Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Basi msibweke kama ni vibogoyoKwani wezi wangapi wapo uraiani??
Basi msibweke kama ni vibogoyoKwani wezi wangapi wapo uraiani??
Mwingine alisema inakuwaje fisadi wamempa fomu ya kugombea urais!Atakayemuunga mkono lowasa akapimwe akili.... Nasikia kauli hii ilitoka kwa mchungaji wa kondooo wa bwana
je wewe uko na ushahidi kuwa Lowassa ni mwizi?Uko na ushaidi??
Mkuu ushaidi anao myikaje wewe uko na ushahidi kuwa Lowassa ni mwizi?labda alimuibia baba yako mke mpelekeni mahakamani dada yangu
swissme
Miaka 8 mmeishi na fisadi hamjamfanya kitu.. Okay fine alikuwa ndani ya nyumba yenu..
Sasa ni mwaka mzima nje ya nyumba yenu and still hamumfanyi chochote na ndio kwanza anaendelea kuweka mikakati..
Msitufanye viçhaa kwa siasa zenu za kipumbavu.. Hii ni kwa wote, CDM na CCM
Siasa bana, akiwa kwenu sisi tunamwita fisadi. Akija kwetu ninyi mnamwita fisadi.
Nina uhakika ikitokea Lowassa akahamia chama kingine sisi CDM tutamwita fisadi.
Mkuu mungu akulinde piaMungu akuongezee umri mtoa mada na uzidi kusimamia ukweli
Lazima tumseme mpaka atakapo acha siasaMnarudia hayohayo kila siku leteni mapya,au mumpeleke mahakamani si mumeanzisha mahakama ya mafisadi?au munamuogopa?
Hayo maswali kamuulize MnyikaAmewahi kukuibia kitu gani?
Kwanini hayupo jela au hajapelekwa mahakamani?
Kusema ukweli ndugu kama kuna raia bado ana imani na hawa wanasiasa basi hana budi kupimwa akili......maana wametufanya sisi kama mandondocha yao..........Miaka 8 mmeishi na fisadi hamjamfanya kitu.. Okay fine alikuwa ndani ya nyumba yenu..
Sasa ni mwaka mzima nje ya nyumba yenu and still hamumfanyi chochote na ndio kwanza anaendelea kuweka mikakati..
Msitufanye viçhaa kwa siasa zenu za kipumbavu.. Hii ni kwa wote, CDM na CCM
Mkuu asante umemalizaEti hakufanyiwa kitu???? Pamoja na mbinu za kimafia alizotumia ili ateuliwe kugombea urais ALITOSWA. Huko sio kufanyiwa kitu? Ulitaka afanyiwe nini ujue kuwa CCM walimuadhibu?? Hakuna aliyekuwa na mikakati ya kuwa rais kufikia hata robo ya ile ya Lowassa, lakini akatoswa. Ufisadi wake ndio ulifanya atoswe!!!
Kwanini lowassa pekee
Hivi mtu mwizi kwann asikamatwe? Tuwe serious kidogo hapa kila kitu serikali inayo, polisi, mahakama na magereza sasa kwann waendelee kumuogopa na kasema sema pembeni? Tunamtaka Lowasa jela kama hatuwezi kumtia adabu nyamazeni na mmsafishe.Mahakama ya mafisadi inamhusu mkamateni