kamanda nadhani hujaelewa mustakabali mzima wa Magufuli na Mhongo. embu take time na review the whole issuWale mliomsikia Rais Magufuli alichosema leo kuhusu sera ya nishati ya umeme
mtakubaliana na mimi alichofanya leo Magufuli ni 'kumpinga waziwazi'
waziri wake wa nishati ndugu Muhongo....
nimewahi kuleta thread humu nikiuliza anayoyasema Muhongo ndo aliyotumwa
na Magufuli?Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?
Tunaweza kusema sasa kuwa Muhongo alikuwa 'ana sera zake binafsi'
za nishati alizokuwa anazitekeleza na sera za Rais Magufuli ni tofauti
na za Muhongo
Muhongo toka ateuliwe amekuwa anazungumza kuhusu 'wawekezaji binafsi'
kuzalisha umeme na Tanesco kununua tu
akisema ndo solution ya matatizo ya umeme Tanzania
Leo Rais Magufuli kasema hataki kusikia tena biashara za kununua umeme na kukodisha
mitambo na mambo ya mikataba na kampuni binafsi
Tanesco ijiimarishe izalishe yenyewe....
Sasa najiuliza je hii sio confusion now?
why Muhongo aendelee kuwa waziri?
why Magufuli asimteue anaemuona anaelewa sera zake?
Je wawekezaji waliomsikiliza Muhongo waki invest mabilioni wakiwa
na imani kuwa 'muelekeo ni Tanesco kununua tu na si kuzalisha yenyewe si wataingizwa mkenge?
Niseme ingawa binafsi naona Magufuli yuko sahihi kwa hili
lakini hii 'confusion' inaweza leta shida huko mbele....
Kama Muhongo anatofautiana kimtazamo na Rais Magufuli kwenye sera za nishati ni bora
aondoke au aondolewe haraka asije sababisha 'mkanganyiko' huko mbele
Na Rais Magufuli awe very clear na sera ya nishati
tueleweke muelekeo ni upi? ili hata TANESCO nao wajipange huku wakijiamini kuwa
wapo sawa kisera na mkuu wa nchi
Kuliko kuwa na waziri anaewaambia 'wajiandae kuachia uzalishaji'
huku Rais anawaagiza 'wajiimarishe kwenye kuzalisha'
hii confusion ni jipu kubwa
Huyu ndio katika wale watakaoachwa kwa aibu.Najaribu kuuchukulia katika postive uteuzi wa muongo baada sioni tija kwakweli, anaishia kupoteza imani ya watu kuamini ufanisi wake katika wizara hii.
uongozi inatakiwa upendwe na majority, hizi confusion anazotengeneza zinamuongezea wasio muamina na kutokuwa na imani na yeye. hazimpi umaarufu bali anaonekana ndo waziri mzigo kuliko wote yani kilaza
kutokana na hizi confusion hata kama aalikuwa ni mzuri kikazi automatic ataishia kufanya madudu tu.
najua amewekwa kisiasa kurinda heshima ya serikari iliyopita, na scandal zake. this guy is huge political burden, and anamuaibisha magufuli na kuonekana utawala usio na vision
Tatizo la kushangilia udikteta ni kwamba udikteta hauna mipaka. Utasema rais kufanya udikteta ni sawa katika jambo unalotaka, yeye atatumia nafasi hiyo kufanya udikteta mpaka katika jambo usilotaka.Unajua siku Magufuli atakapo badilisha katiba ajiongeze mda kuna watu
watastuka kama vile hawaoni huu mwanzo...
hao mawaziri kina Makamba wanaomsifia kinafiki now huku
wakimsubiri amalize miaka 10 wagombanie kumrithi watabaki mdomo wazi
wakati hili lipo waazi kabisa ukilitazama
Tatizo la kushangilia udikteta ni kwamba udikteta hauna mipaka. Utasema rais kufanya udikteta ni sawa katika jambo unalotaka, yeye atatumia nafasi hiyo kufanya udikteta mpaka katika jambo usilotaka.
Utafurahia rais kufukuza vijana wasio na kazi mjini leo, kesho watalalamika hawana pa kulima, rais huyo huyo atakunyang'anya shamba lako ili awape wao walime. Unatakiwa uendelee kushangilia tu, maadam ushakubali kushangilia udikteta.
La sivyo utawala wa sharia uchukue mkondo.
vision binamu...visionTatizo ni maono
Hivi waziri kutofautiana rais bado tu huoni ni tatizo?.kuna maana gani ya kua na waziri asiye elewa matakwa ya rais juu ya wizara husika?.Muendelezo wa siasa za fisi....kufuatilia mambo yasiyo na mantiki.
Nakuona ulivyofura....Hivi hawa vikatuni wa uongozi wanakaa hata kwenye baraza la mawaziri na kujadiliana cha kufanya na kusema?
The Boss
Kuna tofauti kubwa kati ya wawekezaji binafsi katika sekta ya umeme na Tanesco kukodisha mitambo ya kuzalisha umeme.
Fikiria japo kiduchu utaelewa tu.
Hint: PPP
Mkuu hebu tumwagie hapa jamvini jinsi ambavyo wewe umewaelewa maana wote hapa lengo kuu ni kujenga nyumba moja.kamanda nadhani hujaelewa mustakabali mzima wa Magufuli na Mhongo. embu take time na review the whole issu
Hivi kati ya Magu na wew yupi ambae hajitambui?Mawaziri wameshindwa muelewe Magu ni mfuasi wa ujamaa, mawaziri wao wanawaza kibepari,
By the way Magu anahitaji msaada mkubwa wa kisera na fikra,
Hajitambui anataka nini tofauti na majipu
Ninyi endeleeni kumzungushia mikono lowassaKibaya zaidi, wananchi wengi tu wanashangilia.
Una kazi kubwa sana....Si ndo maana anaanza kusema watu wakamatwe wapelekwe kwenye makambi
kisa wanacheza pool...huku anatoa amri za kupunguza wafanya kazi kwenye mashirika..
yaani akiachwa kila kitu kiende ubongo wake unavyo mtuma...the worst is yet to come...
Ndugu zangu, ukiondoa doa la Escrow, pamoja na mapungufu ya kibinadam aliyonayo ambalo ni jambo la kawaida kwa kila binadam, Prof S Muhongo ni kati ya Viongozi ninaowaanini na kuwakubali. Kwanza siasa yeye hajui anakupa za uso(zikiwa ni FACTS TUPU).Muhongo huwa haongei kwa fact from the ground , yeye huongea kutokana na theory anazo soma. Mgufuli anaongea kile anacho kiamini kinatekelezeka na ndio maana anafuatilia sana kila mradi na anaona uwezekano wa tanesco kujiendesha upo.
Binafsi simwamini kabisa Muhongo kwani anategemea vyeti vyake na cv yake ndivyo vitatuletea umeme. Kumbuka kuna wakati alisema wawekezaji wa tz hawaweI kuwekeza kwenye gas kwa kuangalia figures za fedha kumbe kwenye biashara hakuna figure kubwa .
Magufuli yupo.sahihi na kama kuna uwezekano muhongo awekwe pembeni maana inaonekana sio msikivu.
Jambo amabalo kwangu binafsi naona ni sahihi. Wote ni wasomi wa level ya PhD na kuendelea, lazima kimtizamo kuna sehemu kila mmoja atakua na fikra yake. Lakini mwishowe fikra zao waziharmonize na kuja na kitu kimojaNi dhahiri kuna mgongano wa mawazo.
Nikifura hutaniona, macho yako yatapasuka kama umepigwa bomu lililopiga Hiroshima.Nakuona ulivyofura....
Ninyi endeleeni kumzungushia mikono lowassa