Magufuli kwa nini hakemei kukamatwa hovyo kwa viongozi wa upinzani au ndiye anayewatuma?

Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....

Ni nani ambaye anastahli kufanywa mpumbavue na mshenzi? Mtu anayefanya mambo ya kipumbauve, kihuni na kudhihirisha ushenzi kama kuvuruga katiba inayoongoza taifa kwa makusudi, kuvunja sheria kwa kiburi na ufedhuri, aitwe nani?
 
Mtu kufa ni mara moja na baada ya kufa ni hukumu. Mauti haichagui kabila, rangi wala utajiri. Kila mtu atakufa. Magereza ni sawa na hospital, hapachagui mtu na walioko kule ni binadamu. Katika nchi yenye utawala wa hovyo, si ajabu utakuta magerezani kuna watu wengine very innocents.

Ikiwa magereza ya huko ndiyo machinjio ya wasema kweli, hata anayetumia magereza kuua watu kwa siri ipo siku naye atakufa na atakutana na hukumu ya Mungu yenye kutisha hata kama hajui ama hataki.

Usiogope. Kikubwa tenda haki, tafuta kweli, ishi kwa upendo!

Jiangalie mkuu utafungwa na mapovu yako
 
Mtu kufa ni mara moja na baada ya kufa ni hukumu. Mauti haichagui kabila, rangi wala utajiri. Kila mtu atakufa ikiwa magereza ya huko ndiyo machinjio ya wasema kweli.
Kuna vitu vingine vinapopita inabidi tu u mute mana hii nchi inawenyewe any kuwa jasir kama una nguvu
 
Ukiona Kobe yupo juu ya mti basi ujue kuna mtu kampandisha hapo.
Utendaji wote wa kihuni unaofanywa na wakuu wa mikoa na wilaya ni MATOKEO YA MAAGIZO KUTOKA JUU KWA MFALME.
 
Hata ya Kibiti ni dalili tosha. Zile kauli kuwa Polisi lazima aogopwe na RAIA hajajua zinatumika vibaya na kujenga chuki.
Kwa nini Mimi RAIA mwema nimuogope polisi? Natakiwa nimuone ni mtumishi wa umma na hata kama nimepotea mtaa kwenye mji nisioujua napaswa kumsimamisha polisi na kumwambia naenda mtaa X nionyeshe nafikaje. Lakini hawa wetu unaweza kuwa umempa sababu ya kukubambika kitu ili ikutoke hela
Jambo hilo lipo wazi. Mara kwa mara, tunamsikia akiwasisitiza wakuu wa mikoa na wilaya, wawe wanawatia ndani watu, kwani wana uwezo huo!!
 
Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
Mkuu umekuwa kama PC Abdul alikuwa analalama kwa Mh Malima kwanini ameheshimu serikali
 
Serikali ikifanya hivi kwa wauwaji wa Kibiti ndio nitaona nia yao ya dhati ya kuondoa umasikini...Kwa ni wakuu wa wilaya na mikoa hawaungani kukomesha mauaji wao wapo busy na wapinzani wasio na silaha?Shame on you poor government!!
 
Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
kuwa wastaarabu hawawezi?????kumtia mtu rumande kwa upuuzi wa kijinga ina maana gani?
 
Nixon alikuwa rais wa Marekani lakini alijiuzulu mwenyewe kwenye kashfa ya Watergate. Nixon ni mtu aliyekuwa na akili ukimsoma na kumsikiliza. Alijua hapa siponi. Akaona bora nijiuzulu kuliko kuondolewa na bunge.

Bunge la Ndugai linaweza kumuwajibisha rais Magufuli akifanya mabaya?
 
Magufuli gubegube anamtuma mpaka Spika kiongozi wa muhimili unaojitegemea mchana kweupee kwenye hotuba ambayo nchi nzima inasikiliza.

Itakuwa hao mbwa koko wake anaowateua mwenyewe?
Divide and Rule System is back.
 
Nixon alikuwa rais wa Marekani lakini alijiuzulu mwenyewe kwenye kashfa ya Watergate. Nixon ni mtu aliyekuwa na akili ukimsoma na kumsikiliza. Alijua hapa siponi. Akaona bora nijiuzulu kuliko kuondolewa na bunge.

Bunge la Ndugai linaweza kumuwajibisha rais Magufuli akifanya mabaya?

Unaongelea Bunge lipi Mkuu?Hili la NEC ya CCM linalokaa Dodoma kwa kodi zetu na wanachojua ni kupiga makofi hata kwenye upupu?
 
Who fear death?it is inevitable ,one fear unknown journey of death not dwath itself it is something of nature and there some who dare to welcome death and some who wish they are dead than alive have you pondered that?
Mtu akitamani kufa basi ashakata tamaa na magumu yamemzidi but in real no 1 who wish to die kama ni mzima wa afya
 
Back
Top Bottom