diplomatics
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 217
- 46
Angalia star tv utajua yupo wap?
Wakawa. Wanahangaika. Mnafikiri ile pete ya uchawi ya mgombea wenu wa urais inaweza kumdhuru Rais wa Tanzania Magufuli? Nguvu ya hiyo pete ni kujaza wahuni kwenye mikutano tu
Amepumzika,kwani kampeni lazima awepo yeye kila siku? Hapa ni kujipanga na kuchukua pumzi ya kumalizia wiki ya mwisho.....
Si waseme tu alipo..!!!Ratiba kutoka NEC kwa ajili ya ya Mgombea Urais wa CCM inasema:
Tarehe 10/10/2015: Mikoa mitatu ya Unguja (Kaskazini, Kusini, Mjini Magharibi)
Tarehe 11/10/2015: Mkoa wa Pwani (Mafia) na Lindi (Kilwa)
Tarehe 12/10/2015: Mkoa wa Lindi (Ruangwa, Lindi M, Lindi V, Nachingwea)
Haya jaribu kufuatilia kujua sasa yuko wapi, mjumbe hauawi!!!
hizn ni tetesi wewe acha wengeMkifatiliwa na kuchukuliwa hatua kali mnalalamika!!! Wewe unafikiri ulicho andika hapa kina hata chembe ya ustaarabu?
Been warned.hizn ni tetesi wewe acha wenge
Jidu ungeanza kuuliza babu duni kapotelea wapi.wiki ya tatu hii haonekani
Magufuli chaliii.
Siku mbili kimya lazima kuna jambo hapo, kama hajanock atakua anamsubiri diamond arudi kutoka usa ili aendelea kutengeneza mafuriko bila hvyo hapati watu.
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?