Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!


...Akateleza aliposema anataka wazaramo wampe mke!, teh!
 

Mbona hujaweka na matokeo ya Maji Marefu na matokeo ya Mulungo
 
Unahitaji mdahalo kulijua hili?
 

Attachments

  • 1442659277200.jpg
    6.4 KB · Views: 262

U sound furious, may be frustration or hunger or lack of conviction or hate,i dnt know buddy but do not take it too personal "my take"
 
Ignorance haibustiwi kwa kikombe cha babu,, ingekuwa Ana bust memory saw a, ujanja wake ni ndani ya mipaka ya tz
Unajua ccm wanamdqnganya Magufuli toa mifano ya sehemu zenye machafuko km Libya kuwatisha wananchi wasifanye mabadiliko. Kumve jamaa general knowledge inampiga chenga. Yeye anajua kukariri takwimu tu. Nadhanii hata mambo ya uchumi atakuwa hajui kabisa!
 

Kaka hii si trivial ishu kwa mtu anayetaka urais wa nchi. Kushindwa kutofautisha kati ya Sadam na Gadaf, Iraq na kuwait sio trivial ishu. Huyu mtu anaraka urais huku hajui siasa za nje ya nchi yake? Sanasana hili linamuonesha jinsi alivyomkurupukaji! Na sisi hatutaki rais mkurupukaji!
 

Punguza ukilaza nchi haiongozi kama getto!! Mh. Rais anawashauri!!
 
Punguza ukilaza nchi haiongozi kama getto!! Mh. Rais anawashauri!!

Akili yake ni 0.0005 ya akili ya Edo na mpaka sasa anjuta kushindana na kiumbe wa pekee.Ukijumlisha akili za magamba unapata 0.5 ya Edo's brain na ndio maana kundi lao lote linakesha na kusuka mikakati isiyokuwa na matunda kama ule wa Dr Love Pimbi wa pale Sell enna.Bogus squared.
 

Re: Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

Halafu alichanganyikiwa aliposema Zaire na Kongo kama nchi tofauti ambazo zitatumia bandari yetu ya Dar es Salaam. Pia kujitahidi kuzungumza haraka haraka ni hofu ya kuishiwa nguvu asiweze kumaliza kusema anachokusudia.


UKIBISHI ZAMA HAPA:https://www.youtube.com/watch?v=z_W8S1y7l2Q
 

Zaire ni DRC na pia kuna Kongo brazzaville.zamani nchi hizi mbili zilitofautishwa kwa kuongeza majina ya miji yake mikuu .yaani congo kinshasa(zaire) na KongoBrazaville(congo)
 

Wewe hauna tofauti na Huyo aliyeshindwa kumjua Raisi wa Kuwait, mnakosea bila kujua mmekosea.
 
Data ziliZo kuwa zinatolewa zilikuwa ngumu kung'amua kama vile idadi ya samaki,urefu Wa barabara.Nani angeanza kuhakiki,sasa kakosea kaingia anga zetu Saddam hakuwa Wa Kuwait ila Iraq.Msingwa alisema walikuwa wanaletewa idadi ya Barbara mpya za uongo Bungeni.
 

Sichagui rais muwongomuwongo.Saddam rais wa Kuwait
 

Pia ameishasema yeye sio mwanasiasa ni mtendaji
 
Kwanyie watu wote waliosoma PCM. Mnajua kabisa ktk masomo hayo matatu ukimuona mtu yuko bora katika Chemistry ujue uwezo wake wa kukariri ni wa kiwango cha juu sana. NAjamaa ni mkali wa hilo somo kwa maana ya kwamba yuko vizuri ktk kukariri siyo kuelewa
 
Punguza ukilaza nchi haiongozi kama getto!! Mh. Rais anawashauri!!

sasa kama yeye mwenyewe haelewi si ndio washauri wake watakuwa wanamdanganya kila siku? Mnataka turudi tena kwenye vile vichekesho vya eti " tatizo si kikwete bali washauri wake?" eti kikwete anaangushwa na washauri wake! Je kama na ujanja wote wa kikwete alikuwa anashauriwa vibaya na kushindwa kungamu ahuu ni ushauri mbaya, je Magufuli ambaye ni kilaza si ndio itakuwa balaa kabisa?
 
Ni muongo huyu jamaa, kwani zile data alizotoa kuwa Tanzania kuna samaki bilion 6,mia tisa arobaini na mbili ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…