Mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
Napenda kuwaalika kwenye mahafali ya CHASO mkoa wa kilimanjaro (umoja wa wanafunzi wanachadema vyuo vikuu).

Itafanyikia keys ya kiboroloni, moshi mjini, siku ya kesho, jumapili 19/06/2016 kuanzia saa saba kamili mchana. mgeni rasmi ni Salum Mwalimu, naibu katibu mkuu Zanzibar ataongozana na katibu mkuu wa bavicha taifa, katibu wa kanda ya kaskazini amani golugwa pamoja na wabunge wa mkoa wa kilimanjaro.

Karibu sana, naomba sambaza ujumbe huu kwa viongozi na makamanda wote.

Kibona Dickson
(mwenyekiti wa bavicha kilimanjaro)
 
Naona kipindi hiki mmeamua kweli kuhamisha magoli...MBNA SIKU ZA NYUMA MLIKUA HAMFANYI HIVI.....huku ni kutafta HEADLINE tuh mnataka mvunje sheria kupitia haya mashirikisho JESHI LA POLISI lije muonekane mnaonewa.....
 
Kulikua kunafanyika lakini demokrasia ilikuwepo
 
Mbna mnakua vigeu geu hivyo...MLIKUA MNA WIMBO WENU ya kuwa ndani ya nchi hii hakuna DEMOKRASIA especially kipindi cha KIKWETE leo hii unasema Demokrasia ilikuwepo...Daaah nyie badoo sana na NCHII HII mtasubiri sana mpka hapo mtakapo kua mnachunga vinywa vyenu
Wenye hofu ni nyie
 
Napenda kuwaalika kwenye mahafali ya CHASO mkoa wa kilimanjaro (umoja wa wanafunzi wanachadema vyuo vikuu).

Itafanyikia keys ya kiboroloni, moshi mjini, siku ya kesho, jumapili 19/06/2016 kuanzia saa saba kamili mchana. mgeni rasmi ni Salum Mwalimu, naibu katibu mkuu Zanzibar ataongozana na katibu mkuu wa bavicha taifa, katibu wa kanda ya kaskazini amani golugwa pamoja na wabunge wa mkoa wa kilimanjaro.

Karibu sana, naomba sambaza ujumbe huu kwa viongozi na makamanda wote.

Kibona Dickson
(mwenyekiti wa bavicha kilimanjaro)
Vijana Wa CCP - chuo cha polisi jiandaeni kufanya practical....specimen hizo
 
Back
Top Bottom