Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.
UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg

LOWASSA HANA UWEZO WA KUPIGA PUSH UPS KAMA HAWA WAZEE WA KAZI
NYIE BEBENI MZIGO WENU KWA HELICOPTER MPAKA KIYAMA YENU OCTOBER 25
​
Akijaribu, hali ya Geita inajirudia mara kumi.
 
Yaani kaambiwa kuhusu afya anapiga push ups
Akiambiwa hajatairiwa je...atatuonyesha dudu???
 
Watu wanataka maji , umeme, afya bora , elimu bora na ajira.
Hayo mambo ya push up na kudhiaki na kubeza afya za wagombea wengine hayana faida kwetu.

Sorry for my comments on that. Hivi Maghufuli angeambiwa hajaondolewa suna (kutahiriwa) ingekuaje? Nadhani anguvua suruali nakuonyesha how he is. Ni aibu kubwa mno kwa nafasi anayoiomba. Nashauri apimwe akili yake.
 
Ni wakati muhimu katika historian ya mgombea yeye kama ye ye hata akishindwa au akishinda bado anawajibika kuwa mpole na mkweli jukwaani, wanapaswa kuwa mnyenyekevu kwa wapiga kura, wanapaswa kuwa msikivu kwa kuomba aulizwe vijimaswali akate kiu ya wenye kiu ya kupata mtu muadilifu mkali lakn mpole kwao.

Marais wanaowania wanakuwa makinibwanapoongea hotuba zao. zile za Obama bado zinatumika hasa kipindi hki cha smartphone, video clip zitasambaa. ukiwa Rais msanii hujatulia, unakurupuka humpati mtu. watakaokuelewa hakika ni wachaçhe wengi wanakuona mwehu, au mwendawazimu.

Ukiwa rais unabeba heshima zote

inauma sana pale mnapo gundua mamvi akipiga moja atachafua hali ya hewa akiongeza ya pili hoi kitandani akiongeza nyinge tunaenda kuzika na pesa za mgao zitakuwa mwisho wake na wale watakao daiwa na marehemu hawatoonekana msibani
 
Wabongo bwana wanatabu especially upande wa opp dah hatari sn .bora ifike hiyo oct tumalize tujue mbichi na mbivu.
 
Si ana PhD huyu mheshimiwa?

Mimi labda nifahamishwe tu, what point was he trying to prove, and why. Basi. Nisaidieni kujua hili.
Mkuu, ukisikia mtu ana pHD Holder au Professor, kabla ya kuchukulia kwa ujumla kwa anajua kila kitu, jiulize ni pHD au Prof. wa nini, sitarajii kama Prof au Dr, wa Sayansi asili atakuwa mahiri katika mambo ya Sayansi ya Jamii na kinyume chake, Hebu fikiria Dr. wa Chemistry, unategemea atakuwa anajua faida ya social capital kwa maana ya mahusiano mazuri ya watu ?
 
Magufuli muhuni sana aisee. Alafu zile push ups alikunja ngumi huku anapiga
 
Tuliomuelewa Magufuli tutampigia kura zetu. Ametuonesha kuwa hata kiafya yuko fiti, kiutendaji hatuna shaka nae kabisa sababu utendaji wake umetukuka na Magufuli ni mchapa kazi hasa, hilo halina ubishi. Mgombea wa UKAWA, Lowassa ana makandokando mengi sana yanamzunguka. Kiafya ndio kabisa usiseme, jamaa ni dhaifu sana. Kama anabisha apige Push-up moja tu tuone kama hajaachia kinyesi papo hapo na kukimbizwa ICU. CHAGUA MAGUFULI #HapaKaziTu

duh! moja tu mtu 💦💨💨💩💩💩💩💩💩😷
 
LOWASSA HATA WAMFANYIE MAOMBI HATO WEZA KUPIGA PUSH UP HATA MOJA

12009731_831585376940774_3930244626847154494_n.jpg


​



12039428_831585543607424_8714086943846259701_n.jpg


11863353_10153453536024504_5409480389151296823_n.jpg
11200796_10153453536094504_53821265391532711_n.jpg

Mheshimiwa Magufuli anaendelea kumtesa Lowassa kila nyanja, leo anapiga "push-ups" mbele ya halaiki ya watu. Huu ni ujumbe tosha kwa Lowassa kuwa Ikulu sio sehemu ya kuchezea.

Haya sasa washabiki wa Ukawa, mleteni Lowassa na yeye atuonyeshe ujasiri huu. ​

​

Completely nonsense. You should know age factor matters a lot. Even in soccer a 25 years player cant compete with a player who is over 30. What you should understand each day that goes by the body does deteriorate.I'm not so sure whether he can do the same in ten years to come. Ten years ago I'm sure Lowassa would be able to do and much more than that, now it might not be possible.We're looking for a head of state who has the ability and wisdom to lead and not a wrestler.
 
Push up ni bora Mara elf zaidi ya usanii wa kula gengeni mbagara au kupanda daladala. Kipi bora kuthibitisha umuhimu wa mazoezi kwa afya au kusambaza faida ya kula gengeni matajiri Wetu?
 
Ccm hiyo ndooo hali nahuyo ndooo mgombea wenu .saisi watz tu ata sele hiyo pushap .aende jkt.urais hatumpi .lowassa atosha mnyenyekevu mchapakazi .mtuwawatu.nasio ngonvi kama Hugo magu.
 
Kwanini hatujifunzi tu! Propaganda kwenye siasa sio maneno tu ni mpaka matendo yanatumika, it's just a modern day vision intimidation theory kind of propaganda! Wanasiasa wanapofanya hivi wanadhamiria kuuweka ubongo wako na fikra zako katika tuko hilo, nia na madhumuni u focus zaidi kwake then usahau ya kwako!

Anachokifanya Magufuli ni kuweka fikra za watu wengi katika uhalisia wa kile kinachoendelea katika minongono na majibizano miongoni mwa wapiga kura na wafuasi wa vyama vya Siasa, watu tumesahau kuhoji kuhusu Sera na namna ya utekelezwaji wake, tumesahau kabisa kuuliza madeni ya ahadi za miaka kumi iliyopita eti tumejikita zaidi kwenye ushabiki na mahaba!

Kama kweli tunayataka mabadiliko tujitahidi tusiende mrama, tusimamie kwenye hoja, tuache kuyasaka madhaifu yao, tuzame zaidi kujua na na kuchunguza kiundani nani anatufaa kwa lipi na nani hafai kwa sababu zipi! Tujipange kujua ni nini tunakihitaji ndani ya miaka 5 ijayo!

Hizi propaganda za huyu amefanya hivi me nitafanya vile zimepitwa na Wakati, bahati yetu nzuri ni kwamba wagombea wote wa mwaka huu wamewahi kuwa watendaji ndani ya serikali!

lowasa4.jpg
 
Ikulu sio sehemu ya mabausa,huko nikuishiwa sera bola angewaluhusu watu wamulize maswali sio pushap naona kajishusha kidogo
 
Kuongoza nchi kunahitaji mtu makini mwenye afya njema na akili timamu. Madaktari siku zote wanatushauri kufanya mazoezi kwani ujenga afya na akili pia. Urais ni cheo kikubwa sana kwenye nchi yoyote dunia, rais huwa anatakiwa afanye maamuzi ya msingi kutegemea utimamu wa akili yake ambayo huwa inajengwa na sambamba kabisa na afya njema. #Tafakari
 
Mi naona kama bado kuna shida kiafya. Ukipiga push up lazima mgongo unyooke wakati wote kama alivyo Obama

Push up ziko za aina nyingi,hiyo ya Magufuli ndiyo ngumu zaidi,jaribu kuwauliza wanaojua watakwambia.Jamaa kweli ni mtu wa mazoezi
 
Cha ajabu wale walumumba wanaona bonge la tangazo kumbe aibu tupu! Kila mahali wanaiweka pamoja na ya Obama akipiga push up lakini kwa vile ni akili ndogo wanasahau kuwa Obama yuko uwanja wa Basket Ball huku Magufuli yuko jukwaani na mkononi yuko na Kipasa sauti-angekuwa anakata mauno pengine tungesema labda Diamond kaweka vitu huko nyuma ya jukwaa.


 
Kwa hakika mgombea hajaelewa maana ya people's power. Slogan ya people power(pp) inalenga kuamsha ari ya mabadiliko katika kufanya maamuzi hasa hasa katika kuondoa Mfumo kandamizi wa utawala uliowadanganya watu wake kwa miaka mingi iliyopita. Peoples' power ni nguvu ya kuamua kuondoa mfumo kandamizi kwenye sanduku kwa kupiga kura ya ndio ili kuiondoa serikali iyoshindwa kuwatumikia watu badala yake inajiimarisha ili kuwakandamiza wananchi wake hali wao na familia zao wakiishi kama wako pepepon. Peoples' power sio mabavu ya kupambana jambo ambalo si utamaduni wetu katika tanzania. Kama ni kufanya mazoezi yake afanye , iwe ya itv au gymn zilizotapakaa jijini dar ni sawa lakini ushindi wa sanduku la kura si wa push-up
 
Ni wakati muhimu katika historian ya mgombea yeye kama ye ye hata akishindwa au akishinda bado anawajibika kuwa mpole na mkweli jukwaani, wanapaswa kuwa mnyenyekevu kwa wapiga kura, wanapaswa kuwa msikivu kwa kuomba aulizwe vijimaswali akate kiu ya wenye kiu ya kupata mtu muadilifu mkali lakn mpole kwao.

Marais wanaowania wanakuwa makinibwanapoongea hotuba zao. zile za Obama bado zinatumika hasa kipindi hki cha smartphone, video clip zitasambaa. ukiwa Rais msanii hujatulia, unakurupuka humpati mtu. watakaokuelewa hakika ni wachaçhe wengi wanakuona mwehu, au mwendawazimu.

Ukiwa rais unabeba heshima zote


Preseident Bouteflika wa Algeria Mbona you kwenye Kiti cha Magurudumu bado anapigiwa Kuranyingi za ushind?



2Q==
 

Attachments

  • President Bouteflika of Algeria.jpg
    President Bouteflika of Algeria.jpg
    74.6 KB · Views: 125
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom