Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Watu mnaokuja na hoja hii ni mbumbumbu kiwango cha rami
Mtu kasoma toka primary hadi ngazi ya PHD hawezi hata kuongea sentensi mbili?
Kumbuka wachina wao wanasoma kwa kichina tofauti na sisi
Rami ndio nini?
 
Sasa hii si anasoma tu man...

We jamaa kumbe una matatizo pia kidogo
Mpe na baba Jesca asome uone. Maana huko zimbabwe kasoma na bado akichomekea anatoa boko. Lafudhi mbayaaa anajyaga neno catalyst tu na we are suppose
 
Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Mkuu Mbowe yupo vizuri sana kwenye hiyo lugha pamoja na kuwa hana digrii yoyote. Angekuwa na Phd hata ya maganda ya kahawa ungekuwa moto wa kuotea mbali. Tafuta clips zipo umsikie akitema ung'eng'e
 
Lugha kuu duniani ni…
English
French
Spanish
Germany na kichina

Kiswahili kipo?
Ukijua yoyote kati ya hizo 5 juu utaishi popote duniani
 
Chancellor anajua kijerumani kwa sababu kasoma kwa kijerumani hadi chuo kikuu. sasa uliyesoma kwa kiingereza hadi PhD na ulikuwa unafundisha kwa kiingereza unashindwaje kukijua!
 
Kwanini asiende na mkalimani?
Huyu jamaa ipo siku watamuomba nyuma kwa kngel alafuf sjui ndio itakuaje ngoja adesh chz
 
Lugha ya kiingereza tunafundishwa shuleni sasa namba moja anaposhindwa kufundishika kwa vitu vidogo kama lugha, inakuwaje!?
 
Uachage uongo!!! Mbowe yuko vizuri si kama huyo mwendawazimu wenu wa Ikulu kilaza wa Phd FAKE ya kununua.


Injinia soma hiyoooooo!

Mie maimuna

Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
 
Aendelee na moto huohuo, tuache kijikomba kwa kuongea lugha za kigeni tuitangaze lugha yetu adhimu ya kiswahili.
 
Binafsi namshauri rais achape Kiswahili tu,bila kuchanganya neno
hata moja la lugha ya kigeni,mabalozi wetu huko nje anakotembelea
wafanye kazi ya kutafsiri, hii itampa heshima sana yeye binafsi na nchi yetu pia.
Yeye ni rais wa watanzania ambao lugha yao ni Kiswahili,wengine watafsiriwe
ili waelewe anachokiongea.
 
AIBUUUUUUUUUUU! 🙉🙉🙉🙉 kilaza kama huyu anasukumiziwa Ikulu na mafisadi Kikwete na Mkapa eti aiongoze nchi!! 🙉🙉🙉🙉

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…