Magufuli tumkosoe Lowassa no!!

Magufuli tumkosoe Lowassa no!!

Yaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la Lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
naona una njaa, nenda Lumumba ukachukue posho yako.
shida yenu Ilikuwa kuingia ikulu, mlitupora kura zetu na mkaingia, hebu mwacheni mzee wetu, kelele tu Kama malaya aliyekopwa wala mahakamani hamwendi
 
We utakuwa fisadi pia Lumumba inaingiaje hapo??
Yaani tuseme ukweli mje kutoka povu hapa??
Itabaki hivyo tu!!
 
Po

Post yako imejaa uongo tangu lini vijana wa ccm waliwasifia Bavicha kuwa ni vijana makini...siku zote mtu mwongo husahau haraka
Nani kakwambia hayo??au ni mawazo yako mgando!!
Mkuu ni shida, umekaa kijiweni unasema Lowassa ni fisadi, dakika chache unaambiwa mmempokea na hivyo mnatakiwa kuanza kumsafisha na kumsifu!

Tulikimbia vijiwe kipindi kile.
 
Nani kakwambia hayo??au ni mawazo yako mgando!!
Wewe unapenda kusahau umesema mwenyewe kwamba inawezekana Lowassa kawanunua Bavicha walikuwa vijana makini ndio maana nakuona muongo tangu lini umewahi kuona Bavicha ni vijana makini?

Halafu unahangaika na Lowassa kuwa ni fisadi wakati wanaotumbuliwa hatujawahi kumuona Lowassa akitajwa? pili kwanini unachelewa kwenda mahakamani?
 
We endelea kumtumikia fisadi
 
Yaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la Lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
Na fisadi mdogo liz vip mbona mnaacha anaendelea kukua si mmtoe mapema
 
Sitoziamini Hadith za Lowasa Kuwa fisadi Mpaka pale nitakapo sikia au Kuona lowasa anapelekwa mahakani kushitakiwa kisha kufungwa.

kwa hiyo mpaka leo ninaamini kuwa Lowasa si fisadi.kingine ninachojiuliza hivi toka lowasa awe na Shutuma za ufisadi na baadaye kuihama ccm je ufisadi Ndani ya ccm umepungua au umeongezeka?
 
Yaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la Lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
‘Sidhani kama kuna mtu hata mmoja atasalimika kwenda jela’- Waziri Mwakyembe By Newsroom TZA
onJuly 21, 2016

July 21 2016 Waziri wa katiba na sheria, Dk. Harrison Mwakyembe alikuwa akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha clouds TV na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu katiba na sheria na hili sakata la Richmond likagusiwa.

Mtangazaji wa clouds TV, Hudson Kamoga alimuuliza Waziri mwakyembe kuhusiana na sakata la Richmond wakati akiwa mwenyekiti wa kamati iliyokuwa inachunguza sakata hilo ambapo walikuja na ripoti ambayo ilipelekea aliyekuwa Waziri mkuu kwa wakati huo, Edward Lowassa kujiuzulu. Hudson ametaka kujua kama kuna mambo ambayo watanzania hawakuyajua kuhusu sakata la Richmond

Waziri Mwakyembe amesema ….>>>‘kesi ya Richmond tuliifanya kwa roho safi na kwa kupiga magoti kwa Mungu na tuliifanya haki kwa kila mtu tulichoamua hata tuamue kesho asubuhi nirudie tena hata koma haitabadilika itakuwa vilevile na mimi nitafurahi sana’

>>>’chini ya kanuni tunaruhusiwa kuifufua tena Richmond ili ichunguzwe upya na ninaaapa wanaweza wote wakahama wakaniacha peke yangu na uhakika mimi mwenyewe nilichonacho nitajenga hoja sidhani kama kuna mtu hata mmoja atasalimika kwenda jela‘
 
Mkuu kwa hiyo wewe unaamini Lowassa kafisadi kupitia richimond tu
Pole yako
 
Yaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la Lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!

Nyumba, kivuko etc
 
Back
Top Bottom