Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
tumblr_m3q4l2oRy31r5568mo1_1280.jpg


April 1975: The New York Times Magazine published a 21-page article about President Gerald R. Ford. "He does 20 push-ups and 20 lifts of his torso
 
Udhaifu mkubwa ni ule wa kushindwa kuwaletea watanzania Maisha bora kwa kila Mtanzania kwa kushindwa kutekeleza ahadi lukuki zilizo ahidiwa!
 
Mipaka yetu itakuwa salama chini ya amir jeshi mkakamavu kimwili na kiakili
 
Kweli nimeamini kunya anye kuku akinya bata kaharisha!! Mbona ni kitu cha kawaida sana kwa mgombea kuonyesha a yupo fit jamani au kwasababu lowasa hawezi kujibu mashambulizi ndo maana povu jingi??? Nachofahamu hata ukiwa katika interview kuwania nafasi ya kazi unapaswa kuonyesha wewe ni shupavu na sio legege hasa wakati wakuongea au hata unaposalimia kwa kupeana mikono kwahiyo hapo kwa magufuli ni sawa kabisa Tena 100% naweza sema amepita bila kupongwa katika kipengele cha ukakamavu/ushupavu wa physic ya mwili
 
Hata Obama amepata kufanya hvyo.Ni jambo la kawaida ktk kampeni.Mf.Lowasa kila anapoenda anaahidi kazı yake ya kwanza atakapoingia Ikulu itakuwa ni kutatua moja ya matatızo ya ma maeneo hayo.Kwa maeneo alıyokwisha zunguka ni wazi anaongopa.Au kila anapoenda anaahıdı kamatı au tume ya kushughulikia matatizo ya watu wa maeneo hayo.Mpaka sasa ameshaahıdi kuunda tume 18,huo nao ni uongo.Hyo ndiyo asılı ya siasa.
 
Huko ni dalili za kuchanganyikiwa! Hatuhitaji Rais wa namna hii! Pushup apeleke dojo
 
Hana washauri wazuri! Kama akina Abdallah Bulembo ndo washauri,kuna siku atavua hadi suruali kuonesha kuwa yeye ni mwanaume baada ya kusikia mbona mke wako hatumuuoni kwenye kampeni?
hivi watanzania tuna historia ya kubagua watu kwa afya zao toka lini. naona hapa tayri huyu mgombea anaanza kutengeneza ya watu kuchukia watu wenye afya chache. akumbuke Lowassa ni kaka yake ambaye anamuachia ziwa mara pili au tatu. kwahiyo hawawezi kuwa na kipimo sawa cha utimamu wa afya. by the way the health status diminishes faster as you grow older and older after 50 years of age.
 
Kichwa cha jamaa naota sometimes huwa hakiko vizuri kinapata moto na anakurupuka tu Mola MPE busara uraisi hauhitaji mihemko ya kijinga


That why i love you Diva, ni wanawake wachache wanaweza kufikiri nje ya box.

Kitendo hicho cha push up kinanipa wasiwasi mkubwa sana juu pycho - social development ya huyu jamaa. It is childish and insanity all together.

Anahitaji msaada mkubwa sana.
 
Washauri wake ni watu wenye upeo mdogo kama Lusinde, Joseph Msukuma, Bulembo, Makamba, ... utategemea nini zaidi ya utoto huo aliyoonyesha!
Bulembo alishindwa uchaguzi wa udiwani Kijitonyama 2010!!!
 
Samahani, umejibu swali?

Labda kwa kukukumbusha, ningependa kujua motive behind hizo push ups. Kwanini amezifanya na anataka kutuaminisha nini. Nahitaji kujua tu nisije nikakurupuka kuongea.
Ni kukumbusha kuwa kikombe cha Samunge kilisaidia.
 
"Bwana ataleta hukumuni kila kazi, na kila neno la siri liwe jema au baya"

Anaheri Ishmael atakayedumu milele na mwili wake usioharibika!!!

sina chama chochote cha siasa,ila sipendi kumsimanga mtu kwa afya yake hujui wewe kesho utaumwa ugonjwa gani,kwangu sera niza muhimu sana kuliko hivyo vyooote
 
Last edited by a moderator:
Ni wakati muhimu katika historian ya mgombea yeye kama ye ye hata akishindwa au akishinda bado anawajibika kuwa mpole na mkweli jukwaani, wanapaswa kuwa mnyenyekevu kwa wapiga kura, wanapaswa kuwa msikivu kwa kuomba aulizwe vijimaswali akate kiu ya wenye kiu ya kupata mtu muadilifu mkali lakn mpole kwao.

Marais wanaowania wanakuwa makinibwanapoongea hotuba zao. zile za Obama bado zinatumika hasa kipindi hki cha smartphone, video clip zitasambaa. ukiwa Rais msanii hujatulia, unakurupuka humpati mtu. watakaokuelewa hakika ni wachaçhe wengi wanakuona mwehu, au mwendawazimu.

Ukiwa rais unabeba heshima zote
Tuliomuelewa Magufuli tutampigia kura zetu. Ametuonesha kuwa hata kiafya yuko fiti, kiutendaji hatuna shaka nae kabisa sababu utendaji wake umetukuka na Magufuli ni mchapa kazi hasa, hilo halina ubishi. Mgombea wa UKAWA, Lowassa ana makandokando mengi sana yanamzunguka. Kiafya ndio kabisa usiseme, jamaa ni dhaifu sana. Kama anabisha apige Push-up moja tu tuone kama hajaachia kinyesi papo hapo na kukimbizwa ICU. CHAGUA MAGUFULI #HapaKaziTu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom