Rais Magufuli, Ephraim Mrema umemuweka kiporo?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
8,851
2,000
Kama kuna wakati TANROADS ilikuwa na uozo ni wakati wa CEO wake Ephraim Mrema.
Madeni mengi kama siyo yote yaliasisiwa na huyu jamaa.
Nauliza huyu kawekwa kiporo?

Wandugu,
Kama tujuavyo, Waziri wa ujenzi, Dr. John P. Magufuli, mchapa kazi, mbunifu, mchukia ufisadi, na asiyependa ubabaishaji. Wakati huo huo, mkurugenzi TANROADS, Ephraim Mrema, ni mbabaishaji, mzembe, mkumbatia ufisadi, na inasemekana kawekwa pale kulinda uozo wa wakubwa wa nji hii.
Sipati picha siku ikitokea magufuli akiwa katika harakati za kusaficha uchafu kwenye wizara ya ujenzi kama vile kuwafukuza wakandarasi wababishaji, kama ilivyokuwa enzi zile kwenye awamu ya Ben Mkapa. Kufika TANROADS akakutana na madudu ya Mrema. Je mrema atamtunishia kifua kwa sababu tu ni mteule wa Rais na yuko supported na vigogo wala nchi?
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
83,113
2,000
Watu wengi waliokuwa wizara ya ujenzi au TANROADS ndio wanaokula nchi kwa sasa , fanya uchunguzi mdogo tu .
 

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,171
2,000
Mrema alivyokuwa TANROADS na yeye alikuwa Waziri wa Ujenzi na ndio kipindi kile report nyingi za CAG zilikuwa zinaitaja Wizara ya Ujenzi kwa madudu.
 

mwanza

JF-Expert Member
May 7, 2009
761
500
Mrema alivyokuwa TANROADS na yeye alikuwa Waziri wa Ujenzi na ndio kipindi kile report nyingi za CAG zilikuwa zinaitaja Wizara ya Ujenzi kwa madudu.
Magufuri alikuwa wizara ya kitoweo wakati Mrema akiwa Tanroads na JPM aliporudishwa Ujenzi alianza na kumtoa Mrema na alimzuia kuajiri mameneja wa mkoa wa Tanroads.
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
11,306
2,000
Mkuu unaongea zaidi miaka 8 huko nyuma!!! Alishaondoka siku tele tele pale sasa kuna ghost mmoja mmoja kuondoka amepata stroke na limguu Amewekewa dude hata sijui nini anatembea kama robot(Mungu anisamehe) hataki kupumzika!!!! Anatembea kama robot kabisa.......ila anakomaaaaa.....hakuna yasiyo na mwisho! Apishe wengine!!!
Kama kuna wakati TANROADS ilikuwa na uozo ni wakati wa CEO wake Ephraim Mrema.
Madeni mengi kama siyo yote yaliasisiwa na huyu jamaa.
Nauliza huyu kawekwa kiporo?
 

mgoloko

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
4,757
2,000
Kama kuna wakati TANROADS ilikuwa na uozo ni wakati wa CEO wake Ephraim Mrema.
Madeni mengi kama siyo yote yaliasisiwa na huyu jamaa.
Nauliza huyu kawekwa kiporo?
Ukimwaga ugali nami namwaga mboga! Kamwe hawezi kutumbua mtu huko Tanroads sabb nao wanamjua vizuri kwenye "upigaji" alioufanya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom