Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

Ujinga hauwezi kuondolewa na ujinga..
Ni kama vile giza lisivyoweza kuondoa giza..!!
 
Mmemchefua David Beckham hadi kaamua kuja Tanzania kutizama makontena ya Malkia wake
IMG-20170527-WA0104.jpg
 
Aiweke wazi hiyo mikataba.

Aache kusaini mikataba kwa siri bila kujadiliwa kwa mapana bungeni na wadau muhimu.

Apige stop michakato ya leseni za madini na gesi hadi hapo tutakapobadili sheria zilazimishe uwazi kwa LAZIMA.

Kwenye kila mkataba kipengele cha kuvunja mkataba kiipe nguvu serikali.

Madini yote yasiuzwe nje kuoitia third party countries. Badala ya kuuza kupitia LME tuuze kupitia Dar Mineral Exchange. Kama hawataki yaachwe yalipo.

Mwisho kabisa tuache kugawa madini na kusubiri kupewa mrahaba. Tuingie mikataba ya kuwpa kandarasi wachimbaji tu.

Shida ni pale ambapo pengine USIRI wa mikataba unapokuwa ni sehemu ya mkataba.

Wafanyabiashara na wazungu ni wajanja mno.. Hhhh
 
Halafu wakifanya hivyo utaridhika; mikataba ikiendele akubakia ilivyo au unataka wakishafanya hivyo wafanye kitu kwenye hilo la mikataba?
Kwani una uadui na Tundu Lissu?
Mbona alishatoa ushauri wa kisheria, au una undugu na Tulia.
 
Mmmmmh

Tumeshafahamu kuwa ccm (Magufuli akiwemo) ndo wametufikisha huku, sasa inabidi tusiwaamini kabisa katika hili suala maana mpaka sasa wana sura tofauti miongoni mwao. Kama Rais ana nia njema na Taifa, asijaribu kuwaamini mawakili /wanasheria wa serikali. Mpira huu awatafute wabobezi wa sheria (bila kujali itikadi zao kisiasa) na ambao watakuwa huru kumweleza ukweli bila kupepesuka.

Wasi wasi wetu ni ile hali ya kupenda kusikiliza positive ideas tu. Na wanasheria wa serikali lazima waangukie upande huu na hawawezi kuongea kinyume.
Mwehu wewe mshasahau kama PM Sumaye ni kiongozi wa CHADEMA, mgombea urais wa CHADEMA pia anaoneka kwenye picha hotelini siku mkataba wa Buzwagi ukisainiwa..wao kwenu ni safi sana enh? sijui mtazificha wapi sura zenu siku si nyingi.
 
Kwanza. Akiri hadharani kwamba CCM ndio imetufikisha hapa
Pili.akubali kwamba yeye na masisiemu wenzake walikuwa miongoni mwaka waliotusababishia hasara hii. Watuombe msamaha watanzania na wawajibike kisiasa.
We 've got to go beyond party politics on national issues like these. The president is trying to do good today, which includes correcting mistakes committed by leaders of the past. Kwamba yeye ni CCM na waliofanya haya makosa walikuwa CCM ina maana kwamba hawezi kufanya marekebisho? Mimi ni supporter wa Opposition na kama opposition ni wajibu wetu kuwabana viongozi wetu wabuni namna ku remain relevant na wakati huo huo tukiendelea kulijenga taifa. Haya mambo ya kupinga kila kitu eti kwa sababu tunaipinga CCM ni ukosefu wa ubunifu na kama tusipoangalia tutabakia opposition kwa vizazi. CCM has made a lot of blunders during the last 50 years because they have been the only leading party for the last 50 years. Understand that!!
 
Hatuwezi kuiondoa ccm kwenye hii issue kwa kisingizio cha maslahi ya taifa. Wao si ndio serikali ya taifa hili? Tunawaondoaje? Tunataka atusaidie katika hili lakini atambue ni serikali ya Chama chake ndio imesababisha yote Haya. Na hawatufai kutuongoza katika nchi hii.
Seacliff
 
Mwanakijiji you don't feel the impact of Magufuli economic mismanagement decisions. no wonder you can make such observations.
 
Ndio.Tutaipitia mikataba yote kwa HATI ya dharura
 
Mmmmmh

Tumeshafahamu kuwa ccm (Magufuli akiwemo) ndo wametufikisha huku, sasa inabidi tusiwaamini kabisa katika hili suala maana mpaka sasa wana sura tofauti miongoni mwao. Kama Rais ana nia njema na Taifa, asijaribu kuwaamini mawakili /wanasheria wa serikali. Mpira huu awatafute wabobezi wa sheria (bila kujali itikadi zao kisiasa) na ambao watakuwa huru kumweleza ukweli bila kupepesuka.

Wasi wasi wetu ni ile hali ya kupenda kusikiliza positive ideas tu. Na wanasheria wa serikali lazima waangukie upande huu na hawawezi kuongea kinyume.
Naunga mkono hoja[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Huwezi kurekebisha makosa kwa kuegemea kwenye ripoti ya isiyo na ukweli wala weledi. Kuegemea kwenye ripoti ambayo such unprofessional ni kupoteza dira.

Unaandaa ripoti ambayo yeyote mwenye uelewa hata mdogo kabisa wa madini anaiona ni ripoti ya uwongo, halafu unasema nachukua hatua hizi. Hiyo siyo sahihi. Kitakachofuatia ni unaowatuhumu kukudhihirishia kuwa ripoti yako ilikuwa ni ya kupikwa. Watakapothibitisha hilo, utaendelea kushikilia maamuzi ambayo uliitangazia dunia kuwa umeyachukua kutokana na ripoti ya wataalam?

Huwezi kuunga mkono kitu ambacho kimeegemea kwenye taarifa ambayo ni ya uwongo. Lazima kutatokea wengi wa kuhoji. Na majibu yatakapokosekana hakuwezi kuwa na umoja. Na katika hili hakuwezi kuwa na umoja. Siyo kwa sababu watu hawataki nchi ifaidike zaidi kutokana na sekta ya madini bali kwa sababu mbinu iliyotumika siyo sahihi.
 
Kama Mnaamini hayo Makontena yana dhahabu na Madini ya kiasi hicho basi kayauzeni nyinyi afu mtuletee hizo hela hapa.
 
Kwanza. Akiri hadharani kwamba CCM ndio imetufikisha hapa
Pili.akubali kwamba yeye na masisiemu wenzake walikuwa miongoni mwaka waliotusababishia hasara hii. Watuombe msamaha watanzania na wawajibike kisiasa.

swali jepesi sana umeshindwa kujibu mkuu!! jitathmini
 
Unaishi nchi gani vile?
Marekani eeh! shubaaamit.
Njoo hapa uone bei ya sembe inavyowakong'ori watu halafu ndio uongelee hizo 'gharama za lazima' wewe na Magu mnazotaka kutuongezea!

Kwa akili hii unawakilisha wajinga wenzio wengi wanaohitaji uelewa kwa gharama ya wachache wenye uelewa! Shida inakuja wenye utayari wa kuelewa maana ujinga ukifika kwenye coma stage, (kama uliyonayo) tofauti yake na upumbavu huwa hauna significant different! NI MUNGU TU ATUREHEMU WATANZANIA!!!
 
Kwanza. Akiri hadharani kwamba CCM ndio imetufikisha hapa
Pili.akubali kwamba yeye na masisiemu wenzake walikuwa miongoni mwaka waliotusababishia hasara hii. Watuombe msamaha watanzania na wawajibike kisiasa.
Lowasa na Sumaye nae walihusika pia ama?
 
Kwanza. Akiri hadharani kwamba CCM ndio imetufikisha hapa
Pili.akubali kwamba yeye na masisiemu wenzake walikuwa miongoni mwaka waliotusababishia hasara hii. Watuombe msamaha watanzania na wawajibike kisiasa.

Baada ya kufanya hayo hawatatushtaki?maana mnaogopa kushtakiwa.
 
Aiweke wazi hiyo mikataba.

Aache kusaini mikataba kwa siri bila kujadiliwa kwa mapana bungeni na wadau muhimu.

Apige stop michakato ya leseni za madini na gesi hadi hapo tutakapobadili sheria zilazimishe uwazi kwa LAZIMA.

Kwenye kila mkataba kipengele cha kuvunja mkataba kiipe nguvu serikali.

Madini yote yasiuzwe nje kuoitia third party countries. Badala ya kuuza kupitia LME tuuze kupitia Dar Mineral Exchange. Kama hawataki yaachwe yalipo.

Mwisho kabisa tuache kugawa madini na kusubiri kupewa mrahaba. Tuingie mikataba ya kuwpa kandarasi wachimbaji tu.
Mawazo chanya.
 
Back
Top Bottom