Magufuli tumkosoe Lowassa no!!

Magufuli tumkosoe Lowassa no!!

Kusema ukweli ndugu kama kuna raia bado ana imani na hawa wanasiasa basi hana budi kupimwa akili......maana wametufanya sisi kama mandondocha yao..........
Wanaweza leo wakamtukana mtu kwa kila aina ya tusi lakini kesho akiwa upande wao anakuwa mweupe kama theruji......

Hata hizi tuhuma wanazomrushia Magufuli hutaweza kusisikia akiwa upande wa pili......

Na mkuu ndo kashasema tuanzishe mikutano ya Kupinda Udikteta, katoa amri.

Wakati wa kampeni za urais hatukuruhusiwa kuuuzungumza ufisadi, na nadhani mpaka sasa hiyo siyo agenda yetu kabisa.

Uchaguzi wa 2015 umenifanya niachane na habari za kutetea chama chochote kile cha siasa na wanasiasa wake, hakuna mkweli, wote ni opportunists tu.
 
Nijuavyo mwizi, fisadi wote wakibainika tu upelekwa mahakani, sasa ni miaka 9 bado utasikia viongozi wetu tena wenye mamlaka na ushawishi wa kisiasa wakiendelea kuimba "huyo fisadi" but sehemu husika kwa mafisadi wanapajua. Kama ni fisadi mpelekeni mahakamani mkishindwa "keep quiet"
 
Yaani ufisadi aliofanya lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno ,na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
niitegemea wewe uwe wa kwanza kwenda mahakamani. sheria iko silence kuhusu jambo hilo hivyo haikuzuii hata wewe unaweza kwenda mahakamani. kupiga kelele na kulalamika hapa jukwaani ni uoga, ni kukosa uzalendo, ni ulofa, ni upumbavu, ni kutuchosha tu. hata hivyo we kama nani wa wakujifanya unamjua sana lowasa?
 
Inasikitisha sana lakini ukweli ndo huo,,,,ufisadi haufutiki kwa kubadili mavazi
 
Yaani ufisadi aliofanya lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno ,na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!

Tatizo lenu ni moja tu, mnaongea sana but action ni ziro, lowasa yupo pale masaki, mahakama zipo, police wapo, why hamuendi kumkamata? mbona wakina gwajima huwa mnawakamata? kama hamuwezi kumkamata na kumfungulia mashtaka basi na mnyamaze kimya...
 
Stay turned atashugulikiwa
Siku atakayo shughulikiwa ndo siku ambayo ccm itafutika rasmi bongo, naitamani sana hiyo siku, yani ni bora ccm waikubali katiba ya Warioba kuliko kumshughulikia Lowasa. Amini nakwambia.
 
Na mkuu ndo kashasema tuanzishe mikutano ya Kupinda Udikteta, katoa amri.

Wakati wa kampeni za urais hatukuruhusiwa kuuuzungumza ufisadi, na nadhani mpaka sasa hiyo siyo agenda yetu kabisa.

Uchaguzi wa 2015 umenifanya niachane na habari za kutetea chama chochote kile cha siasa na wanasiasa wake, hakuna mkweli, wote ni opportunists tu.
Hakika wewe unakitumia vyema kichwa chako.......ni miinga pekee ndio mwenye kuwaamini hawa wanasiasa wetu.....
 
Mkuu ni shida, umekaa kijiweni unasema Lowassa ni fisadi, dakika chache unaambiwa mmempokea na hivyo mnatakiwa kuanza kumsafisha na kumsifu!

Tulikimbia vijiwe kipindi kile.
 
Yaani ufisadi aliofanya lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno ,na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
Hizi ni porojo tu, mnamuogopa mtu mzima edo
 
CCM hamuishi vituko
1469636718773.jpg
 
Miaka 8 mmeishi na fisadi hamjamfanya kitu.. Okay fine alikuwa ndani ya nyumba yenu..

Sasa ni mwaka mzima nje ya nyumba yenu and still hamumfanyi chochote na ndio kwanza anaendelea kuweka mikakati..

Msitufanye viçhaa kwa siasa zenu za kipumbavu.. Hii ni kwa wote, CDM na CCM
Umenena vyema mkuu, sitaki kupofushwa kwa maneno yasiyo na tija
 
Leo imeanzishwa operesheni maalum ya kutetea mafisadi kwa kisingizio za haki za binadamu.Ati mafisadi wawekewe UKUTA wasishtakiwe.
 
unatuambia si umpeleke mahakamani kama unaushahidi huko ndio kwenye haki sisi unataka tumfanyaje wakati kuna penye kudai haki
 
Dah...
"Ukitaka kuepuka nzi basi tupa kibudu" - Mpendazoe
 
Back
Top Bottom