Magufuli kuondoa 'Mawaziri vivuli' bungeni

Magufuli kuondoa 'Mawaziri vivuli' bungeni

Unatuelza bila kusema chanzo cha hizo habari umekipata wapi.inakuwa ngum kuaminika hiyo habari yako

Tuwe na tabia yakupongeza vitu vizur hata kama vinatubana ila kama vina maslah kwa taifa tusahau vyama vyetu.Sasa naona kwakua mawaziri vivuli wapo upinzani unatokwa na povu
 
Kama kweli kasema hivyo anahitaji kupewa elimu ya "democratic governance" kwani hizi ni dalili za udikteta
 
Kama ni kweli Magufuli kaongea kuhusu kufuta Mawaziri vivuli basi anatakiwa arudi Shule ajifunze somo la Uraia/Siasa. Nimeamini maneno ya Profesa Mwandosya kuhusu Magufuli.
 
Mawaziri Vivuli hutoka upande wa upinzani, Moja ya shughuli Zao Kubwa Ni kutoa ushauri ama kuikosoa serikali katika wizara husika kwa kutoa bajet mbadala.
Sasa Kama Huyu mgombea wenu Hajui Hata Umuhimu wa mawaziri vivuli Mwambieni afute pia mfumo wa vyama vingi nchini, Na kwakuwa huyu sifa yake kuu ni kukurupuka basi atafanya hivo.
 
This guy is so erratic, kila kinachompitia kichwani hata kabla hajakifanyia analysis, yeye anatokota tu. Sasa hao mawaziri vivuli wanalipwa zaidi ya wabunge wengine? Au ameamua ku-concede kiaina kwa kuwa mawaziri vivuli huwa ni wabunge kutoka kambi ya upinzani.
 
Huelewi hata ulichoandika. Na vilaza ni wengi kweli nao wanakupongeza na kukushabikia
 
Magufuli ndio Rais ajae, hao wengine hawaeleweki hata sera hawana.

Raisi wa ukoo wenu anafaa.
Magufuli anasema atawaondoa mawaziri vivuli bungeni?hajui hata sheria za bunge pamoja na kuwa mbunge miaka 20?
 
Ukawa wakisikia hivi wanaanza kutetemeka. Eti hata Msigwa nae alikuwa anajiita waziri kivuli. Thubutu chini ya Magufuli. #HapaKaziTu

Acha kujitekenya utaratibu wa mawaziri kivuli ni wa kikatiba sio sheria na ili ubadili ni lazima utaratibu wa kura ya maoni ufuatwe. Ukiondoa mawaziri kivuli means huwezi kuwa na mawaziri.kumbuka huu ni mfumo wa vyama vingi.
 
watu wanaushabiki wa kipuuzi sana..ktk bunge lolote duniani lenye mfumo wa vyama vingi uwaziri kivuli ni kanuni ya lazima..sasa pombe anaifuta vipi?na bunge likitaka kupata ripoti ya upinzani wanazipata wapi kama sio kwa hao mawaziri vivuli..achaeni ushabiki maandazi..kitu kama hujui kaa kimya ..no research no right to speak
 
Yaani ni tabu. Magufuli hajui kwa mini duniani pote wameona umuhimu wa mawaziri vivuli na washabiki wake nao hawajui.
Kweli CCM ni chaka la ujinga. Pamoja na kukaa bungeni miaka ishirini pengine hana hata taarifa utaratibu huo ulianzaje. Naanza kupata mashaka na weledi wake huyu jamaa

'#hapa kazi tu!'
 
Huyu Magufuli hajielewi na haelewi nini kinafanyika....
Kama Bunge lina wapinzani panaundwa kambi rasmi ya upinzani ambayo kambi hiyo hutoa mawaziri vivuli pia ili kutoa bajeti mbadala wa ile ya serikali
 
Dr Magufuli katika mpango wake wa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyokuwa ya Lazima, anatarajia kupunguza baraza la mawaziri, watakaokuwa wachache na wenye viwango stahiki.

Aidha pia anatarajia kupeleka mswada bungeni wa kuondoa mawaziri vivuli ili pia kupunguza gharama zisizo za lazima. Misamaha ya kodi kwa Wabunge nayo ni miongoni mwa marekebisho atakayoanza nayo Dr Magufuli.

Mleta mada na wanao kushangilia ni wajinga watupu na mnakiabisha chama chenu kwa kushangilia Mawazo ya kiabunwasi! Kama hata huyo mgombea wenu kayatamka hayo maneno basi ni kielelezo kwamba ni mbumbumbu kabisa kuliko tulivyo waza mwanzo.
 
suala la mawaziri vivuli lipo kikatiba sasa atatumia mamlaka gani kuvunja katiba ya nchi,anachoweza kukifanya ni kupunguza ukubwa wa baraza kitu ambacho automatically kitapunguza mawaziri vivuli pia
Hii inatoa picha kuwa huyu ni mtu wa kukariri,haijui katiba na ni wa kufikiri atakuwa juu ya sheria.
CCM mwaka huu mmebugi
 
Kama mawaziri waliokuwepo wengi walikua incompetence mpaka kulazimika kubadili badili tutegemee kuona Magufuli akipoteza tu.
 
Tuwe na tabia yakupongeza vitu vizur hata kama vinatubana ila kama vina maslah kwa taifa tusahau vyama vyetu.Sasa naona kwakua mawaziri vivuli wapo upinzani unatokwa na povu

Ni kweli kamanda hawa jamaa wameanza kutoa mapovu haswa.
 
Back
Top Bottom