Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

ningekuwa na uwezo ningewahamisha watanzania niwapeleke hata malysia au botwana wakajionee wenyewe walivyo nyuma,,,,yaani kila jambo kwao haliwezekani mpaka haki zao pia haziwezekani,,,,ukiona nchi kuna cholera dunia ya leo tena capital city ni shida sana,,haya magonjwa yalikua before industrial revolution in 15-18 c
 
Nadhani umelieleza vema. watu wengi humu jf tunajadili hoja subjectively. Kama chanzo ni safari za nje zilizopunguzwa basi tunatakiwa tupate tathmini ya kiasi kitakachotokana na kufutwa kwa safari hizo. Hoja ni nzuri ila bongolala ni nyingi.

Nilidhani Mhe. Magufuli angechukua muda kidogo wa kuchambua namna ya kuzitekeleza ahadi zake ikiwemo suala la vyanzo vya mapato kwa ajili hiyo. Kuwaagiza watendaji kuanza maandalizi kwa ajili ya utekelezaji nadhani nyenzo kuu ya kulifanikisha hili ni namna ya kuligharimia.

Ame dist111 Rolandi BabuM hoja kuu hapa siyo wapi zitoka hizo hela bali mfumo wa kiserikali (Kama utafuatwa) fedha zote zinazotumika zinatakiwa ziwe zimepitishwa na Bunge wakati wa kikao chake cha Bajeti. Sasa kwenye Bunge la bajeti lililopita lilipitisha na bajeti hiyo ya kulipia ada wanafunzi watakao kuwa wanaingia kidato cha kwanza?
 
Magufuli ameshakwama tayari. Akwame mara ngapi?

Mh Rais umetutangazia kuwa elimu itakuwa bure kuanzia January 2016. Lakini hujatueleza kuwa pesa hizo za elimu zinatoka sehemu gani katika bajeti yetu na ukizingatia Bunge lilishapitisha bajeti yetu. Je, zinapunguza pesa kutoka afya? Miundombinu au wapi? Ni kweli umetoa ahadi nyingi za katika ilani ya CCM lakini utekelezaji wa "hapa kazi tu" bila mipango unaweza kuyumbisha maeneo mengine muhimu ya serikali.
Tafadhali angalia usikwame mapema kama vikao vya Ngurudoto.

Lowasa angepata wapi?.. au ndiyo yaleyale ya akinya kuku bata kahara.
 
Naungana na wewe kwamba ni mapema sana kufanya utekelezaji wa Elimu bure kwa sasa maana haujaandaliwa mfumo mzuri wa kuzihudumia hizo shule hasa kwa cost ambazo zilikuwa zinatumia fungu la malipo ya wanafunzi.
Lakini kuhusu Rais kuelezea ni kiasi gani kitapatikana kwa kupunguza safari za nje ama ni kwa njia ipi atatumia kutekeleza hilo suala la elimu bure nadhani lipo kiutendaji zaidi, sio kila mipango na sera iwekwe wazi kwa wananchi, watekelezaji ndio atawaeleza ni jinsi gani utekelezaji utakuwa sisi tutapewa maadhimio tu.
 
jamani jamani jamani Hivi kuna kiumbe chenye akili kinaweza kusema eti elimu toka fomu one hadi kidato cha nne itakuwa bure. Yaani kutoa elfu ishirini kwenye ada ndio nafuu kwa wazazi? Elfu ishirini? Elfu ishirini? Kweli? Hili ni jambo la kushangilia? Mbona michango inayotakiwa ili shule iweze kujkioendesha ni zaidi ya laki tatu kwa anayeanza kidato cha kwanza? Ada hii ya elfu ishirini haijawahi kuwa tatizo tatizo ni michango mingi inayofanya wazai wanashindwa kumudu! Hakuna mzazi Tanzania ya leo atashindwa kumlipia motto wake elfu sihrini ya ada. Hata km ni hohehae wapo ndugu jamaa na marafiki amabao hawawezi kushindwa kusaidia. tatizo kwenye shule zetu ni michango mingi. hiyo ndio kero kubwa!
 
Lowasa angepata wapi?.. au ndiyo yaleyale ya akinya kuku bata kahara.

Unashindwa kujua kwamba uendeshaji na sera za serikali ya ukawa ni tofauti kabisa na ccm! ukawa ilikuwa inakuja na utaratibu wa kubaduilii mifumo ya uendeshaji nchi! Nyie ccm hamko tayri kubadili mifumo hasa ya ulaji kwa sababu mmeizoea na ndio uhai wenu!
 
Kwani nyie mnauliza nini? Muda wa siasa umeisha muacheni aongoze nchi, nyinyi mmefeli tulieni.
 
Akibana matumizi tu pesa iko mingi sana. Naona tayari kesha anza kubana matumizi kwa mfano safari za nje ya nchi. Pia manunuzi. Hapa kazi tu!
 
Haya maposhoposho meeeengi yakitengenezewa mfumo rasmi nakuingizwa kwenye mishahara, yatawafikia watu wengi zaidi na serikali itakusanya mabilioni ya paye na pia kuongeza ufanisi kwani mishahara itapanda kwa bajeti ilele...
Ni swala la kuamua tu...hela zipo ni kuziwekea tu utaratibu....
1.Mkuu zamani hayo makitu yalikuwa yanakatwa kodi kwa watumishi wa serikali,lakini nasikia kuna waraka ulitoka kwa wafanyakazi wa serikalini wasikatwe , Lakini sisi wa sekta binafsi kila shilingi inakatwa kabisa.
Mh Rais umetutangazia kuwa elimu itakuwa bure kuanzia January 2016. Lakini hujatueleza kuwa pesa hizo za elimu zinatoka sehemu gani katika bajeti yetu na ukizingatia Bunge lilishapitisha bajeti yetu. Je, zinapunguza pesa kutoka afya? Miundombinu au wapi? Ni kweli umetoa ahadi nyingi za katika ilani ya CCM lakini utekelezaji wa "hapa kazi tu" bila mipango unaweza kuyumbisha maeneo mengine muhimu ya serikali.
Tafadhali angalia usikwame mapema kama vikao vya Ngurudoto.
2.Anaweza kubana kutoka katika safari za Rais. Kama bajeti ya safari za Rais iliyotengwa mwaka 2015-2016 itakuwa haijatumiwa sana na mkwere anaweza bana hapo.
 
Haya yote yamekaa kinadharia ndio maana andiko lako linaishia km bajeti haijatumiwa. Utekelezaji wa ahadi ya namna yoyote unahitaji mipango. Yupo mwingine aliingia kwa kasi na mikopo ya mabilioni ya shilingi. Iliishia wapi ile?
 
Tumpe muda wapendwa, maana Bajeti ya kumjua huyu mtu yukoje ni hapo mnamo Bajeti ijayo mwezi wa saba ndo tutamjua ana utofauti na wenzake au la.

Pili, Inampasa aicukue Wizara ya Fedha iwe chini ya ofisi yake. aweze imliki a kuikontroo vizri.
 
sasa 20,000 na 70,000 ni sawa na bure mtuu mtu nikiuza jogoo zangu wa nne tuu nalipia ada ya mwaka.so akiweza kudhibit matumiz ela ipo nyng tuu
 
hata kama bajeti imeshaptia anao uwezo wa kupata pesa za 2016 kwa ajili ya elimu....miezi 6 ya mwanzo safari za nje zimepunguzwaaa kabsaaa.....kwahiyo kimeshapatikana hapo kipesa kidogo......makatibu na makamishna wa TRA Juzi wamepata kiti moto kidogo na Wizara ya fedha wamesema changamoto zao na raisi kazifikisha kwa wahusika hapo unapotype ni wazi zinafanyiwa kazi kwa wafanyabiahsara wakubwa kulipa kodi.....kwahiyo ongezeko la mapato tayari mpaka kufika june bajeti nyengine itakapopangwa swala la elimu litapewa bajeti ya kueleweka...Kumbuka bado hajaonana na bunge unajuaje posho za vikao zitapunguzwa????....MWACHE AFANYE KAZI USIMKATISHE TAMAA.....WATANZANIA HAMJUI MNACHOTAKA NDO TATIZO..TUNATAKIWA KUMSUPORT NA SIO KUMVUNJA NGUVU NA KUMUONA HAJUI ANACHOFANYA.
Well said mkuu,
Siwezi kuongeza wala kupunguza..... Nairudia ili isomwe tena. Tumezoeshwa kulalama lakini ukipewa nafasi huna chakuchangia zaidi ya kupinga kila kitu👏👏👏👏👏
 
Si ameshafuta Safari zote za nje! Makongamano! Think this despot J kikwete used 50 million USD by only himself plying the world; doing his business! The money is enough to educate our boys and girls!!

By the way Mr. JPM remove this ambassador at the Beijing Embassy!
Dula mjeda
 
Si ameshafuta Safari zote za nje! Makongamano! Think this despot J kikwete used 50 million USD by only himself plying the world; doing his business! The money is enough to educate our boys and girls!!

By the way Mr. JPM remove this ambassador at the Beijing Embassy!

Dula mjeda
 
Ame dist111 Rolandi BabuM hoja kuu hapa siyo wapi zitoka hizo hela bali mfumo wa kiserikali (Kama utafuatwa) fedha zote zinazotumika zinatakiwa ziwe zimepitishwa na Bunge wakati wa kikao chake cha Bajeti. Sasa kwenye Bunge la bajeti lililopita lilipitisha na bajeti hiyo ya kulipia ada wanafunzi watakao kuwa wanaingia kidato cha kwanza?

kuna review of budget katika bunge la mwezi wa kumi na mbili kama sikosei na kwakua kutakuwa na substitutional effect kwenye hizo strategies bado utakuta kuna absolute increament kwenye budget line inayoletwa na huko kubana matumizi ambazo sasa duribg review watazi pitisha huko bungeni. Kuna njia nyingi sana ya kufanya tunao experts wa budget hilo wala halina shida kana kuna objectivity na comitment; tulichokuwa tunakishuhudia ni mentality ya technocrats wakisoma mind za viongozi ilikuwa ni kila mtu anatengeneza mkukuta binafsi kupitia hizo hizo budget kwakua hakukua na objectivity wala comitment. Hiyo ni added value ya incubent yaani Mh. tuliyempa kijiti.
 
Mambo mengine hayana msingi kuhoji ndugu zangu. Miaka nenda rudi watoto zetu wamesoma kwa karo kwenye shule za sekondari, leo Jpm anasema elimu hiyo itakuwa bure so kunalipi la kuhoji hapo.

Hizo pesa hata kama zinatoka mfukoni mwake cha msingi ni watoto wetu kupata elimu bure. Tusiwe watu wa kuhoji mambo ambayo ni CHANYA na FURAHA ktk maisha yetu.

Kwa upande mimi naona ni jambo la kheri coz nchi nyingi barani Africa zimelishindwa hili sasa leo sisis tunapata favour eti tunahoji pesa hizi zinatoka wapi.

Wasomi wengi mnafeli maisha coz mnajua sana kuchambua kuliko kutenda. Jmp ameingia na anaonyesha uelekeo mzuri, sasa why tunaanza kuuliza vitu visivyo tija eti hyo hela inatoka wap. Mbona wake zenu ni jobless na daily mnawakuta na chupi mpya na hamuhoji pesa umepata wapi.

Watz tuache kujifanya wasomi na wachambuzi saaaana halafu mwsh wa cku tunaishia kupanga kwny nyumba za waloishia darasa la pili.
 
Mh Rais umetutangazia kuwa elimu itakuwa bure kuanzia January 2016. Lakini hujatueleza kuwa pesa hizo za elimu zinatoka sehemu gani katika bajeti yetu na ukizingatia Bunge lilishapitisha bajeti yetu. Je, zinapunguza pesa kutoka afya? Miundombinu au wapi? Ni kweli umetoa ahadi nyingi za katika ilani ya CCM lakini utekelezaji wa "hapa kazi tu" bila mipango unaweza kuyumbisha maeneo mengine muhimu ya serikali.
Tafadhali angalia usikwame mapema kama vikao vya Ngurudoto.

Swali hilo hilo ligeuzie kwa Ukawa utapata jibu tena sy mpaka form 4 mpaka chuo kikuu.
 
kuna review of budget katika bunge la mwezi wa kumi na mbili kama sikosei na kwakua kutakuwa na substitutional effect kwenye hizo strategies bado utakuta kuna absolute increament kwenye budget line inayoletwa na huko kubana matumizi ambazo sasa duribg review watazi pitisha huko bungeni. Kuna njia nyingi sana ya kufanya tunao experts wa budget hilo wala halina shida kana kuna objectivity na comitment; tulichokuwa tunakishuhudia ni mentality ya technocrats wakisoma mind za viongozi ilikuwa ni kila mtu anatengeneza mkukuta binafsi kupitia hizo hizo budget kwakua hakukua na objectivity wala comitment. Hiyo ni added value ya incubent yaani Mh. tuliyempa kijiti.
Hukuwa na sababu ya kutumia technical terms. Unaleta dhana ya substitution effect, una substitute nini? Halafu unasema absolute increaments, wakati kuna deficit na debts na pia kuna uncertainty ya hali ya kisiasa visiwani. How do you factor political risks. Tuache lelema, tunaangalia maneno ya kufuta ada bila uhalisia wa mpango endelevu ni kuongeza budget deficit kwa maneno ya kisiasa yasiyo na tija. Hakuna sababu ya kukurupuka.
 
Mambo mengine hayana msingi kuhoji ndugu zangu. Miaka nenda rudi watoto zetu wamesoma kwa karo kwenye shule za sekondari, leo Jpm anasema elimu hiyo itakuwa bure so kunalipi la kuhoji hapo.

Hizo pesa hata kama zinatoka mfukoni mwake cha msingi ni watoto wetu kupata elimu bure. Tusiwe watu wa kuhoji mambo ambayo ni CHANYA na FURAHA ktk maisha yetu.

Kwa upande mimi naona ni jambo la kheri coz nchi nyingi barani Africa zimelishindwa hili sasa leo sisis tunapata favour eti tunahoji pesa hizi zinatoka wapi.

Wasomi wengi mnafeli maisha coz mnajua sana kuchambua kuliko kutenda. Jmp ameingia na anaonyesha uelekeo mzuri, sasa why tunaanza kuuliza vitu visivyo tija eti hyo hela inatoka wap. Mbona wake zenu ni jobless na daily mnawakuta na chupi mpya na hamuhoji pesa umepata wapi.

Watz tuache kujifanya wasomi na wachambuzi saaaana halafu mwsh wa cku tunaishia kupanga kwny nyumba za waloishia darasa la pili.

Hizo pesa si za kwake, ni za kwetu Watanzania. Hatuna sababu ya kufurahia kama hatuelewi huenda tunapewa mchicha, matunda yanachukuliwa.
 
Back
Top Bottom