Magufuli kwa nini hakemei kukamatwa hovyo kwa viongozi wa upinzani au ndiye anayewatuma?

Binafsi naona ni vyema wateule wawajibike kwa kadri ya sheria na miongozo..... Wananchi sio ma tabularasa .... Hivyo hasira zao ni kwenye box LA kura tuuu....
 
Mzee Magu Ana nia njema ya kukomesha wezi na wabadhilifu lakini kwa kuwa anshindwa kusimamia haki ya watu wake nina imani iko siku ataangukia pua , na nyie timu Magu unaoshabikia uoza huu eleweni mnaingamiza Tanzania
Natabiri anguko kuu la wabunge wa CCM 2020
 
Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
Hao maRc na mDc hawafai kupewa heshima kwakuwa wameshindwa kujiheshimu.
 
Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
Hawajielewi ndo maana
 
Mimi siwaelewi na Naaza Kuwadharau sana, Watu ambao Kila akitokea Mkuu wa Wilaya au Mkoa Kufanya Jambo la Kishenzi dhidi ya Wapinzani au Wananchi moja kwa moja, Basi watu hawa Wanasema Kuwa Rais hahusiki, hajawatuma.

Hawa Wakuu wa Wilaya, na Wakuu wa Mikoa wanateuliwa na Rais, Na Rais Mwenye akili Timamu hawezi Kunyamazia Wateule wake wanapofanya Mambo ambayo ni Uvunjifu wa Sheria. Kuna Matukio Mengi ya Kukera, ya Kihuni na Kihalifu yamefanywa na Wakuu wa Wilaya na wa Mikoa! Kama Kupora Rambi Rambi, Kuvuruga Misiba, Kuingilia Kihamba cha asili cha Mtu na Kuharibu Mazao tena bila hata amri ha Mahakama! Unamwingilia Mtu kwenye shamba la Asili! Ni kama Kumwingilia Magufuli Shambani kwake Chato! Kumkamata Mbunge wa Ubungo, Kuvamia Clouds!

Rais Magufuli Kama hawatumi hawa Wahuni, washenzi, na Wahalifu, Yeye au Mtetezi wake yeyote hapa anieleze ni lini alishawahi Kukemea tabia hizi au kumwajibisha angalau mmoja wa Watu wake hawa wahalifu, maana siwezi kuwaita wahuni viongozi!

Nani Kawaloga Watanzania Mpaka wanaheshimu watu Wanaobeba Mbeleko uhuni wa aina hii?
FANYA KAZI wacha Longo longo....Mtaendelea kupata UKAKASI mpaka LYAMBA! poleni sana CHADEMA haya yanaitwa ni mateso bila chuki mliyataka wenyewe.....
 
Mimi siwaelewi na Naaza Kuwadharau sana, Watu ambao Kila akitokea Mkuu wa Wilaya au Mkoa Kufanya Jambo la Kishenzi dhidi ya Wapinzani au Wananchi moja kwa moja, Basi watu hawa Wanasema Kuwa Rais hahusiki, hajawatuma.

Hawa Wakuu wa Wilaya, na Wakuu wa Mikoa wanateuliwa na Rais, Na Rais Mwenye akili Timamu hawezi Kunyamazia Wateule wake wanapofanya Mambo ambayo ni Uvunjifu wa Sheria. Kuna Matukio Mengi ya Kukera, ya Kihuni na Kihalifu yamefanywa na Wakuu wa Wilaya na wa Mikoa! Kama Kupora Rambi Rambi, Kuvuruga Misiba, Kuingilia Kihamba cha asili cha Mtu na Kuharibu Mazao tena bila hata amri ha Mahakama! Unamwingilia Mtu kwenye shamba la Asili! Ni kama Kumwingilia Magufuli Shambani kwake Chato! Kumkamata Mbunge wa Ubungo, Kuvamia Clouds!

Rais Magufuli Kama hawatumi hawa Wahuni, washenzi, na Wahalifu, Yeye au Mtetezi wake yeyote hapa anieleze ni lini alishawahi Kukemea tabia hizi au kumwajibisha angalau mmoja wa Watu wake hawa wahalifu, maana siwezi kuwaita wahuni viongozi!

Nani Kawaloga Watanzania Mpaka wanaheshimu watu Wanaobeba Mbeleko uhuni wa aina hii?
Awamu hii mtalalamika sana
Ila ukweli nikuwa
Hoja hamna tena
Kosa ni kukubari kuwa Mbuzi wa Majizi hilo lita wasumbua sana
 
Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....

Viongozi wapi hao?
 
Mtu akitamani kufa basi ashakata tamaa na magumu yamemzidi but in real no 1 who wish to die kama ni mzima wa afya
Mkuu huwezi ogopa kitu ambacho hakizuiliki, kifo kipo tu ila ni wivu wa kutangulia na kuwaacha wengine duniani ndo unatufanya hivyo.
 
Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
Hizi lugha zimeasisiwa na hao hao unaodhani hawapaswi kuitwa wanavyowaita wenzao. Kuna mtu alimuita mwingine kichaa hadharani, ila kwa kuwa yeye ni ukoo wa mungu halikuwa neno.
 
Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
Hii ndio lugha rasmi ya awamu hii ya tano!
 
Mzee Magu Ana nia njema ya kukomesha wezi na wabadhilifu lakini kwa kuwa anshindwa kusimamia haki ya watu wake nina imani iko siku ataangukia pua , na nyie timu Magu unaoshabikia uoza huu eleweni mnaingamiza Tanzania
Hana nia njema yoyote, mtazame matendo tu
 
Hii nchi kwa uongozi wa huyu bwana ktk hali ya kutugawa kiitikadi na kunyanyasa watu tuombe sana mungu tuvuke salama, huku mtaani watu wamechoka balaa,wamekata tamaa
 
Halafu moderators wanafurahia threads kama hizi
Hapo hakuna matusi mkuu mbona lugha huielewi, hayo ni majina mtu hupewa kutokana na sifa/ tabia yake....mshenzi, mhuni, mwizi, lofa, ni watu wenye tabia za kishenzi. Uhuni, wizi, ulofa, kama tunavyoita mtu ni profesa kwa maada ya kuzawadiwa nishani ya uprofesa.
 
Back
Top Bottom