Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

Pesa yenyewe usifikiri ni nyingi iliyokuwa inapatikana kama ada. Kumbuka kila mwanafunzi alikuwa analipa elfu 20 tu. Piga hesabu kama wanafunzi wako milioni moja kwa mwaka watalipa ngapi.

Ada ni danganya toto tu. Michango haijafutwa Waziri wa Elimu na utamaduni awamu,Shukuru Kawambwa alisisitiza michango iko pale pale.

Michango ya:
Dawati Tzs 45000-90000
Mlinzi Tzs 1000
Umeme na Maji 5000
Maji taka tzs 1000
Ujenzi wa madarasa tzs 20000
Speed Test tzs 300 x wiki x miezi 10
Kifagio tzs 100 x miezi 10
Mitihani na photocopy tzs 45000
Remial classes kwa drs 4 na 7 tzs 5000 x miezi 10
nk...nk...nk

Bajeti inayoendelea kutumika ni ile ya Shukuru Kawambwa 2015/16 na zile "NDIYOOO!" za wabunge wa fisiem.
 
Mh Rais umetutangazia kuwa elimu itakuwa bure kuanzia January 2016. Lakini hujatueleza kuwa pesa hizo za elimu zinatoka sehemu gani katika bajeti yetu na ukizingatia Bunge lilishapitisha bajeti yetu. Je, zinapunguza pesa kutoka afya? Miundombinu au wapi? Ni kweli umetoa ahadi nyingi za katika ilani ya CCM lakini utekelezaji wa "hapa kazi tu" bila mipango unaweza kuyumbisha maeneo mengine muhimu ya serikali.
Tafadhali angalia usikwame mapema kama vikao vya Ngurudoto.

Binhai...ingekuwa msomi hii hoja yako haukupaswa kuandika hvo... Na ukiangalia msg yako inaonekana ukawa kabisa....

Nikushauri tuu...hoja uako isiwe ya kujidai kama tabia ya panya (kung'ata na kupuliza)...na pia hili swali lakeosio mda wake kuuliza kwani ulipaswa kuuliza prior general election yaani kipindi cha uchaguzi...
Thus., naona swali lako kwasasa halina tija....

Misho nadhani ela zitatoka ktk rasilimali za nchi pamoja na ukusanyaji kodi na kupunguza safari za nje ya nchi zisizo za lazima.. Nami ruksa kunikosoa
 
Jibu lako linanifurahisha saana. Mwishoni unamalizia na neno nadhani. Hii ni kiashiaria kwamba huna uhakika na unachoandika. Naomba ieleweke kuwa, utekelezaji wa elimu ya bure unawezekana lakini kutekeleza katikati ya Bunge la Bajeti na nchi ikiwa na vipaumbele vingi kuna tatizo. Kuna Wilaya nchi hii zimeundwa kwa haraka mpaka leo hii hazina ofisi na hata pesa ya kuendeshea wilaya zile hakuna. Ni vyema kujiuliza hii haraka ya utekelezaji, pesa zinatoka wapi?
 
Tusiongee kinadharia hapa, aseme gharama ya shule zote za serikali ni kiasi gani na kiasi anachotarajia kupata ni kiasi gani kutokana na kubana matumizi. Kufanya kazi kwa headlines hakutatusaidia.

Na ndio maana watu wako maofisini kupiga hizo hesabu. Wewe subiri uone HAPA KAZI TU......! Ni mchakamchaka kwa kwenda mbele. Pale bandarini kuna watu walikuwa wanapitisha makontena mpaka 100 bila kulipa ushuru, kisa vimemo toka kwa Vigogo...Kashasema ni MARUFUKU. Kila mtu alipe ushuru.
 
Ame dist111 Rolandi BabuM hoja kuu hapa siyo wapi zitoka hizo hela bali mfumo wa kiserikali (Kama utafuatwa) fedha zote zinazotumika zinatakiwa ziwe zimepitishwa na Bunge wakati wa kikao chake cha Bajeti. Sasa kwenye Bunge la bajeti lililopita lilipitisha na bajeti hiyo ya kulipia ada wanafunzi watakao kuwa wanaingia kidato cha kwanza?

Sheria zinaruhusu, kupele subsequent amendments to teh budget. Kwa hiyo katika Bunge la February 2016 hilo litafanyiwa kazi. Tunakwenda kwa Sheria, sio ubabaishaji.
 
Hata mimi najiuliza hivi lowasa angetoa wapi fedha za kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu,
 
Sheria zinaruhusu, kupele subsequent amendments to teh budget. Kwa hiyo katika Bunge la February 2016 hilo litafanyiwa kazi. Tunakwenda kwa Sheria, sio ubabaishaji.
Bunge la february wakati utekelezaji unaanza January? Halafu hizo amendments ndio tunasema anapunguza pesa wapi na kwa kiasi gani?
 
Soma maoni ya Mhariri kwenye The Citizen la leo. Yaani kwenye bajeti ya 2015/2016, pesa zilizotengwa kwa ajili ya per diem tu ni Tshs 3.2 Trilioni. Hapo achilia mbali gharama za tiketi za ndege.

Halafu bado unauliza pesa atapata wapi? Hayo ya kufanya marekebisho kwenye bajeti kuna taratibu zake za Kisheria, na zitafuatwa. Hivi Mbunge wako akiitwa Bungeni kwa dharura mwezi Desemba mwaka huu kujadili marekebisho ya bajeti, ili watoto wasome bure kuanzia January 2016, ATAKATAAA?
 
Mh Rais umetutangazia kuwa elimu itakuwa bure kuanzia January 2016. Lakini hujatueleza kuwa pesa hizo za elimu zinatoka sehemu gani katika bajeti yetu na ukizingatia Bunge lilishapitisha bajeti yetu. Je, zinapunguza pesa kutoka afya? Miundombinu au wapi? Ni kweli umetoa ahadi nyingi za katika ilani ya CCM lakini utekelezaji wa "hapa kazi tu" bila mipango unaweza kuyumbisha maeneo mengine muhimu ya serikali.
Tafadhali angalia usikwame mapema kama vikao vya Ngurudoto.

hata kama bajeti imeshaptia anao uwezo wa kupata pesa za 2016 kwa ajili ya elimu....miezi 6 ya mwanzo safari za nje zimepunguzwaaa kabsaaa.....kwahiyo kimeshapatikana hapo kipesa kidogo......makatibu na makamishna wa TRA Juzi wamepata kiti moto kidogo na Wizara ya fedha wamesema changamoto zao na raisi kazifikisha kwa wahusika hapo unapotype ni wazi zinafanyiwa kazi kwa wafanyabiahsara wakubwa kulipa kodi.....kwahiyo ongezeko la mapato tayari mpaka kufika june bajeti nyengine itakapopangwa swala la elimu litapewa bajeti ya kueleweka...Kumbuka bado hajaonana na bunge unajuaje posho za vikao zitapunguzwa????....MWACHE AFANYE KAZI USIMKATISHE TAMAA.....WATANZANIA HAMJUI MNACHOTAKA NDO TATIZO..TUNATAKIWA KUMSUPORT NA SIO KUMVUNJA NGUVU NA KUMUONA HAJUI ANACHOFANYA.
 
mna matatizo nyie! na nyie za elimu bure mpaka chuo kikuu mengezitoa wapi?
 
ELIMU sio bure...wamefuta ada ya sh elfu 20

wewe subiri Joining instructions za wanafunzi januari....sio mbali

Lowasa ndiye alitamka....hakuna ada wala michango....magufuli alisema hakuna ada
 
Jaman amken!!!! Kwan lowassa angetoa wapi? Achen uzombi.....mnataka nn? Kila kitu hapana. Ninyi ndo wale msoweza kuendesha hata familia zenu
 
Soma maoni ya Mhariri kwenye The Citizen la leo. Yaani kwenye bajeti ya 2015/2016, pesa zilizotengwa kwa ajili ya per diem tu ni Tshs 3.2 Trilioni. Hapo achilia mbali gharama za tiketi za ndege.

Halafu bado unauliza pesa atapata wapi? Hayo ya kufanya marekebisho kwenye bajeti kuna taratibu zake za Kisheria, na zitafuatwa. Hivi Mbunge wako akiitwa Bungeni kwa dharura mwezi Desemba mwaka huu kujadili marekebisho ya bajeti, ili watoto wasome bure kuanzia January 2016, ATAKATAAA?

Hawa ndio waandishi hivi karibuni walikuja na figure ya ajabu saana kuhusiana na safari za nje za Rais mstaafu. Walipoambiwa wathibitishe waliomba msamaha. Ukiwauliza waseme hizo trillioni 3 wamezipataje hawatakuwa na jibu. Lakini pia je per diem zote zinaepukika? Mh Magufuli anawataka Makatibu waende vijijini, hapo bado kuna per diem.
Naomba ieleweke sina pingamizi na elimu bure bali katikati ya Bunge kwa kufikirika tu mtu anakurupuka na bajeti wakati tayari matumizi yalikuwa yanazidi mapato. Tunachotaka ni mipango endelevu.
 
Nimekupata mkuu.....! Hebu tusubiri utekelezaji tuone. Kama ni kukurupuka, walimtangulia walishakurupuka sana kwenye mambo ambayo hayana hata tija. Angalau huyu anakurupuka kwenye mambo yenye tija kwa Taifa na jamii. Tumpe muda.
 
hata kama bajeti imeshaptia anao uwezo wa kupata pesa za 2016 kwa ajili ya elimu....miezi 6 ya mwanzo safari za nje zimepunguzwaaa kabsaaa.....kwahiyo kimeshapatikana hapo kipesa kidogo......makatibu na makamishna wa TRA Juzi wamepata kiti moto kidogo na Wizara ya fedha wamesema changamoto zao na raisi kazifikisha kwa wahusika hapo unapotype ni wazi zinafanyiwa kazi kwa wafanyabiahsara wakubwa kulipa kodi.....kwahiyo ongezeko la mapato tayari mpaka kufika june bajeti nyengine itakapopangwa swala la elimu litapewa bajeti ya kueleweka...Kumbuka bado hajaonana na bunge unajuaje posho za vikao zitapunguzwa????....MWACHE AFANYE KAZI USIMKATISHE TAMAA.....WATANZANIA HAMJUI MNACHOTAKA NDO TATIZO..TUNATAKIWA KUMSUPORT NA SIO KUMVUNJA NGUVU NA KUMUONA HAJUI ANACHOFANYA.
Haya yote ni nadharia na si ya kuzima moto kama anavyotaka. Kila kitu kinahitaji mipango. January ikifika tutasikia wazazi wakilalamika na pia shule kujikanganya. Nchi bila mipango ya kueleweka na usimamizi haitaenda mbele. Mipango haipangwi na mtu mmoja. Hizo posho za Wabunge kamwe hana ubavu wa kuzipunguze. Aziguse basi tuone. Hapa ishu ya kusapoti bila kuhoji ni kufuata kila unalooambiwa kibubusa. Ni kama wengine wanavyohoji Lowassa angepata wapi! Na yeye pia tungemuuliza lakini huu ni wakati wa Magufuli na si muda wa CCM ni ile ile.
 
Back
Top Bottom