GAS STATE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,770
- 952
acha ujinga wewe hizo kawaambie ke wenzio sio usimame mbele ya midume then unye pumba kama hizo zahanati yetu hadi leo tumejenga kwa nguvu zetu lakini kina nesi 1 tu tena wa enzi za JK. unapataje huduma za afya na nesi mmoja hivi kashindwa kuajiri manesi je hakuna wenye sifa na wapo mtaani, sie tuliomchagua tunateseka mpeni ujumbe huu acheni kusifu kipuuzpuuzi mbw nyie mwambieni ukweli kama wale wa madini.kazi aliyopewa mhe. rais na watanzania anaifanya kwa uwezo, uaminifu, uzalendo na uadilifu mkubwa. Sauti za pongezi kutoka kila pembe ya nchi ni ishara ambayo watanzania walitaka kuiona baada ya kuinuliwa nabii wa kuivusha Tanzania katikati ya bahari ama jangwa.
uwezekano wa rais Magufuli kushinda ni mkubwa kuliko kushindwa kwa sababu watu walitaka kuona ishara nazo zinaonekana, ishara hizo ni pamoja na kupungua kwa changamoto za upatikanaji wa elimu, maji na vituo vya afya......listi ni ndefu sana ila naweza kusema zimefanyika