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Messages
1,213
Points
2,000
Age
49
ichumu lya

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2016
1,213 2,000
Kwa wewe Mzanzibar? Mada hii hauwahusu Watanganyika.
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gavana

Gavana

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2008
Messages
21,503
Points
2,000
Gavana

Gavana

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2008
21,503 2,000
huyu ni mfuasi wa sultani seyyid Jamshid aliyepo uhamishoni uingereza, wametumwa, na ni wakuwashughulikia

Mnamhusisha Sultani na mambo mabaya huku mnaziba umafia wa Nyerere na CCM yake na vibaraka wake aliowaweka na namna walivyoifisidi nchi ?? MFALME KAONDOKA HATA NYUMBA HANA, GARI HANAN , SHAMBA HANA WALA HANA MTU ALIYEMDHULUMU KWA KUMBAMBIKIZIA KESIN KUUWA AU KUMUWEKA NDANI KIUMBE YOYOTE,

Angalia mafia ya Nyerere na Gengi lake lilivyofanya,

Kuchukua wake za watu, watoto wa watu, mali za watu , mashamba, nyumba,

Anza na Karume Mkubwa

Kuoa kila siku , kuwa na nyumba za kuchukulia wanawake, kuuwa watu, kutesa watu, kuchukua nyumba za watu , kufunga watu bila sababu ma maovu mengi tu yaliyofanywa na yeye pamoja na baraza lake la vibaraka wa Nyerere

Jumbe

Kujiongezea wake, kufunga watu ovyo wakati wa kuuliwa Karume Sr., Kujijengea majumba mpaka Tanganyika , kumaliza hazina yote ya Zanzibar kwa kumfurahisha Bwana wake Laanatullahi Nyerere,

Ali Hassan Mwinyi,

Kuuwa watu kwenye maandamano ya Sofia Kawawa, kujijengea majumba kila kona na kuyakodisha, family yake maprince kuanza kupewa vyeo ,

Abdulwakil

Kufunga watu bila sababu kwa chuki tu na kuwabambikizia kesi lakini mwisho wake akashituka na kuwaachia kiti chao n

Salmini Amuri

Kuwafunga watu bila sababu kwa kuwabandikizia kesi , kuuza nchi kwa Wataliano
Biashara ya unga kuanza kwa nguvu
Kujiolea wake na kuondoa passport kwa wavamizi kuingia

Karume Jr

Kuuwa watu kwenye maandamano, kujiuzia viwanja na kujijengea mahoteli kwa maprince na princesses

Shein

Kuweka magenge ya kuwapiga wapinzani bure mitaani hata wengine kuwauwa, kuleta wavamizi na kuwafanya ndio viongozi Zanzibar , kuwa ndio hewalla kwa mvamizi kuliko vibaraka wote waliomtangulia
 

Forum statistics

Threads 1,285,009
Members 494,369
Posts 30,847,189
Top