Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

Kwanza ungekuwa mzalendo kweli usingeenda kuishi huko ughaibuni kwa shemeji yako

mnafiki mkubwa huyo mzee kajificha kwa akina Trump pia hana mamlaka ya kutusemea aache unafiki na akae kimya yani nalichukia hili zeee sina namna tu
 
Unaishi nchi gani vile?
Marekani eeh! shubaaamit.
Njoo hapa uone bei ya sembe inavyowakong'ori watu halafu ndio uongelee hizo 'gharama za lazima' wewe na Magu mnazotaka kutuongezea!
Naona unatetea maslahi yako.
 
Akubali mabadiliko ya katiba ili marais wastaadu waliobariki mikaraba feki ya madinj washitakiwe. Vinginevyo mnacheza maigizo ya siasa tu hapa
Na hao marais wakikubaliwa washtakiwa itakuwa imetatua tatizo gani la mikataba?
 
Kwanza akiri hadharani kuhusika na jambo hilo na aombe radhi hadharani ,halafu Avunje mikataba ya wawekezaji kwa kufuata utaratibu wa kisheria , ule utaratibu wa kimataifa ambao Tanzania imesaini kuufuata , then aanze kuchimba mwenyewe madini ya nchini na kuchakata kila kitu kama wafanyavyo wawekezaji
Na hili litakuridhisha? akivunja mkataba kwa njia za kisheria (una maana aende mahakamani na kujaribu kujitoa) akishindwa alipe na gharama za kesi au atalaumiwa kwa kushindwa kesi nyingine?
 
Aiweke wazi hiyo mikataba.

Aache kusaini mikataba kwa siri bila kujadiliwa kwa mapana bungeni na wadau muhimu.

Apige stop michakato ya leseni za madini na gesi hadi hapo tutakapobadili sheria zilazimishe uwazi kwa LAZIMA.

Kwenye kila mkataba kipengele cha kuvunja mkataba kiipe nguvu serikali.

Madini yote yasiuzwe nje kuoitia third party countries. Badala ya kuuza kupitia LME tuuze kupitia Dar Mineral Exchange. Kama hawataki yaachwe yalipo.

Mwisho kabisa tuache kugawa madini na kusubiri kupewa mrahaba. Tuingie mikataba ya kuwpa kandarasi wachimbaji tu.

Na ukichukua hatua hizi na wawekezaji wakubwa wakigoma au wakitushtaki na tukashindwa?
 
mwanakijiji naomba utambue kua nakuchukia wewe mzee zaidi ya unavyofikiria........hakuna kitu kibaya kama uanfiki wa uzeeni..... i hate you.

Chuki yako itakuumiza wewe mwenyewe kuliko inavyoweza kuniathiri mimi. Lakini kwa vile umekiri una chuki hiyo kali hiyo ni hatua ya kwanza ya kutafua tiba. Natumaini huna tatizo jingine la kiafya.
 
ALWAYS FIGHT FOR DIFFICULT AND STRANGE THINGS IN LIFE ! Huo ndiyo utajiri! SIYO KUKAA CHINI NA KULIALIA 'LITATUGARIMU' ITAKUGHARIMU FOR SURE! LAKINI USIKAE JIKONI KUTETEA UHURU WAKO! WANAUME KAMA JPM NDIYO SIMBA WA YUDA, ANANGURUMA JE KUNA MTU ATASUBUTU KUPAMBANA NAYE? Mijitu ya ajabu kutetea majambazi, totally disappointed kwa watu wasio muunga mkono JPM!
Alafu mnasema kakulupuka (kakurupuka), ukiliona jambazi nyumbani kwako utampa muda kweli? Afanalek walahi!
 
Unajua mnisamehe kidogo; kuna hisia mbaya sana ya uduni (acute sense of inferiority complex). Kwanza, tunaamini tutashindwa kama kes itatokea kati ya serikali na Acacia. Tutashindwa kwa sababu hatuwezi kushinda! Lakini kuna kitu kingine pia kinajionesha. Chukulia kwa mfano hoja ya "mikataba"; sote tunajua jinsi gani suala la mikataba mibovu limeisumbua nchi yetu na jinsi ambavyo ukweli kabisa upinzani ulifanya kazi kubwa sana kuonesha. Sasa unajiuliza; kama kuzuia makontena 277 tu tunaambiwa tutalizwa na tutalipishwa vibaya itakuwaje kama tukigusa mikataba?

Ndugu zetu katika woga wao wanasema "tusifanye lolote kwa sababu itatugharimu"; Wanasahau kuwa wakati mwingine mtu inabidi uchukue maamuzi ya kutetea maslahi yako hata kama itakuja gharama kubwa. Kuna watu wanaamua kuachana katika ndoa wakijua kabisa kuwa kwa kufanya hivyo (ni mkataba huo) watatakiwa kulipa gharama kubwa sana kwa yule mwingine. Lakini watafanyaje sasa? Abakie kwenye uhusiano ambao unahatarisha afya yake ya akili na mwili au atoke ili atafute ahueni kwingine hata kama kwa kufanya hivyo atatakiwa kulipa gharama ya matunzo kwa yule mwingine au atalazimika kugawana mali walizochuma pamoja? Kwa wengine, huo siyo uamuzi mgumu kivile.

Katika mahusiano ya biashara ya kimataifa hili pia si jambo geni; nchi, makampuni na hata watu binafsi wanaweza wakafika mahali wakaona kuwa hali iliyopo (status quo) haiwezi kuendelea na watatafuta namna ya kutatua tofauti zao lakini kama ikibidi wataenda mahakamani kutafuta judicial intervention (mahakama iingilie kati). Wanapofanya hivyo ina maana wanakuwa tayari kwa matokeo yoyote lakini hofu ya gharama peke yake haiwezi kuwa sababu ya kutokuchukua maamuzi yenye maslahi kwa upande husika.

NImewasoma ndugu zangu wengi wakitolea mfano wa mambo mbalimbali ambayo yamewahi kufanywa chini ya Magufuli na kuwa yamekuja kuligharimu taifa. Lakini kama ni gharama ya lazima kwanini tusilipe? Ni kweli kuna haja ya kuwa waangalifu; lakini uangalifu usije kugeuka kuwa woga! Jambo jingine la kuzingatia hapa ni kuwa katika sakata hili la makontena ya michanga mwenye maslahi makubwa ni taifa na siyo kampuni; hivyo kama taifa ni lazima tuangalie maslahi yetu lakini kama maslahi yetu yanatishiwa sana ni jukumu letu kuyatetea kwa umakini, weledi na uangalifu. Lakini kamwe tusisite kuyaangalia maslahi yetu kwa sababu tunaogopa wakubwa wanaweza kutushtaki au wanaweza kuamua kuondoa uwekezaji wao.

Mikataba hii ambayo tunasema "tuipitie" na tumeshadai kuwa ipelekwe Bungeni; lengo litakuwa ni nini? Je, tukiipitia au tukiipeleka Bungeni tutataka tuifumue tu tuifute au tuijadili upya? Vipi kama hao "wakubwa" wakigoma kupitiwa tena mikataba yao na wakikataa tusiiguse kwa sababu ni mikataba halali? Je, kama tukifanya hivyo kwa maamuzi yetu wenyewe (unilaterally) siyo kwamba watatupeleka kwenye arbitration ambako tutaweza kupoteza kama tulivyofanya kwenye Dowans? na kesi nyingine?

Wanaosema "tupitie mikataba" - jambo ambalo wengi tunalikubali na tumelipigia kelele miaka nenda rudi - hawajui kuwa wakubwa hawa kama kuna kitu watatubana nacho sana na hawako tayari kukiona ni kupitiwa mikataba hii. Sasa, Magufuli akiamua kusitisha mikataba na kuipitia yote (na ninatabiri hili itakapokuja ile kamati nyingine na matokeo yake) je, tutamuunga mkono au tutahamisha magoli tena na kusema "kwanini anaingilia mikataba halali!? hajui watatunyoa na mchanga!"?

Kwa sababu baada ya ile Kamati Magufuli anaweza kuleta usitiswhaji wa muda (Moratorioum) ya hata miezi sita ili kulipa taifa na wataalamu wake kupitia mikataba hiyo. Je, tutakubali na kuunga mkono au tutakimbia tena na kusema "mamaaa wee kagusa mikataba sasa, nchi itakimbiwa"?

Matokeo yake ni kana kwamba tunaambiwe kile alichoambiwa yule mwizi kwenye simulizi fulani 'ukisimama nchale, ukikimbia nchale, ukizungumza nchale, ukiguna nchale, usimeze, usiteme, wale usimumunye"! Ndio maana unaona kuwa Magufuli amefanya kile ambacho Wasambaa wanasema kama ni 'mbwai na iwe mbwai'!

Nawatakieni Mfungo Mwema wa Mwezi wa Ramadan.
Upinzani wa nani ulifanya kazi kubwa kupinga mikataba mibovu? ... LUWASA au SUMAE!!!!!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kuna watu wanajiona wao ndio watanzania zaidi kuliko wengine. Kwanza ieleweke wengi wa watz wangependa wafaidike zaidi (labda ukiondoa hao ambao ni wanufaika wa hii mikataba mibovu ambao ni wachache). Ninachokiona ni kutofautiana katika approach ya kushughulikia hili jambo hasa ukizingatia mikataba tuliyofunga n.k
 
Very good
 
Kwanza. Akiri hadharani kwamba CCM ndio imetufikisha hapa
Pili.akubali kwamba yeye na masisiemu wenzake walikuwa miongoni mwaka waliotusababishia hasara hii. Watuombe msamaha watanzania na wawajibike kisiasa.
Utasubiri sana
 
Ajiuzulu kwa sababu yeye pia alishiriki katika mikataba mbali mbali ambayo imeliingiza Taifa hasara kubwa sana.
Watu mnashangaza sana..

Kwa sababu tu Magufuli ni Rais leo ndo mnasema ajiuzulu kwa sababu alishiriki mikataba!!!...Alishiriki mikataba kwa sababu tu alikuwa Mbunge/Waziri...

Mbona Fredrick Sumaye (aliyekuwa Mbunge na Waziri Mkuu kuanzia 1995 hadi 2005) na Edward Lowassa (Waliyekuwa Mbunge, Waziri na Waziri Mkuu) hamuwagusi kwenye hili sakata, au kwa sababu wako CHADEMA?..

Kwa hiyo mlitaka Rais Magufuli akae kimya na kulifumbia mdomo suala hili kwa sababu tu alikuwa Mbunge na alishawahi kuwa Waziri kwenye serikali ambayo hakuwa na sauti/mamlaka nayo?...Nilitegemea tutamuunga mkono Mhe. Rais katika hili lakini badala yake watu mnalichukulia kisiasa..Eti awajibike kwa sababu alikuwa Mbunge na Waziri...
 
Back
Top Bottom