Jana alikua Chalinze na bagamoyo. Leo Mapumziko kesho utamsikia Zazibar.
Hadi jana, tarehe 10.10.2015, Dkt. Magufuli alikuwa amekwishatembelea Mikoa 22 na Majimbo 203. Amekwishafanya mikutano mikubwa rasmi 240 na mikutano 865 ya kusimamishwa na wananchi njiani, hasa wananchi wa vijijini.
Picha hizi ni mikutano ya jana na juzi
View attachment 297655View attachment 297656
tupo Nachingwea Lindi kwenye kampeniWadau ni siku ya tatu leo mgombea uraisi wa ccm haonekani jukwaani na kuna taarifa kwamba mzee mkapa ameitwa kusimama jukwaani ili kuokoa jahazi. Inaleta utata maswali yamekuwa mengi mtaani, mwenye taarifa aliko magufuli tupia hapa tafadhali.!
2namsubir kwa ham huku kgambon,aje ku2nesha jinc ya kuvuka kwa kupga mbiz baharn
Wadau ni siku ya tatu leo mgombea uraisi wa ccm haonekani jukwaani na kuna taarifa kwamba mzee mkapa ameitwa kusimama jukwaani ili kuokoa jahazi. Inaleta utata maswali yamekuwa mengi mtaani, mwenye taarifa aliko magufuli tupia hapa tafadhali.!
Sauti ya mgao wa escrow na epa! Ulitumia ngapi kununua mboga?Tupo tangu kale, CCM ile ile, wapinzani tupa kule...Maghufuli-#jembe-#jembe-,-#CCM-namba moja, naipenda mwenzio...
Yupo. Fuatilia matangazo ya biashara na kipima joto.
Yupo Lumumba na jopo wanaandaa upya ilani ya uchaguzi ya CCM.
mambo yamewaendea kombo CCM wamepagawa.
Labda amekwenda Nigeria kwa TB Joshua kupata 'unabii'nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kupitia vituo mbalimbali tangu jana tarehe 10/10 nimeona zinarushwa za Edward Lowassa, Samia Suluhu, Maalim Seif, Babu Duni na Dr Shein. Wadau kwa anayejua Magufuli yupo wapi atujuze.........
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?
Kasusa kwani kachoka kupiga push up, huku akiona hazisaidii kitu
Wadau ni siku ya tatu leo mgombea uraisi wa ccm haonekani jukwaani na kuna taarifa kwamba mzee mkapa ameitwa kusimama jukwaani ili kuokoa jahazi. Inaleta utata maswali yamekuwa mengi mtaani, mwenye taarifa aliko magufuli tupia hapa tafadhali.!