Magufuli vs Ephraim Mrema

no coment. Ila magufuli ni muoga na hana ujasiri wa kuwa face wakuu wake wa kazi, ingawa anajituma sana,nakumbuka 2005,alikataa katakata kuchukua form ya kugombea u prezidaa" eti kwakua jk anautaka.
Aisee... Ashakuwa prezidaa sasa...
 
no coment. Ila magufuli ni muoga na hana ujasiri wa kuwa face wakuu wake wa kazi, ingawa anajituma sana,nakumbuka 2005,alikataa katakata kuchukua form ya kugombea u prezidaa" eti kwakua jk anautaka.

Duh! Ya kweli haya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom