mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,276
Hizo shule zenyewe za serikali zinasikitisha
Ni kweli wabunge wa Kiteuliwa ni shiiiiiida! Hizo million 12 za mishahara ya kila mbunge wa kuteuliwa zingeelekezwa kwenye mambo ya msingi nina hakika Nchi hii ingekuwa mbali kimaendeleo. Ni wakati sasa tuwaige Serikali ya Rwanda mawaziri wote wamekopeshwa magari hawatumii gari za Serikali na hakuna Taasisi ya Serikali inatumia magari ya bei mbaya kote Rwanda Serikali inatumia gari za kawaida tu zisizo na gharama kubwa. Serikali ya Tanzania ndiyo Serikali inayoongoza Africa yote kwa viongozi kutumia magari ya kifahari.Mkuu why balozi wa Beijing hahhh? Anakula raha hatumikii wanaomlipa mshahara au?
Mkuu Raisi JPM akifuta swala la wabunge wa kuteuliwa na manaibu katibu ktk wizara na katibu wa kudumu
Wabunge wa kuteuliwa angelenga Walemavu Walimu Wauuguzi Vijana Watoto kila chama kitoe mwakalishi mmoja au wawili mchezo kwisha tutanufaika na kodi yetu huu utitiri wa wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa unaifilisi nchi. Ama sivyo awaambie wabunge wa kuteuliwa wajitegemee kwa kila jambo tuone nani atabaki walipwe msharahara kwa mahudhurio bungeni nukta!
Hujasikia ameamua kuwabana zaidi wafanyabiashara wakubwa plus kufuta safar za vigogo nje ya nchi! Wataka nn tena, kama amekulenga sema
Hujasikia ameamua kuwabana zaidi wafanyabiashara wakubwa plus kufuta safar za vigogo nje ya nchi! Wataka nn tena, kama amekulenga sema
Kwani Lowasa pia si alisema hayo.. Yeye angezitoa wapi hizo hela??
Elimu ni kitu cha muhimu sana ndio maana leo hii w?tanzania wengi wanashabikia vyama vya siasa kama wanavyo shabikia mpira, Na hatuwezi kupata maendeleo kama hatuna elimu nzuri.
Afya pia ni muhimu sana kwani umaskini unasababishwa na magonja na kukosekana huduma nzuri mahospitalini. Ukiwa mgonjwa leo hii utamaliza akiba yote uliojiwekea na kurudi kwenye umaskini.
Hela zipo nyigi saaaana lakini asilikia kubwa zinaishia kwa mafisadi kwa hiyo kazi ya kwanza inabidi abane na kutokomeza ufisadi. Sasa ndio amenza kazi tuone.
Safari za nje na ile budget ya chai inatosha kabisa kulipia ada zote. Akiongeza na kuondoa mashangingi yote, then posho ya vikao maana wahusika wanalipwa % zaidi kwenye mishahara yao plus misamaha ya kodi basi hadi lap top watanunuliwa 😀😀
Si ameshafuta Safari zote za nje! Makongamano! Think this despot J kikwete used 50 million USD by only himself plying the world; doing his business! The money is enough to educate our boys and girls!!
By the way Mr. JPM remove this ambassador at the Beijing Embassy!
Pesa zipo nyingi tu yeye anajua zipo wapi pia akidhibiti wizi wa pesa za umma pesa itapatikana nyingi zaidi mpaka hospital huduma zitakuwa bure.Mkuu acha dharau unauliza fedha zinatoka wapi??????!!!!!!! Serikali ina vyanzo vingi vya pesa tofauti na tunavyoelewa sisi kwa hiyo kitu cha msingi hapo ni kupokea utekelezaji wa ahadi zake na usihoji fedha imetoka wapi unadhani itakuwa imetoka wapi?????? Wakati wa kampeni alijua fedha zitatoka wapi na ndiyo maana alisema, Yule wa mazingaombwe ya kumaliza matembe nchi nzima naye alijua atapata wapi wakandarasi wa kujenga na kulipwa ili kumaliza matembe yote jamhuri nzima ya Tanzania. Ushauri wangu tumhoji anaposhindwa kutekeleza ahadi na tusihoji anapotimiza ahadi.
Zitatoka atakapobana. Kama safari za nje nk
wabongo hao tabu tupuMh Rais umetutangazia kuwa elimu itakuwa bure kuanzia January 2016. Lakini hujatueleza kuwa pesa hizo za elimu zinatoka sehemu gani katika bajeti yetu na ukizingatia Bunge lilishapitisha bajeti yetu. Je, zinapunguza pesa kutoka afya? Miundombinu au wapi? Ni kweli umetoa ahadi nyingi za katika ilani ya CCM lakini utekelezaji wa "hapa kazi tu" bila mipango unaweza kuyumbisha maeneo mengine muhimu ya serikali.
Tafadhali angalia usikwame mapema kama vikao vya Ngurudoto.