Magufuli yupo wapi

Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Tumemmisi mkuu, UKAWA tunataka Ushindi usiokuwa na visingizio. Mwangalieni mkapa asije kutukana tena muwe mnamwandalia vya kusema, Kikwete apite mikoa ya CCM na mwambie asikanyage Arusha, Mara, Mbeya, Iringi labda aende mikoa ya pwani na ngoma ya mdundiko atawapata wanawake wengi. Tunamtaka Magufuli maana anafurahisha sana Jukwaani kama Comedy[/QU
 
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?

Tarehe 10, Dr Magufuli alikuwa Bagamoyo, tarehe 11 alikuwa kwenye vikao vya Chama na leo hii tarehe 12 yuko Nachingwea!
 
Tumemmisi mkuu, UKAWA tunataka Ushindi usiokuwa na visingizio. Mwangalieni mkapa asije kutukana tena muwe mnamwandalia vya kusema, Kikwete apite mikoa ya CCM na mwambie asikanyage Arusha, Mara, Mbeya, Iringi labda aende mikoa ya pwani na ngoma ya mdundiko atawapata wanawake wengi. Tunamtaka Magufuli maana anafurahisha sana Jukwaani kama Comedy[/QU

Huyo Mkapa anawatafutia watu balaa la bure! Watu sasa hivi wamesha chemka naye anaweza kuja na matusi yake wao nao wakashindwa kustahimili wakamtukana jukwaani sijui kama atavumilia Mmakuwa yule.
Kama amejiandaa na matusi yake naomba ziara yake ianzie Tarime.
 
Wadau ni siku ya tatu leo mgombea uraisi wa ccm haonekani jukwaani na kuna taarifa kwamba mzee mkapa ameitwa kusimama jukwaani ili kuokoa jahazi. Inaleta utata maswali yamekuwa mengi mtaani, mwenye taarifa aliko magufuli tupia hapa tafadhali.!
 
Aje tumuulize kwanini mitambo ya kufua gas kinyerezi ni ya makampuni binafsi!Huu ni ufisadi mwingine!
 
tanzania nchi yangu na magufuli raisi wangu 2015-2025, ccm mbele kwa mbele
 
Nasikia kasusa baada ya kushuhudia mafuriko ya Laigwanani mkuu.
 
hali ni mbaya sana, ccm waanze phase out mapema na wasione aibu kwa hilo
 
Aje tumuulize kwanini mitambo ya kufua gas kinyerezi ni ya makampuni binafsi!Huu ni ufisadi mwingine!
Hapo hatakujibu ila atasema serekali yangu itahakikisha.....,hapo ndio ujue fix kama kawa chini ya mwavuli uleule wa ccm
 
2namsubir kwa ham huku kgambon,aje ku2nesha jinc ya kuvuka kwa kupga mbiz baharn
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom