- Thread starter
- #21
Hapa kuna dhana ya kutotambua taratibu za serikali na Bunge. Bunge lina mipaka na ndio linalopitisha matumizi. Hivi karibuni Benki ya Dunia imeonya juu ya matumizi makubwa ya serikali na madeni ya wakandarasi kukaa muda mrefu bila kulipwa.
Leo mwingine anaongeza matumizi ya Serikali. Tukumbuke shule zile zilikuwa zikiendeshwa kwa ada na michango ya wanafunzi ambapo hufika kati ya elfu 80 hadi laki moja kwa mwaka. Pesa hizi anazitoa wapi na kwa Bunge lipi?