Magufuli ni Tingatinga? Hebu someni hapa!

Huo ni uongo,kuchagua baraza la mawaziri atamshirikisha waziri mkuu,na baadhi ya maamuzi lazima apate taarifa za usalama wa taifa kumjua mtu na hata baadhi ya ushauri toka kwa baadhi ya maraisi wastaafu pia
 
Hao maskini wenyewe ndiyo wanataka mtu mkali ili awanyoshe mafisadi,kumbuka kote anakoenda kujitambulisha anapokelewa na asilimia kubwa ni maskini kwa kuwa wana imani naye pia
 
Tunahitaji raisi dikteta ambaye anauwezo wa kukemea jambo na watendaji wote wakafyata.

Alikuwepo kikwete milikuwa mnamtukana kuwa n mpole hafuatlii mambo.
Kumbuka upole wa kikwete ndio ulisababisha yakatokea haya richmound, escrow n.k.

Sasa hapa ilitushike adabu lazma magufuli ashike nchi awawajibishe wazembe.

Karibu magogon mzee magufuli.
Naona wala rushwa, wafanyabiashara haramu na mafisadi wanaanza kufarakana.
Mm nakuombea uingie ikulu ili watafutane vzr

Kweli kabisa mkuu umeongea kitu ya maana sana. Tanzania ya leo tunahitaji mtu kama Magufuli.
 
Mpira utachambuliwa itakapokuja hoja ya mpira kwa sasa tunawaelimisha ninyi mnaochukua informations kwenye magenge ya kahawa na shoe shine na kuja kudanganya watu
 
Sasa mnaosema hana sifa ya iraisi hebu tutajieni japo mtu mmoja mliomuona ana sifa ya uraisi
 
Huu ni utumbo tu umeongea hapa. Magufuli ndio rais atakaye wanyoosha ninyi mafisadi. Na inaonekana wazi kabisa hata wewe uliyeandika hii mada unadalili Fulani za kifisadi. Subiria tu atakunyorosha wewe na wenzako, upende usipende tinga tinga lishajazwa mafuta, mbona mtakoma safari hii.

VIVA MAGUFULI!!!
 
Tingatinga alafu dereva mwenyewe ni ccm, hapo hamna kitu..

huyo dereva anaendesha ovyo. Karibu atanyang'anywa leseni.
 
Magufuli ataisikia tu magogoni.Haoni ndani

ww mfamaji tunajua unatapatapa tu, ikulu ataisikia babu yako slaa na mwenzie lipumba ila sio magufuli.
Magufuli ndo rais wako utake ustake kama hutaki andamana tukumwangosi
 
Magufuli hata Kiswahili shida. Kimombo sijui sijawahi kumsikia akizungumza. Km atakuwa rais nitasikitika sana. We need an intellectual president. Mkapa walau alikuwa intellectual na mkali. Yaani hata akifanya presentation katika majukwaa ya kimataifa unajivunia ni rais wako. Mkapa alikuwa anaheshimika sana Kimataifa na hata nyumbani. He was an intellectual. Mnakuwa na rais wa hapahapa. Sisemi awe kiguu na njia km Kikwete lakini ambaye akiongea kitu mahali wenzake watikise vichwa. Kazi ya urais sio kukimbizana tu watendaji. Najisikia aibu sana km Magufuli atapata zali la kuwa rais wangu km alivyopata zali la kuteuliwa na ccm kwa bahati mbaya
 
Hivi ccm watakuwa wameishiwa kabisa? Magufuli ana sifa gani za kuwa rais wa nchi. Maana na umuhimu wa urais imepotea kabisa. Magufuli ni mchapakazi lakini hana sifa nyingine muhimu zinazofaa kuwa rais. Ni wa kawaida mno. Ccm walizingatia tu kigezo cha kufahamika kwa uchapakazi wakasahau vingine! Vyama vya upinzani jipangeni vizuri mchukue nchi. Magufuli sio presidential material.
 
Aliyemuangusha JK ni Pinda kwa kukosa maamuzi kila Jambo kwake mpaka apewe maelekezo.
Hyo kweli pinda hakua na maamuzi sana ila miaka ya mwanzo ya u raisi wa Jk na lowasa walikua wanaenda vizuri hadi heshima ya hivi vyeo ilikuwepo. Baada ya Elli Ku step down ndo shida ikaanza.
 
Hivi ccm watakuwa wameishiwa kabisa? Magufuli ana sifa gani za kuwa rais wa nchi. Maana na umuhimu wa urais imepotea kabisa. Magufuli ni mchapakazi lakini hana sifa nyingine muhimu zinazofaa kuwa rais. Ni wa kawaida mno. Ccm walizingatia tu kigezo cha kufahamika kwa uchapakazi wakasahau vingine! Vyama vya upinzani jipangeni vizuri mchukue nchi. Magufuli sio presidential material.

mkuu japo ulikwepa kujibu swali langu....
Nataka nikuulize hivi.
Hivi Dr slaa anasera gani ya kuweza kuwashawishi watanzania ili wamkubali?
Nachojua sera zote alizimwaga na hazikumsaidia klichobaki kwa slaa n kurudia taarabu za mwaka 2010 ambazo zmechakaa,

hivi lipumba atasimama na kuongea nn? Wakat Tangu mwaka 1995 ypo lakn anaangukia pua?

Hakuna mgombea yoyote kutoka ukawa atayeweza kusimama na magufuli..

Labda wamsimamishe mtu kama Tundulisu aje na hoja mpya,.

Slaa hakuna hata alichofanya hata ndan ya chadema zaidi ya unafiki kwa Zitto na kafara ya Chacha wangwe
 
Nimeshasema hili ni janga la kitaifa,
The guy is so mechanical, yaani sifa na mihemko ndo utendaji wake
SINA IMANI NA UKAWA
 
mcfm40

Watu waoga watatafsiri kila kitu kilicho mbele yao kuna uwezekano mkubwa hata nyumba huna maana ukijenga unajua kuna siku utakufa
 
Last edited by a moderator:
mkuu japo ulikwepa kujibu swali langu....
Nataka nikuulize hivi.
Hivi Dr slaa anasera gani ya kuweza kuwashawishi watanzania ili wamkubali?
Nachojua sera zote alizimwaga na hazikumsaidia klichobaki kwa slaa n kurudia taarabu za mwaka 2010 ambazo zmechakaa,

hivi lipumba atasimama na kuongea nn? Wakat Tangu mwaka 1995 ypo lakn anaangukia pua?

Hakuna mgombea yoyote kutoka ukawa atayeweza kusimama na magufuli..

Labda wamsimamishe mtu kama Tundulisu aje na hoja mpya,.

Slaa hakuna hata alichofanya hata ndan ya chadema zaidi ya unafiki kwa Zitto na kafara ya Chacha wangwe
Ulivyoandika unaonesha kabisa unamkubali Slaa kimoyomoyo. Aliyosema Slaa 2010 yameexpire kivipi? Km ufisadi si ndio umezidi kutamalaki? Umesahau Escrow juzi ilivyowaumiza serikali za mitaa? Hebu nitajie jambo moja la 2010 ambalo unadhani sio relevant leo? Hivi mkuu unaweza mlinganisha Dr Slaa na Magufuli? Kwanza kumbuka Slaa amepata formarion yake ndani ya kanisani. Mfumo wa elimu unaotolewa kanisani ni very comprehensive! Unamjenga mtu holistically. Unamjenga mtu kuwa na uwezo wa kupambanua mambo kwa mapana. Unatengeneza watu kuwa na uwezo wa kuangalia critically. Ile sio elimu ya say chemistry km Magufuli. Ni total education of the entire person. Sasa ukichanganya na uzoefu wa kutosha bungeni na ktk kuongoza chama. Usishau pia alishauongoza TEC kwa miaka zaidi ya 10. Huyu jamaa ni kiongozi. Sio hilo anazungumza lugha karibu tano za kimataifa. Kifaransa kijeruman kispaniola kiingereza kiialiano n.k Mtu km huyu huwezi kuquestion uwezo wake wa kiungozi. Tahadhari. Usiseme Slaa kasomea elim ya dini kwani Falsafa sio elimu ya dini. Ukumbuke pia kwamba PhS ya Canon law ni ngumu kuliko hata sheria zetu za kawaida. Ukumbuke
Pia hizi PhD zinazotolewa na kanisa ni genuine sio sawa na hizi za bongo km ya magufuli aliyosoma juzi . Yaani hakuna shortcut. Kielimu na kiuongozi Dk Slaa anamwacha mbalicsana Dk Magufuli
 
mkuu japo ulikwepa kujibu swali langu....
Nataka nikuulize hivi.
Hivi Dr slaa anasera gani ya kuweza kuwashawishi watanzania ili wamkubali?
Nachojua sera zote alizimwaga na hazikumsaidia klichobaki kwa slaa n kurudia taarabu za mwaka 2010 ambazo zmechakaa,

hivi lipumba atasimama na kuongea nn? Wakat Tangu mwaka 1995 ypo lakn anaangukia pua?

Hakuna mgombea yoyote kutoka ukawa atayeweza kusimama na magufuli..

Labda wamsimamishe mtu kama Tundulisu aje na hoja mpya,.

Slaa hakuna hata alichofanya hata ndan ya chadema zaidi ya unafiki kwa Zitto na kafara ya Chacha wangwe
Halafu nilikuwa naongea na mwana ACT kumbe nilidhani CCM. Zitto na Chacha Wangwe wamevwmiaje hii hoja? Umeanza kushindwa hoja unaanza mipasho? Tynaibgolea udhaifu wa Mafufuli
 
Back
Top Bottom