AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,136
- 4,387
Kuna kipindi watu walikuwa wanapiga makofi wanamshangilia Mwalimu .. huku wamevaa magunia yambolea hali ngumu hata nguo hamna. Nashangaa hadi leo watu wale bado mpo!Mpuuzi wewe na fikra zako. Serikali ya kenya ndio itakayotoa taarifa ya kusimamisha zoezi linaloendelea hapa Tanzania.
Mahakama haiwezi kutoa uamuzi bila kuwapo mtu aliyeenda kulalamika. Hivyo serikali ya kenya ndio itakuja kusema tumeshindwa kesi hivyo zoezi lisimame. Tanzania haina itakachopungukiwa kwani huu ni msaada na kama anayesaidiwa akisema asante inatosha basi. Tatizo nyie wakosa akili mmeona nalo la kufanyia ligi. Kweli ukiwa chadema lazima uwe tahira halisi au hata wa kuigiza