Mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

Mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

Ndio maana mnalea MAFISADI kwa kisingizio u dont live in the pat.....MTASUBIRI SANA KUTAWALA NCHII MPAKA HAPO mtakapo badilika kwa aina ya SIASA mnayoiyendesha ndani ya NCHI hii.....
Politics is dynamic don't be conservative
 
Napenda kuwaalika kwenye mahafali ya CHASO mkoa wa kilimanjaro (umoja wa wanafunzi wanachadema vyuo vikuu).

Itafanyikia keys ya kiboroloni, moshi mjini, siku ya kesho, jumapili 19/06/2016 kuanzia saa saba kamili mchana. mgeni rasmi ni Salum Mwalimu, naibu katibu mkuu Zanzibar ataongozana na katibu mkuu wa bavicha taifa, katibu wa kanda ya kaskazini amani golugwa pamoja na wabunge wa mkoa wa kilimanjaro.

Karibu sana, naomba sambaza ujumbe huu kwa viongozi na makamanda wote.

Kibona Dickson
(mwenyekiti wa bavicha kilimanjaro)
wameacha siasa bungeni wanazurura kila kona nchini kumwita jpm dikteta na eti el ndio alishinda uchaguzi lakini kwa kupata wabunnge kiduchu. uongo wa mchana jua linawaka. el ashinde ila wabunge cdm hakuna. cdm lazima washugulikiwe wasitupotezee muda. uhuru wa kuropoka wapinzani enzi ya jk sanasana tumeona rushwa na uzembe vikipaa. sasa kazi tu.
 
Naona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
Wewe ni zaidi ya vuvuzela mbona ccm jana hiyo hiyo wamefanya hayo mahafali?
 
Mbna mnakua vigeu geu hivyo...MLIKUA MNA WIMBO WENU ya kuwa ndani ya nchi hii hakuna DEMOKRASIA especially kipindi cha KIKWETE leo hii unasema Demokrasia ilikuwepo...Daaah nyie badoo sana na NCHII HII mtasubiri sana mpka hapo mtakapo kua mnachunga vinywa vyenu
Wewe kama unadhani ndiyo unaipigania nchi hujui kuwa ndiyo unaigawa na kama una akili jirudi husije ukajikuta unatafuta milioni 7
 
Naona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
Binadamu hubadilika hawafanyi yaleyale siku zote kama kuku wa kuchakura tangu aumbwe!
 
chadema .

.daaa tangia aondoke slaa imebaki mizimu tu pale ...
 
pnguzen uxabki w kpuuz... jal family yko n malngo yko... mnpokua chuo ndo mwashiindwa kjitambua.. mwatawliwa hta n siasa changa hv!!!!???
 
Sasa ni maana ya PICHA bila information????WHAT IF I TOLD YOU THAT, THEY DID REQUEST FOR PERMISSION TO HOLD THEIR POLITICS EVENT....Tatzo lenu nyie CDM mnataka jificha kwenye kichaka cha SHIRIKISHO LA VYUO kuhararisha vurugu zenu......
Machadema mengi hayajitambui kabisa.
 
Dahh enzi zetu vyuoni kulikuwa na amani sana si kama sasa kila chama kina wanafunzi wake full kuzingua wanaishia kufeli tuu chuoni mmekwenda kwa lengo moja kusoma siasa mtafanya baadae endekezeni ushabiki maandazi muendelee kunywa supu na kucheza disco
 
Naona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
unaishi wapi mkuu na uliizaliiwa mwaka gani? mahafari za chaso zipo miaka yote lakini ccm hawafanyi coz wanawannachama wachache vyuoni
 
Naona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
Mbona ilikuwa kawaida tu ndiyo maana hukuwa unaona kama ni big deal.
Sasa mkurupukaji wako ana hofu kila kona muda wote kukimbilia chooni
 
Back
Top Bottom