Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

Mahakama ya haki ya Afrika Mashariki sasa iko katika hatua ya kupanga utaratibu wa kuanza kupanga tarehe ya kuisikiliza kesi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo imefunguliwa katika mahakama hiyo na wazanzibari 40,000, kimsingi upande wa walalamikaji unaendelea kujipanga vyema katika hatua ya usikilizwaji wa kesi hiyo ambayo hadi hivi sasa wazanzibari walio wengi zaidi ya asilimia %90 wa Ndani na nje ya Zanzibar wanafuatilia suala hili pamoja na watu mbali mbali katika ukanda wa Afrika Mashariki Afrika na Dunia,Hata hivyo upande wa walalamikiwa Mwana Sharia Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Katibu Mkuu Baraza LA Mapinduzi Zanzibar na Mwana Sharia Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kimsingi upande wa walalamikiwa Serikali zote za Tanzania zinaogopa sana hatua ya kusikilizwa Kwa kesi hii maana hoja zilizowasilishwa ni nzito sana Kwa upande wao hivyo huu ni wakati mgumu sana kwa Serikali za Tanzania Juu ya suala LA Muungano ndani ya kipindi cha miaka 54, hatufikirii kabisa kama wanasharia wa upande wa Serikali wataweza kukabiliana kisheria katika mahakama hiyo yenye mjaji waliobobea
 
...mna matokeo yenu mfukoni !?
Punde tuu mtaelewa nini maana ya ' Baraza la Mapinduzi'
 
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
Stupid

Nothing in all the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity.
 
Kusikilizwa ni jambo jema lakini hao wanaotaka muungano uvunjwe wanatafuta nini ? je ni kweli Zanzibar siyo huru ? na je Tanzania ndiyo Tanganyika ? je katika hayo makubaliano Nyerere na Karume walikusudia baadae uvunjwe ? mi nadhani liko kisiasa zaidi. hii itakuwa kama Libya, Egypt, Tunisia ambao walitumia dhana ya Natural law kujikwamua lakini baadae ikawa shida kwao. Will Autonomy
Makasuku bwana hatari. Libya kwani ilinyimwa uhuru?
 
Wazanzibar sikuzote wana akili za kushikiwa, Wao wanafikiri ni kujitenga tu ndio suluhisho..

Hawajui kuna watanganyika wengi Sana wanaoishi Zanzibar, na ukishaanza ubaguzi huo baadae hawataishia hapo, watakuta kuna wapemba na waunguja, kutokana na ubaguzi waliouanzisha wataanza kubaguana tena wenyewe kwa wenyewe na mambo ya Somalia ndipo yatakapoanzia hapo. Civil war na majanga kibao.. Kinachowafanya wajiite wao ni wazanzibar si kingine ni muungano tu.. Nje ya muungano kuna wao wapemba sisi waunguja
Wimbo wa zilipendwa tokea enzi zileee. Kwani Wazaramo na Wakwere wapo Tanganyika au Zanzibar?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom