Magufuli tumkosoe Lowassa no!!

Magufuli tumkosoe Lowassa no!!

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,728
Reaction score
58,987
Yaani ufisadi aliofanya Lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la Lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
 
Yaani ufisadi aliofanya lowassa miaka zaidi ya 30 alizokaa CCM tumuache tu tumchekee ,tukenue meno ,na kumuita mwana mabadiliko??

Are we stupid people??

Tunakuja kusema eti yupo na nyota
Nyota gani iyo ya kukwapua ??

Aliokwapua nao mbona wamenyamaza yeye bado anaendelea kupiga kelele eti nayeye ni mwana mabadiliko!!

Daa yaani baada ya Magufuli kuziba milija ya kufonza pesa za uma Leo Lowassa amekuwa msemaji wa wafanyabiashara wakwapuaji wa nchi hii?

Nguvu ya kukosoa anaitoa wapi? Wakati boriti ipo ndani ya hicho lake?

Yaani hata bavicha inabidi wachunguzwe inawezekana nao kawanunua bavicha walikuwa vijana makini sana !!

Sasa hivi ni watu wa ndio na kumshangilia fisadi ?

Alafu tukija kuwaambia wanasema tunawatukana never tunawambia ukweli na siku zote ukweli mchungu !!

Magufuli mumshambulie lakini fisadi mumshangilie??

Alafu tuwaache tu duu!! Mnachekesha kweli!!

Kwanini asinyamaze kama wakwapuaji wenzie ? Walivyoufyata?

Niliwaambia Lowassa ajawaitukanwa uwa anaambiwa ukweli mtupu

Dunia inajua ,Magufuli unajua ,kikwete unajua kwamba Lowassa ni fisadi

Ila ukweli nikwamba jipu la lowasa linaitaji operation ya hali ya juu na kwa umakini mkubwa kwani lazima itakwenda na watu wengine

Mbona wenzio wanaangalia upepo wana nyamaza mfano Rostam na Chenge !!

Nitaongea ukweli daima nilikataa kuwa mnafiki niwakumbushe tu watakao kuja kutukana hapa !!

Tumekuja upande wa pili baada ya kuona upande mwingine hauna mkakati wa kushika dola sio kwamba naipenda CCM no mi namsapoti magufuli kwa sababu angalau analeta dira ya taifa!!
Mbona hamumpeleki mahakamani.Siku hizi nasikia mna mahakama ya mafisadi.
 
Miaka 8 mmeishi na fisadi hamjamfanya kitu.. Okay fine alikuwa ndani ya nyumba yenu..

Sasa ni mwaka mzima nje ya nyumba yenu and still hamumfanyi chochote na ndio kwanza anaendelea kuweka mikakati..

Msitufanye viçhaa kwa siasa zenu.. Hii ni kwa wote, CDM na CCM
 
Vp kuhusu nyumba aliyo mhonga hawala yake ? vp kuhusu kujenga barabara chini ya kiwango ...vp kuhusu kivuko cha dar ? Ndo maana ccm ni chama cha mang'ombe yenye mkia na yasiyo na mkia , hiyo ni nukuu kutoka kwa mwenyekiti wenu Taifa ...
 
Uko na ushaidi??
 
Miaka 8 mmeishi na fisadi hamjamfanya kitu.. Okay fine alikuwa ndani ya nyumba yenu..

Sasa ni mwaka mzima nje ya nyumba yenu and still hamumfanyi chochote na ndio kwanza anaendelea kuweka mikakati..

Msitufanye viçhaa kwa siasa zenu za kipumbavu.. Hii ni kwa wote, CDM na CCM
Stay tuned atashugulikiwa
 
Siasa bana, akiwa kwenu sisi tunamwita fisadi. Akija kwetu ninyi mnamwita fisadi.

Nina uhakika ikitokea Lowassa akahamia chama kingine sisi CDM tutamwita fisadi.
 
Mwizi akiwa mtoto wa jirani. We kwako kaonewa tu.
Mlevi mzee we nyumba ya jirani, we kwako ni mnywaji tu.
Kahaba msichana wa nyumba ya pili, dada yako, ana mchumba tu .
Wolper alikuwa mwanamadiliko, sasa hajitambui.
The list is endless.
 
So wote walioiba nchi hii ambao hawajafikishwa mahakamani ni watu safi?
Kama ndio hivyo basi nchi hii haina tatizo la ufisadi maana waliofikishwa mahakamani na kupatikana na hatia ni wachache sana.
Tujue pia "sheria na haki ni vitu viwili tofauti" (Mwalimu Nyerere)
 
Back
Top Bottom