Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Ndege zinaingiza hasara ya trillions. Na cha kustaajabisha hao ATCL hawajapunguza wafanyakazi au mishahara ili kupunguza gharama zao kubwa.



Think twice,,,,,

Hizo ndege hazitoi ajira?


Mwenye chuki ni chuki tu hata jema halioni.
 
Ununuzi Ndege kuna ufisadi wa kutisha tuombe mungu chadema waingie ikulu ili wamtolee kinga ajibu mashitaka kama ya Zuma kule South Africa
 
Sahau kuhusu maendeleo ya watu madikteta wote vitu Ni muhimu kwao
Pesa zote kachukua hapo Hazina kapeleka chato na kwenye kampeni ujenzi wa SGR unasuasua hawajalipwa takriba kwa miezi minne sasa wanalia njaa wafanyakazi wanakaribia kugoma
 
Am
Pesa zote kachukua hapo Hazina kapeleka chato na kwenye kampeni ujenzi wa SGR unasuasua hawajalipwa takriba kwa miezi minne sasa wanalia njaa wafanyakazi wanakaribia kugoma
Amewasomesha namba watz ili wamuabudu Ni kuukimbiza upepo kina sokoine walisumbuwa Sana siku hizi wanasomwa kwenye history
 
Hehehe jomba usipanic..Yani hujui hata misingi ya chama chako unachekesha kweli...umedandia gari kwa mbele Nini...
Nadhani wewe ndio umepanick .. tena umekurupuka kunijibu? Why?
Sababu kwanza nimestate mimi sio mwanasiasa. Sina chama.. wala sifungani na siasa za upande wowote.

Nichouliza ni simple question . Mna accuse yes... je mna evidence inayo support allegation zenu.
Kama mnazo wekeni hapa.
 
Ndege zinaingiza hasara ya trillions. Na cha kustaajabisha hao ATCL hawajapunguza wafanyakazi au mishahara ili kupunguza gharama zao kubwa.


Pia kuna ufisadi wa kutisha gharama za kuzifanyia service’ ndege ni kubwa kuliko kinachoingizwa
 
10% ununuzi Ndege ni mkubwa, ufisadi ni mkubwa mno wamezuia CAG kupita huko na hata akipita atapita Kijuu juu hataweza kuzama deep maana akizama zaidi italeta balaa kwa mtukufu, Bahati mbaya katiba ya Tanzania ni ya hovyo, tungekuwa na katiba kama ya South Africa mda huu mtu angekuwa ana kesi na kufunga cha nyumbani kwake
 
Hao atcl wana business plan ambayo imbayo wameona kwamba wanahitaji kukuza fleet yao ya ndege? Kama hawana Mzee baba ana amua tu kuongeza ndege basi ni hatari kwa uhai wa hilo shirika .
 
Raisi ana mshahara Na marupurupu ya mamilioni ya shilingi kila mwezi, Na ana kiinua mgongo Na pension ya mabilioni, yet analishwa, kuvishwa, kutibiwa, Na kulazwa kwa kodi ya watanzania Na familia yake yote kwa maisha yake yote. Sina hakika kama anajua kuna watu wana shida!
Umesahau kuendeshwa na kunyishwa (sio kunywishwa).
 
Watu ni masikini, wajinga na wagonjwa.

Mtu masikini ni mwoga
Mtu mjinga anaamini katika kujipendekeza
Mtu mgonjwa hana tumaini.

Kinachofanyika ni kuhakikisha mtu huyu anaendelea kubaki na hali aliyonayo huku akifurahia selfie kwenye majengo ya kifahari.
 
Naona jamaa kutokana na ushamba na ulimbukeni kila siku anaota ndege.....
Nyuma yake kuna upigaji ambao haijawahi kutokea tangia Tupate Uhuru wa bendera....

Tundu Lissu anatufaa sana...
Kwanini unahisi anatufaa?? Maana mie sijasikia sera yoyote zaidi ya kulalamika kuonewa na kumkosoa tu Magufuli.. Sasa je yeye atafanya nini na ikiwa hata ilani tu hatuioni??
 
Fedha alizozitumia kununua ndege angezitumia kujengwa daraja la kigongo busisi linalounganisha mkoa wa mwanza na Geita lingekuwa na faida kubwa kuliko hizo ndege na ungekuwa tayari alisharudisha fedha zake mapema. Ila ashauriki na hajui aanzie wapi na aishie wapi. Hata akichaguliwa Tena SGR kwa kipindi Cha miaka mitano itakuwa haijafika mwanza kutokea dar. Utakuwa mradi kiporo. Bila katiba mpya anakusumbua yote anayoyafanya CCM utakuja kuviuza Tena na kuvitapanya upya
Kwanini kanda ya ziwa na si mahali pengine?
 
Pesa zote kachukua hapo Hazina kapeleka chato na kwenye kampeni ujenzi wa SGR unasuasua hawajalipwa takriba kwa miezi minne sasa wanalia njaa wafanyakazi wanakaribia kugoma
Mbona unatabiri?? Kwaninj wanakaribia kugoma na sio wamegoma??
 
Back
Top Bottom