Viva magufuli kweli punguza tu hakuna umuhimu wowote vivuli vivuli futa kabsa
Ukawa wakisikia hivi wanaanza kutetemeka. Eti hata Msigwa nae alikuwa anajiita waziri kivuli. Thubutu chini ya Magufuli. #HapaKaziTu
Mkuu hivi kweli unafahamu utaratibu wa mabunge ya jumuia ya madola?Dr Magufuli katika mpango wake wa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyokuwa ya Lazima, anatarajia kupunguza baraza la mawaziri, watakaokuwa wachache na wenye viwango stahiki.
Aidha pia anatarajia kupeleka mswada bungeni wa kuondoa mawaziri vivuli ili pia kupunguza gharama zisizo za lazima. Misamaha ya kodi kwa Wabunge nayo ni miongoni mwa marekebisho atakayoanza nayo Dr Magufuli.
You don't need to resort to English to be understood. Our national language is such a beautiful and self-sufficient language....Besides if he is really serious about spending cut he must concentrate on eliminating waste and unnecessary spending like overseas trips, ghost workers and pensioners, luxury goods such as V8 vehicles and making excessive payments on seminar participants while they are on duty in the first place
Yaani ni kweli Magamba mmechanganyikiwa! Hili suala lipo kwa mujibu wa katiba, Sasa Magufuli ndani ya CCM atalitoaje hili na wakati CCM wao ndio watakua wapinzani? Una uhakika CCM watakidhi akidi katika bunge lijalo? Hili suala ni Sera ya UKAWA watakaporudisha katiba ya Warioba.Msidandie magari ya watu kama lenu ni bovu.Dr Magufuli katika mpango wake wa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyokuwa ya Lazima, anatarajia kupunguza baraza la mawaziri, watakaokuwa wachache na wenye viwango stahiki.
Aidha pia anatarajia kupeleka mswada bungeni wa kuondoa mawaziri vivuli ili pia kupunguza gharama zisizo za lazima. Misamaha ya kodi kwa Wabunge nayo ni miongoni mwa marekebisho atakayoanza nayo Dr Magufuli.
Mkuu hivi kweli unafahamu utaratibu wa mabunge ya jumuia ya madola?
Kama hajui hata faida ya mawaziri vivuli, basi hatufai.
Kwa taarifa yako hao vivuli hulipwa posho kama mawaziri, thats Magufuli anaenda kuondoa kitu hiyo
Hana uwezo kisheria kufanya hiyo kitu kama vile hawezi kuondoa vyama vya upinzani. jifurahisheni tu. Besides if he is really serious about spending cut he must concentrate on eliminating waste and unnecessary spending like overseas trips, ghost workers and pensioners, luxury goods such as V8 vehicles and making excessive payments on seminar participants while they are on duty in the first place