Magufuli yupo wapi

Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Waulize CCM ni wapi alipo Lowasa hahaahaa watakueleza kila kitu hadi nguo alizovaaa! Na idadi ya watu waliohudhuria ila sasa waulize yuko wapi mgombea wao! Zzzzzzzzzz
 
Wakawa. Wanahangaika. Mnafikiri ile pete ya uchawi ya mgombea wenu wa urais inaweza kumdhuru Rais wa Tanzania Magufuli? Nguvu ya hiyo pete ni kujaza wahuni kwenye mikutano tu

Umeulizwa magufuli yupo wapi!ss maswala ya Pete yamekujaje?mbona wafuasi wa ccm ni mambulula hivyo jamani?
 
Endeleeni kujipa matumaini kama ya el wanaukawa. Kesho Tingatinga ndani ya Lindi. Mnazani ni huyo zezeta asojua anamnadi nani mpaka linakosea kila siku kwa kukosa kumbukumbu.
 
Jamani muogopeni Mungu nyie watu. Kutokuonekana JPM leo tu imekuwa nongwa? hata akipumzika jumapili mnataka hadi muambiwe? ngojeni kesho muone!
 
Magufuli aliuguwa akiwa Mbeya mkapa sauti ikakata.... sasa ndio amezidiwa kabisa akiwa pagamoyo.
 
Inaonekana mtoa mada hafuatilii matangazo ya biashara, sasa hivi Magufuri anawazidi hata cocacola, tigo na voda kwa matangazo ya biashara yake na kwenye mabango ndio usiseme mpaka kinyaa.

Teh! Hatari hii
 
Amepumzika,kwani kampeni lazima awepo yeye kila siku? Hapa ni kujipanga na kuchukua pumzi ya kumalizia wiki ya mwisho.....

Wewe utakuwa mzee kingunge mmeishiwa punzi..bebeni oxgen(wasanii)
 
Ndio tatizo la kuokota embe, wengine wamehangaika ponda wewe waokota tu...
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga

sema ukweli acha porojoo!!! unafikiri hatujui alipooo??
 
Electrical engineering module 2
1.Determine motor speed in RPM that we'll fed adult can maintain via hand cranking in absence of grid power. (10 marks)
2.Determine the maximum time in seconds the well fed adult can maintain the above RPM within a margin error less than two standard deviations.(10 marks)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom