Ngoja waje kujibu na mie nipate pakuanzia
Pacemaker imefyatuka. Chezea pushups wewe!
Wanasubri mtarajiwa atoe majibu..c unajua January hachelew kuita waandishi wa habari??
Jidu ungeanza kuuliza babu duni kapotelea wapi.wiki ya tatu hii haonekani
Tupo tangu kale, CCM ile ile, wapinzani tupa kule...Maghufuli-#jembe-#jembe-,-#CCM-namba moja, naipenda mwenzio...
Mnayedhani mzima ndiyo hivyo kalazwa hospitali tena za nchi za watu wengine!.
Tusijeshangaa kuletewa taarifa za "kuzima" kwa kukosa mafuta
Wiki hii wametangaaaaaza kuwa wangekuwa na Mzee Mkamba viwanja vya Mwembe yanga. Cha ajabu wakawepo wale vijana wa UVCCM wahuni na wenye midomo michafu iliyojaa mitusi mithiri ya choo cha shimo!!
Something is wrong with him. Muda haudanganyi ni lazima tu waumbuke hawa!,
Mbona unakwepa swali? Tuambie alipo Magufuli, mmempigisha mapush up na kumrusha kichura betri aliyowekewa imeishiwa charge mtakoma.Wakawa. Wanahangaika. Mnafikiri ile pete ya uchawi ya mgombea wenu wa urais inaweza kumdhuru Rais wa Tanzania Magufuli? Nguvu ya hiyo pete ni kujaza wahuni kwenye mikutano tu
Wandugu mwenye kujua sababu ya kutokuonekana kwa huyu mgombea majukwaani kwa siku ya pili leo atujuze. Nimemiss mapush up
Magufuli anaumwa hii kutoka vyazo sahihi.....toka akiwa bagamoyo hali yake haikuwa Njema