Mbona husemei ya kuhamisha magoli ya utawala wa unaozingatia katiba kuwa utawala wa kiimlaNaona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
Bwege hayupoo?Mbna mnakua vigeu geu hivyo...MLIKUA MNA WIMBO WENU ya kuwa ndani ya nchi hii hakuna DEMOKRASIA especially kipindi cha KIKWETE leo hii unasema Demokrasia ilikuwepo...Daaah nyie badoo sana na NCHII HII mtasubiri sana mpka hapo mtakapo kua mnachunga vinywa vyenu
Naona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
Mbna mnakua vigeu geu hivyo...MLIKUA MNA WIMBO WENU ya kuwa ndani ya nchi hii hakuna DEMOKRASIA especially kipindi cha KIKWETE leo hii unasema Demokrasia ilikuwepo...Daaah nyie badoo sana na NCHII HII mtasubiri sana mpka hapo mtakapo kua mnachunga vinywa vyenu
Tubadilike nini?chadema badilikeni kwa mtindo huu mtalaumu jeshi la polic kweli
Sasa ni maana ya PICHA bila information????WHAT IF I TOLD YOU THAT, THEY DID REQUEST FOR PERMISSION TO HOLD THEIR POLITICS EVENT....Tatzo lenu nyie CDM mnataka jificha kwenye kichaka cha SHIRIKISHO LA VYUO kuhararisha vurugu zenu......
Ndio maana mnalea MAFISADI kwa kisingizio u dont live in the pat.....MTASUBIRI SANA KUTAWALA NCHII MPAKA HAPO mtakapo badilika kwa aina ya SIASA mnayoiyendesha ndani ya NCHI hii.....Hizo zilikuwa siku za nyuma, don't live in the past bud
NDIO maana tunasema CDM chungeni VINYWA VENU mnalea vizazi vya UWONGO mno kila kukicha na NDIO MAANA ni ngumu sana kuhaminika kwa WATANZANIA...ivi kumbe UTAWALA ULIOPITA ULIKUWA WA KATIBA NA SHERIA????sasa kilichokuwa kinawaliza ni nini????..Hivyo kutokana na uvigeu geu wenu huu ndio maaana hata ya WATANZANIA walio wengi hawa wapi ushirikiano zaidi ya kuwaona nyie ni wanafiki mliopitiliza...Hata kwenye hizi lawama zenu juu ya RAIS wa sasa hawawezi kuwaamini kamwe......Mbona husemei ya kuhamisha magoli ya utawala wa unaozingatia katiba kuwa utawala wa kiimla
Napenda kuwaalika kwenye mahafali ya CHASO mkoa wa kilimanjaro (umoja wa wanafunzi wanachadema vyuo vikuu).
Itafanyikia keys ya kiboroloni, moshi mjini, siku ya kesho, jumapili 19/06/2016 kuanzia saa saba kamili mchana. mgeni rasmi ni Salum Mwalimu, naibu katibu mkuu Zanzibar ataongozana na katibu mkuu wa bavicha taifa, katibu wa kanda ya kaskazini amani golugwa pamoja na wabunge wa mkoa wa kilimanjaro.
Karibu sana, naomba sambaza ujumbe huu kwa viongozi na makamanda wote.
Kibona Dickson
(mwenyekiti wa bavicha kilimanjaro)
Tunashukuru kwa taarifa na tutajitahidi kuusambaza ujumbe huu kwa wahusika woteNapenda kuwaalika kwenye mahafali ya CHASO mkoa wa kilimanjaro (umoja wa wanafunzi wanachadema vyuo vikuu).
Itafanyikia keys ya kiboroloni, moshi mjini, siku ya kesho, jumapili 19/06/2016 kuanzia saa saba kamili mchana. mgeni rasmi ni Salum Mwalimu, naibu katibu mkuu Zanzibar ataongozana na katibu mkuu wa bavicha taifa, katibu wa kanda ya kaskazini amani golugwa pamoja na wabunge wa mkoa wa kilimanjaro.
Karibu sana, naomba sambaza ujumbe huu kwa viongozi na makamanda wote.
Kibona Dickson
(mwenyekiti wa bavicha kilimanjaro)
Mkuu ile kukusanyika tu kwa nia ya kufanya hayo mahafali inaonyesha kuwa dhamira yenu imetimia wacha waje na vifaru vyao, mungu ndiye mwenye uwezo wa kupambana naoZa kiitelijinsia zinasemaje? Isijekuwa kama ya Dodoma.