kama hao uliowataja wanajua ufisadi wa Lowasa kwa nini wasipeleke ushahidi mahakamani, yaani wewe unaona ni haki kuwapeleka mahakamani wale wanaogoma kutoa ushirikiano wa kuwataja wasio na kazi alafu huyu Lowasa wanamuacha tu,ingawa ushahidi wanaoYaani ufisadi aliofanya lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno ,na kumuita mwana mabadiliko??
Are we stupid people??
Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??
Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!
Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?
Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?
Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!
Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?
Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!
Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??
Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!
Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?
Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu
Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi
Ila ukweli nikwamba jipu la lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine
Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!
Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!
Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
Kwa kuwa ana uwezo wa kuivimbia serikali pamoja na wizi au tuseme ufisadi( tumepata kumjua kama fisadi kupitia CDM) ndio maana mkaamua kushirikiana na fisadi......?!!!Kwa jinsi CCM wanavyomtukana Lowassa nategemea awe wa kwanza kupelekwa mahakamani.
Kitu ambacho CCM na serikali yake hawana uwezo huo
Mkuu ushaidi anao myika
Jitahidi sana kwa mada zisizokuwa na weledi ili ule. Keep on. Yamkini kuna siku utapata ufahamu.Yaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??
Are we stupid people??
Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??
Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!
Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?
Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?
Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!
Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?
Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!
Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??
Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!
Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?
Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu
Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi
Ila ukweli nikwamba jipu la Lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine
Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!
Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!
Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
Kwa kuwa ana uwezo wa kuivimbia serikali pamoja na wizi au tuseme ufisadi( tumepata kumjua kama fisadi kupitia CDM) ndio maana mkaamua kushirikiana na fisadi......?!!!
Na ule ushahidi usio na shaka waliosema wanao CDM vipi....??!!Hizo ni tuhuma tu, ambapo mtu yeyote hata wewe unaweza kuwanazo.
Lowassa is innocent till proven guilty by the law.
Maadam mahakama ya mafisadi ipo tayari acha sheria ichukue mkondo wake.
Tuache siasa kwenye hili, .kama CCM na serikali yake itashindwa kumpeleka mahakamani Lowassa, itakuwa imemsafisha kwa wananchi
Mkuu umeandika wasichopenda kukisikia makamanda....tarajia matusi na kejeli
Mkuu, Mahakama ya mafisadi ipo tayari. Tuiache ifanye kazi ili ushahidi wote upelekwe na hukumu itolewe kwa haki.Na ule ushahidi usio na shaka waliosema wanao CDM vipi....??!!
Two way trafic,,,we all stupid.alipokua kua kule walimshangilia wa huku wanauza.kahamia upande huu nao wanamshangilia upande ule nao sasa wanachonga.Mkuu umeandika wasichopenda kukisikia makamanda....tarajia matusi na kejeli
Kwa hiyo ule ushahidi makamanda waliosema wanao juu ya ufisadi wa Lowasa hadi kusema kuwa hastahili kuendelea kuwepo uraiani umepotelea wapi.....!!!!??Mwizi mwizi miaka sasa hakuna mnakifanya,
Yuko upinzani, mpelekeni Mahamani, tena Mahakama ya mafisadi tayari IPO,
Msituipigie porojo hapa, Wezi wapelekeni Mahakamani Serikali ni yenu
BIG UP ILA UJIANDAE MEYaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??
Are we stupid people??
Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??
Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!
Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?
Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?
Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!
Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?
Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!
Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??
Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!
Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?
Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu
Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi
Ila ukweli nikwamba jipu la Lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine
Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!
Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!
Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
BYaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??

BIG UP HABARI KAMA UZI WAKINA SWISSME HAWAZIPENDI UTAAMBULIA MATUSI MM NAPITA TUYaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??