Magufuli tumkosoe Lowassa no!!

Magufuli tumkosoe Lowassa no!!

Kusema ukweli ndugu kama kuna raia bado ana imani na hawa wanasiasa basi hana budi kupimwa akili......maana wametufanya sisi kama mandondocha yao..........
Wanaweza leo wakamtukana mtu kwa kila aina ya tusi lakini kesho akiwa upande wao anakuwa mweupe kama theruji......

Hata hizi tuhuma wanazomrushia Magufuli
hutaweza kusisikia akiwa upande wa pili......
Kumbe nae anatuhuma au ulimi hauna mifupa!
 
No, atukanwe kwa lipi eti? Ametoa maoni yake na mtazamo wake na utabaki hivyo

Na nadhani, technically kupuuzwa ndilo linaloweza kuwa tusi kubwa zaidi kwake na si vinginevyo!!
Wamekuwa na kutoka povu sana
 
yaani huyu mzee wana ccm amewakaa kichwani kuliko hata wazazi wao, wanamtajaa we kila siku. ooh ushahidi anao mnyika, mara sijui nn. yaani serikali inasubiri ipewe ushahidi na mnyika?? vyombo vyao vinafanya nn? ET MIAKA 30 ANAIIBIA SERIKALI...NA HIYO SERIKALI ILIKUWA INAFANYA NN WAKATI WOTE HUO.?
 
Mkuu hata iweje iyo ni fisadi tu
 
Kwa hiyo ule ushahidi makamanda waliosema wanao juu ya ufisadi wa Lowasa hadi kusema kuwa hastahili kuendelea kuwepo uraiani umepotelea wapi.....!!!!??

Ni heshima kubwa kumzomea fisadi- Lema
Mtu atakayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili- Msigwa.....
Wote hawa ni wanafiki wa maneno yao.....au ndio kutufanya sisi mandondocha.....!!??
Asante
 
Watu wanaomtuhumu Magufuli....si ndio hao hao walikuwa wakimtuhumu Lowasa.....ambapo sasa wamelazimika kuyala matapishi yao.....kwa kumsafisha Lowasa....
Sasa watu kama hao tutaanzaje kuwaamini....!?
Kwanza hawana ushaidi wanakuja na kuongea utumbo!!

Mimi ushaidi ninao kwamba ni fisadi na itabaki kuwa hivyo!!
 
Mkuu siogopi matusi
Siyo huogopi matusi Mimi kama mpiga Kura unaelewa nini maana ya siasa kumuundia mtu scanerio ya maneno na tuhuma kumchafua ukiwa naye afu akatoka akawa pembeni na bado usiweze kufanya kitu huku ukizidi kupayuka naona huo nao ni wendawazimu. Alishasema mwenye ushahidi wa ufisadi wake aupeleke mahakamani hata serikali imeufyata. Je unajiuliza kuna nin hapo mpaka serikali haina ujanja hapo? Kuthibitisha hilo kwamba ilikuwa mchezo wa watu flani kwa maana zao ngoja uone huu muhula wa magufuli na ile mahakama ya mafusadi kama ataguswa hapo ataamini ile tuhuma halikuwa yake. Ficha maneno kiduchu tuu uje kushuhudie
 
Roho mbaya tu, vipi LUGUMI angekuwa Mmasai nae angeambiwa aliyo ambiwa? Wananchi wanaona na wanaweka kumbukumbu zao vizuri tu.
 
nauchukia umaskini(in lowasa voice)mnafiki mkubwa haka kazee cjuw jpm anasubili nini kutumbua jipu uchungu hili
 
Siyo huogopi matusi Mimi kama mpiga Kura unaelewa nini maana ya siasa kumuundia mtu scanerio ya maneno na tuhuma kumchafua ukiwa naye afu akatoka akawa pembeni na bado usiweze kufanya kitu huku ukizidi kupayuka naona huo nao ni wendawazimu. Alishasema mwenye ushahidi wa ufisadi wake aupeleke mahakamani hata serikali imeufyata. Je unajiuliza kuna nin hapo mpaka serikali haina ujanja hapo? Kuthibitisha hilo kwamba ilikuwa mchezo wa watu flani kwa maana zao ngoja uone huu muhula wa magufuli na ile mahakama ya mafusadi kama ataguswa hapo ataamini ile tuhuma halikuwa yake. Ficha maneno kiduchu tuu uje kushuhudie
Huyo ni fisadi na itabaki kuwa hivyo
 
Roho mbaya tu, vipi LUGUMI angekuwa Mmasai nae angeambiwa aliyo ambiwa? Wananchi wanaona na wanaweka kumbukumbu zao vizuri tu.
Kwani Nani kakwambia lugumi imeisha??
 
Po
Yaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la Lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
Post yako imejaa uongo tangu lini vijana wa ccm waliwasifia Bavicha kuwa ni vijana makini...siku zote mtu mwongo husahau haraka
 
Back
Top Bottom