Hizo pesa zinapatikana tu. Si mnakumbuka ile bajeti ya Chai na Vitafuniwa tena vya idara moja ya Ikulu tu peke yake ilikuwa Billion 19.5! Hapo nimbali ya yale masurufu aliyokuwa akipata JK kwa safari zake za nje ambazo tunaambiwa yalikuwa nayo ni mabillioni kila mwezi? Mpaka imagine hamjapata pesa za kusomesha watoto bure tu? Hujazunguka idara nyingine za serikali hapo ambako kote kulikuwa ulaji wahovyo hovyo tu? eeh! no?