Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 562
Teh,teh,teh we jamaa wewe daa!!hii nimeipenda.Magufuri ni mtu wa kukariri,sio kuelewa, mtu anaekariri muda flani husahau, hata sasa ukimshtukiza barabwra ya bagamoyo mwenge atakwambia ina kilomita 1000.
Mawaziri wa kikwete ni mzigo,vihiyo. Mulugo alisema Tanzania inatokana na zimbabwe na zanzibar. Pia akasema mbeya ina ukubwa wa kilomita 29 za mraba.
Saddam alikua rais wa kuwait?
Muoneeni huruma basi
mtu azaliwe chato huko aje kujua tofauti ya Kuwait na Iraq?...
mostly ni nchi anazosoma tu kwenye news..
Magufuli ni sawa na Mulugo..