Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

Kuna kila dalili we are rushing to judgement here. Swali la kwanza kabisa la kujiuliza ni je ripoti ya tume iliyoibua haya yote ni ya kweli? Yaliyotajwa kwenye ripoti yapo sahihi? Tunahitaji uchunguzi huru, kujiridhisha ukweli wa kile kilichomo kwenye ripoti. Hasa kwasababu upande wa pili (ACACIA) umedai report yetu iliyoandaliwa na tume tuliyoiunda sisi imejaa uongo.

Iwapo yanayosemwa kwenye ripoti ya tume iliyotumwa kuchunguza haya ni ya kweli, swali la pili linakuja: je hawa ACACIA wamekiuka kipengele gani kwenye makubaliano yao na serikali. Kama kweli wamekiuka mkataba basi tuna haki ya kusitisha shuhuli zao na kuangalia upya uwekezaji wao hapa nchini.

Kama tatizo ni ujinga au wizi wetu sisi wenyewe uliotupelekea kuingia mkataba wa kutunyonya, basi tushikane mashati sisi wenyewe. Mwisho wa siku utakuta ni Kikwete, Mkapa, Chenge, Werema, sijui Othman, au hata Magufuli yeye mwenyewe ndo chanzo cha haya yote, halafu tunajifanya kupiga kelele tumeibiwa na wawekezaji.

Kama yaliyotokea ni "good faith errors" made by our negotiators (former government representatives) basi tuwe wakweli tu, na tuseme hivyo, badala ya kutoa lawama zisizostahili kwa hawa wawekezaji.
 
Kujua unafiki wa Magufuli tumshinikize aweke mikataba yote ya nchi ya awamu ya tatu, nne na sasa hadharani ikiwemo ile ya ununuzi wa ndege. Watanzania tuichambue kwa kina tukishirikiana na Wabunge.

Kwa unafiki wake hili hawezi kulikubali.

Nchi sio chama cha siasa, haiendeshwi kama unavyotaka kuaminisha wenye uelewa finyu!
 
Ndugu yangu MM nakushukuru sana kuonyesha mfano halisi wa kumsapoti Raid wetu,Mimi nasema acha nchi ianguke wote tukae chini nampenda sana Magufuli!
Raid ndio nini ?
 
Ndugu yangu MM nakushukuru sana kuonyesha mfano halisi wa kumsapoti Raid wetu,Mimi nasema acha nchi ianguke wote tukae chini nampenda sana Magufuli!
Punguani kweli ww,yaani mahaba yako yagharimu taifa kisa tu mahaba!!!!
 
Hivi kama serikali ingeamua kuruhusu makontena yaendelee kusafirishwa na kuzuia walau kumi tu kama sampo na kuyapeleka kuyasmelt wakiwa na independent observers ili kubaini ukweli wa kiwango cha madini katika makinikia ,nini kingeharibika?

Hapo wangeweza kubaini ukweli bila kuwepo hatari ya kushitakiwa na kama ingebainika kuna udanganyifu serikali ingefungua madai kwa miaka yote waliyochimba madini.

Sasa tujiulize ,kulikuwa na umuhimu gani wa kuzuia kontena zaidi ya 200 wakati wangeweza kufanya random sampling ya container walau kumi tu na majibu yakapatikana bila kurisk ?
 
Ni mawazo mazuri lakini ya kijinga, wewe utaruhusuje mali iende kwa jina la magwangala/makinikia wakati sio?!
 
Ni mawazo mazuri lakini ya kijinga, wewe utaruhusuje mali iende kwa jina la magwangala/makinikia wakati sio?!
Mimi ninaweza kuwa na mawazo ya kijinga lakini wewe mwenzangu umepinga mawazo yangu unayoyaita ya kijinga kwa akili za kizuzu na kipumbavu na kimbumbumbu.

Makinikia yamesafirishwa kwa zaidi ya miaka 15 na kila mwaka yanasafirishwa makumi ya maelfu.wewe leo hii ndo unakuja kuzuia eti umeshituka. Tena umazuia katika mtindo ambao unaweza kusababisha hasara kwa Taifa.

Kuna ubaya gani kama umechukua kontena chache kwa ajili ya uchunguzi bila kuzuia kusafirisha mengine ilihali ukibaini ukweli utalipwa miaka yote ambayo umedanganuwa?

Unajua madahara ya kuzuia kuntena endapo itabainika taarifa za wawekezaji ni sahihi ?

Unajua kama TMAA ni sehemu ya serikali ya Tanzania na ndio walikuwa wana-certify kiwango cha madini yaliyopo kwenye makinikia?

Acha uzuzu wewe .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unataka Magufuli achukue hatua gani kwenye suala la mikataba mibovu?
Acheni kujitoa fahamu kwa kuongozwa na njaa. Mikataba hii iliandaliwa na kusainiwa na serikali, na leo tunarudia mule mule, mtu mmoja anafanya maamuzi kwa ajili ya taifa. Bunge kazi yake nini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shida ni pale ambapo pengine USIRI wa mikataba unapokuwa ni sehemu ya mkataba.

Wafanyabiashara na wazungu ni wajanja mno.. Hhhh

SI kweli kuwa wao ndio wanalazimisha USIRI, ni viongozi wetu, kwa sababu ya aibu.

viongozi husaini hii mikataba wakiwa desperate. hivyo mammbo wanayokubaliana nayo huwa ni ya kishenz shenz.

Tusingekuwa desperate dhahabu ingeachwa ibaki ardhini, kama alivyofanya Nyerere. wawekeze kwenye sekta zisizohitaji kusafirisha kitu kwenda nje ya nchi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni mawazo mazuri lakini ya kijinga, wewe utaruhusuje mali iende kwa jina la magwangala/makinikia wakati sio?!
Kwa uelewa wako huo mchanga bandarini ni mali ya mwekezaji. Ametimiza kila hitaji la serikali mpaka hapo. Wakienda mahakamani serikali itashtakiwa kuzuia mali ya wenyewe bila sababu, sababu wana nyaraka zote hitajika kutoka kwa serikali hiyo hiyo.
 
Hatuna muda wa kulaumiana kwa sasa! Hapa ni kutumia kucha na meno mpaka mikataba ya madini ianze kutunufaisha! Na Magu kashaonyesha uthubutu! Tumuunge mkono tutatoka tu! Wale wanaombeza Magu, endeleeni tu, baada ya kufanikisha na kuinusuru nchi yetu kutoka kwenye mikataba kandamizi ndio mtakuja panda boti yetu ya 'alesema aleja, selema selema aleja!
 
@mwanakijiji nikushukuru kwa maoni yako mazuri. Natofautiana nawe kwa mkondo ambao tumeuchukua kupitia rais wetu kutatua makosa haya.
Mwanzo tunakubali wote kwamba kuna makosa. Tofauti ni jinsi ya kurekebisha makosa.
Binafsi nampongeza rais kwa kujaribu kuliendea jambo hili. Ujasiri wake ni wa kuungwa mkono ila naona kwa njia alioliendea hili tutajikwaa muda sio mrefu.
Dhahabu, madini au raslimali yoyote ile huwa na manufaa kwa wenyewe ikiwa na soko.
Mwekezaji akija ni mfanya biashara na anaongozwa na mkataba na serikali. Tunachotakiwa kubainisha ni kama hawa Acacia walikiuka huu mkataba. Kama walikiuka, tunao ushahidi. Mkataba wenyewe unasemaje kuhusu mmoja akikiuka?
Maswali haya ndiyo yanayofanya nitilie shaka maamuzi haya ya rais.
 
Wewe ndiye mwenye uelewa finyu unataka kupigia makofi, nderemo, vifijo na vigelegele UOZO chungu nzima wa miaka nenda miaka rudi ulioligharimu Taifa trillions of shillings lakini hawa wahuni wanaendelea kulindana miaka yote hii. Hakuna hata mmoja aliyekamatwa kwa ufisadi na wizi au kufilisiwa mali zake zote ambazo nyingi huzipata kwa njia haramu.

Acha kudumaza akili yako na kuwatetea wahuni, wezi, mafisadi na watoa na wapokea rushwa.

Nchi sio chama cha siasa, haiendeshwi kama unavyotaka kuaminisha wenye uelewa finyu!
 
Ni taahira tu ndiye anayeweza kuandika upuuzi kama huu.
Mali ya Watanzania mikataba ya mali ya Watanzania isainiwe na watu wachache wenye sifa ya ufisadi na wizi na kutotaka mikataba hiyo iwekwe hadharani.

Nafikiri kuna umuhimu kuanzia sasa mikataba yote kabla ya kusainiwa ikajadiliwe bungeni ili kuangalia tunafaidika vipi kama Watanzania kama ina kasoro ambazo hao wawekezaji hawako tayari kuzifanyia modification basi ioigwe chini.

Nchi sio chama cha siasa, haiendeshwi kama unavyotaka kuaminisha wenye uelewa finyu!
 
5219ae28b8942517ab018c8508a960db.jpg
 
Mmmmmh

Tumeshafahamu kuwa ccm (Magufuli akiwemo) ndo wametufikisha huku, sasa inabidi tusiwaamini kabisa katika hili suala maana mpaka sasa wana sura tofauti miongoni mwao. Kama Rais ana nia njema na Taifa, asijaribu kuwaamini mawakili /wanasheria wa serikali. Mpira huu awatafute wabobezi wa sheria (bila kujali itikadi zao kisiasa) na ambao watakuwa huru kumweleza ukweli bila kupepesuka.

Wasi wasi wetu ni ile hali ya kupenda kusikiliza positive ideas tu. Na wanasheria wa serikali lazima waangukie upande huu na hawawezi kuongea kinyume.
lowasa na sumaye walikuwepo usilete utani kwamba wamebadilika kwa kuzungusha mikono tu
 
Ndugu yangu MM nakushukuru sana kuonyesha mfano halisi wa kumsapoti Raid wetu,Mimi nasema acha nchi ianguke wote tukae chini nampenda sana Magufuli!

mwanakijiji naomba utambue kua nakuchukia wewe mzee zaidi ya unavyofikiria........hakuna kitu kibaya kama uanfiki wa uzeeni..... i hate you.
 
Back
Top Bottom