Magufuli kwa nini hakemei kukamatwa hovyo kwa viongozi wa upinzani au ndiye anayewatuma?

MKUU KAMA WANA MAKOSA KWANINI WASIKAMATWE
Acha Ushabiki, Makosa Gani?, Meya wa Ubungo alikuwa na Kosa gani? Mbona hii serikali ya Kimalaya haikuthubutu kumfuungulia Mashitaka? Na yeye Pumbavu kabisa anatoka na kufurahia ati sikushitakiwa! Mshenzi ananikamata na kunipiga Pingu bila Kosa kujitafutia Kiki, Naapa kwa Marehemu Baba yangu I will Kill that Dog! The hell is Too Much! Yaani nasikia Kichefuchefu hasa! Na Mwenye shida na Lugha yangu anishitaki.
 
Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
Weye unataka awaiteje? Ni WAHUNI NA WASHENZI!
 
Back
Top Bottom