Ni basi tu angetamani afanye hata kisubi coz kiswahili chenyewe majanga.Naona meamua mikutano yote yakimataifa mfanye kwa kiswahili
Ni basi tu angetamani afanye hata kisubi coz kiswahili chenyewe majanga.Naona meamua mikutano yote yakimataifa mfanye kwa kiswahili
Huko ndiko kwenye mitaji yao mikubwa.Huko hawatagusa maana asilimia kubwa ni chadema ila Dodoma,Singida na Katavi wengi wao ni ccm hivyo hawatawaruhusu maana mnawabadilisha mawazo
Hahahahaha, sasa kama watu wamekodisha kufanya mahafali yao hapo nayo hawataki?Polisi wameshaanza uchokozi hapa Keys Hotel. Kuna Landover TDI imeegeshwa getini kuwatisha watu!
Labda kawaambie maiti maneno hayo. Halafu CDM usiwasingizie mimi ni mchangiaji huru. Wewe unachangia toka Lumumba kila la heri ndiyo maana akili zako zimeshikiliwa.NDIO maana tunasema CDM chungeni VINYWA VENU mnalea vizazi vya UWONGO mno kila kukicha na NDIO MAANA ni ngumu sana kuhaminika kwa WATANZANIA...ivi kumbe UTAWALA ULIOPITA ULIKUWA WA KATIBA NA SHERIA????sasa kilichokuwa kinawaliza ni nini????..Hivyo kutokana na uvigeu geu wenu huu ndio maaana hata ya WATANZANIA walio wengi hawa wapi ushirikiano zaidi ya kuwaona nyie ni wanafiki mliopitiliza...Hata kwenye hizi lawama zenu juu ya RAIS wa sasa hawawezi kuwaamini kamwe......
Siku zote ukweli mchungu...Afu endeleeeni kukariri kila mtu ni wa LUMUMBA......Labda kawaambie maiti maneno hayo. Halafu CDM usiwasingizie mimi ni mchangiaji huru. Wewe unachangia toka Lumumba kila la heri ndiyo maana akili zako zimeshikiliwa.
Hasa wewe maana haki zako huzijui, kama unazijua uko tayari kuzikasimu, huo ndio ulumumba.Siku zote ukweli mchungu...Afu endeleeeni kukariri kila mtu ni wa LUMUMBA......
HAKI ZANGU NAZIFAHAMU SANA MKUU na nina zipata maana siishi kwa jasho la mtu....Kingne hizo haki unazo lilia wewe haziwezi letwa na aina ya VIONGOZI waliopo ndani ya chama chako kwa sasa......Hasa wewe maana haki zako huzijui, kama unazijua uko tayari kuzikasimu, huo ndio ulumumba.
Waliofanyiwa na CCM iringa jana wenyewe unawaweka kundi gani?Hivi kuna tija gani kufanya mahafali kwa sura ya kichama. Nauliza kuna umuhimu kwa mwanafunzi aliyesomeshwa kwa shida na mzazi wake tangu STD I. .kulipa ada na mahitaji yote muhimu hadi Chuo kikuu. .na pengine akapewa mkopo na SERIKALI. .halafu huyu mwanafunzi akafanyiwe mahafali na Chadema. ?
Kuna positive impact gani atakayoipata mwanafunzi huyu au mzazi wake kufanyiwa mahafali na Chadema!
Kama ni vijana waliodhaminiwa na Chadema kusoma kuna point. .kama sivyo mi naona ni kick tu za kisiasa. .na zaidi ya yote hao wanafunzi kama wanakubali kutumika hivyo. .hakuna walichoelimika shuleni. .aidha wameenda tu shule kwa bahati mbaya,vyuo vya hovyo, kwa akili za hovyo, na kwa matokeo ya hovyo.
Unasomeshwa na mzazi wako au sponsor wako. .halafu unaenda kufanyiwa mahafali na Chadema? ???
Hata Mke ukimtaka lazima uquantify gharama za mzazi kukusomesha. Tumelogwa na nani??!Hivi kuna tija gani kufanya mahafali kwa sura ya kichama. Nauliza kuna umuhimu kwa mwanafunzi aliyesomeshwa kwa shida na mzazi wake tangu STD I. .kulipa ada na mahitaji yote muhimu hadi Chuo kikuu. .na pengine akapewa mkopo na SERIKALI. .halafu huyu mwanafunzi akafanyiwe mahafali na Chadema. ?
Kuna positive impact gani atakayoipata mwanafunzi huyu au mzazi wake kufanyiwa mahafali na Chadema!
Kama ni vijana waliodhaminiwa na Chadema kusoma kuna point. .kama sivyo mi naona ni kick tu za kisiasa. .na zaidi ya yote hao wanafunzi kama wanakubali kutumika hivyo. .hakuna walichoelimika shuleni. .aidha wameenda tu shule kwa bahati mbaya,vyuo vya hovyo, kwa akili za hovyo, na kwa matokeo ya hovyo.
Unasomeshwa na mzazi wako au sponsor wako. .halafu unaenda kufanyiwa mahafali na Chadema? ???
Hivi kuna tija gani kufanya mahafali kwa sura ya kichama. Nauliza kuna umuhimu kwa mwanafunzi aliyesomeshwa kwa shida na mzazi wake tangu STD I. .kulipa ada na mahitaji yote muhimu hadi Chuo kikuu. .na pengine akapewa mkopo na SERIKALI. .halafu huyu mwanafunzi akafanyiwe mahafali na Chadema. ?
Kuna positive impact gani atakayoipata mwanafunzi huyu au mzazi wake kufanyiwa mahafali na Chadema!
Kama ni vijana waliodhaminiwa na Chadema kusoma kuna point. .kama sivyo mi naona ni kick tu za kisiasa. .na zaidi ya yote hao wanafunzi kama wanakubali kutumika hivyo. .hakuna walichoelimika shuleni. .aidha wameenda tu shule kwa bahati mbaya,vyuo vya hovyo, kwa akili za hovyo, na kwa matokeo ya hovyo.
Unasomeshwa na mzazi wako au sponsor wako. .halafu unaenda kufanyiwa mahafali na Chadema? ???
Kwani graduation ni siasa.?Naona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
Upunzishwe manakePdidy. Kiswahili chako majanga! Itabidi upunzishwe. Hawajambo kurasini!?
Mkuu, hapo kwenye maandishi mekundu Jaribu kupafanyia kazi. Hakuna kiingereza cha stick on. kuna cha stick toStick on the topic we are discussing here...Acha kuhamisha magoli