Magufuli ndo Rais wetu - safari za nje haendi wala ziara za ndani hafanyi

Na 2020 tunamchagua kwa kura nyingi sana atapata 99.9%



Umekosea siyo 99.9% bali ni 100%, kwa sababu upinzani kisha uua, alichofanya kwa upinzani ni sawa na kumfunga kamba mpinzani wako kwa nyuma halafu unamwambia "tupigane"!! Ndicho kitakachotokea katika uchaguzi wa 2020.

Tuombe Mungu aepushe umwagaji damu, matukio ambayo tumezoea kuyasikia kwa majirani zetu.
 
Back
Top Bottom