MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Wote wababaishaji tu! MAGUFULI mwenyewe anaongea kama mtu asiye na uhakika na akisemacho!
Inaonekana hata magazeti hawasomi, achilia mbali kukaa baraza la mawaziri.
Mawaziri wameshindwa muelewe Magu ni mfuasi wa ujamaa, mawaziri wao wanawaza kibepari,
By the way Magu anahitaji msaada mkubwa wa kisera na fikra,
Hajitambui anataka nini tofauti na majipu
Kibaya zaidi, wananchi wengi tu wanashangilia.Yaani Magufuli anawaongoza kwa style ya kuwafanya
wawe wana guess kasimama wapi...halafu wamfuate
ni kama hakuna maagizo kabisa...
So leo kasema kuhusu Tanesco kujiimarisha kuzalisha yenyewe
usishangae kesho Muhongo huyu huyu akaanza kulipigia debe hili hili
360 degree atazunguka na akaendelea kuwa waziri na wananchi kama kawa
tukiambiwa 'hapa kazi tu'
Kwani watalamu wa umeme lazi a izalishe tanesco yenyewe mbona vyuo vingi tu we vipi bana.Haha, kuna watu wanaona haya matamko na maagizo ni mapya ...
TANESCO Leo haina hata chuo cha kuzalisha wataalamu wake......
Nahisi baada ya bunge la bajeti kuisha kuna mawaziri watapunguzwa na wapya kupewa hatamuMkuu Nguruvi3 bora wewe umetusaidia kuorodhesha madudu haya ya Muhongo
ndani ya siku 100 tu
kinachoshangaza ni kuona why Magufuli hamuondoi haraka?
Wonders shall never end!Haha, kuna watu wanaona haya matamko na maagizo ni mapya ...
TANESCO Leo haina hata chuo cha kuzalisha wataalamu wake......
Kibaya zaidi, wananchi wengi tu wanashangilia.
Atakagua mpaka chupi kama watu wamefua, bila kuwapa maji wala sabuni.Si ndo maana anaanza kusema watu wakamatwe wapelekwe kwenye makambi
kisa wanacheza pool...huku anatoa amri za kupunguza wafanya kazi kwenye mashirika..
yaani akiachwa kila kitu kiende ubongo wake unavyo mtuma...the worst is yet to come...
Ambacho hajakielewa ni kipi?Minaona wewe hujamuelewa vyema Rais
Hebu pitia tena hotuba yake
Wote wababaishaji tu! MAGUFULI mwenyewe anaongea kama mtu asiye na uhakika na akisemacho!
Tatizo kubwa ni kukosa sera ya nishati iliyokubalika kwa wananchi. Ndio maana kila kiongozi anakuwa na mtizamo wake. Ila Muhongo inabidi asome alama za nyakati vinginevyo atawaingiza mkenge madalali wenzake yawe kama yale ya February na Muitaliano.Hili swali najiuliza kila siku
waziri anaongea a,b,c
anakuja Rais anasema x,y,z...
jambo ni hilo hilo.....unabaki mdomo wazi
Ile hotobu ya wakuu wa mikoa ndio aliharibu sana,Umenikumbusha Magufuli anasema mashirika yapunguze wafanyakazi
halafu vijana wasio fanya kazi wakamatwe wapelekwe kwenye makambi
yaani mvurugano wa sera za kikomunisti na kibepari...
Hii ndio nchi pekee na ya kwanza kusikia Waziri na Rais wanatofautiana kwenye sera nyeti kwenye wizara nyeti kama hii.....
Yaani tuna nchi ya ajabu sana....
Unaweza tu kujiuliza swali la kijinga,kama wewe The Boss umeona huu mkanganyiko inakuwaje rais au waziri hajaona?
Yaani taarifa unaanza kuzipata wewe kabla yao au inakuwaje?
Yaani kama ni hivyo tunaishi kwenye nchi ya ajabu kabisa kuwahi kutokea duniani.....
Uongo unajulikana kwa contradiction.Hii ndio nchi pekee na ya kwanza kusikia Waziri na Rais wanatofautiana kwenye sera nyeti kwenye wizara nyeti kama hii.....
Yaani tuna nchi ya ajabu sana....
Unaweza tu kujiuliza swali la kijinga,kama wewe The Boss umeona huu mkanganyiko inakuwaje rais au waziri hajaona?
Yaani taarifa unaanza kuzipata wewe kabla yao au inakuwaje?
Yaani kama ni hivyo tunaishi kwenye nchi ya ajabu kabisa kuwahi kutokea duniani.....
Lakini hii inaashiria nini? Inatoa picha gani kwa Magufuli? Sio Rais alipaswa tangu awali kabla ya kumpa hiyo kazi angempa Sera....mwelekeo na imani yake ktk sekta hiyo? Hii haituoneshi Mzee Magu Mzee wa ghafla na kuripuka?Yaani Magufuli anawaongoza kwa style ya kuwafanya
wawe wana guess kasimama wapi...halafu wamfuate
ni kama hakuna maagizo kabisa...
So leo kasema kuhusu Tanesco kujiimarisha kuzalisha yenyewe
usishangae kesho Muhongo huyu huyu akaanza kulipigia debe hili hili
360 degree atazunguka na akaendelea kuwa waziri na wananchi kama kawa
tukiambiwa 'hapa kazi tu'
Na Mimi nakuunga mkono.Sisi tunahitaji umeme wa uhakika, utapatikana vipi watajua wenyewe.
Hayo mambo ya sera nimeanza kuyasikia tokea mwishoni mwa miaka ya themanini.