johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,992
- 142,010
Hahahaaaa........ Nimecheka sana bwashee!"Huu uzi bwashee ameandika kinafki"View attachment 1926000
Ameen .Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi.
Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen!
Tatizo lako bwashee huwaga hueleweki. Leo wamoto kesho wabaridi.Hahahaaaa........ Nimecheka sana bwashee!
Ni ya uhujumu uchumi tu au na ya ugaidi (zote)?Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi.
Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen!
Ndoano imenasa kooni. Kutema ngumu, kumeza ngumu. Muda utatupa majibu.Ma CCM yatajuta hii kesi ilikuwa miss-calculation sahiv yanashimdwa yaiteme VIP hii kesi
Nadhani ni vyema mawakili wa Mbowe, wamshauri amkatae huyu jaji. Simuamini kabisa. Huyu na hakimu Simba wako kukandamiza haki.Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi.
Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6
Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen
View attachment 1926049
Freeman Mbowe akiongea na Mawakili wake
Hakuna mahakama ya ugaidi!Ni ya uhujumu uchumi tu au na ya ugaidi (zote)?
Iendelee kwenye mahakama gani?!hivi mawakili wa mbowe kwanini wasiachie kesi iendelee ? hivi kuichelewesha kwa mapingamizi siyo kumuumiza mtuhumiwa kweli? mawqzo yangu tu sijui sheria
Sasa huyo gaidi na hiyo kesi yake ya ugaidi shauri lake litasikilizwa wapi?Hakuna mahakama ya ugaidi!
Kweli kabisa"Huu uzi bwashee ameandika kinafki"View attachment 1926000
Afadhali umemalizia kwa kusema hujui sheria, hata mimi sijui sheria, tuwaachie mawakili wake (wanasheria), wanajua wanachofanya.hivi mawakili wa mbowe kwanini wasiachie kesi iendelee ? hivi kuichelewesha kwa mapingamizi siyo kumuumiza mtuhumiwa kweli? mawqzo yangu tu sijui sheria