mafundisho
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 388
- 136
Kufuta mawaziri vivuli ili kubana matumizi ni sawa NA kusema unafuta tume ya uchaguzi au vyama vya siasa. Haiwezekani. Demokrasia ni Gharama. Labda ataangalia sehemu nyingine na sio hiyo uliyotunga wewe. Yeye sio mjinga wa kutolijua hilo.
Magufuli hafanyi kazi kwa mazoea, anaamini katika utendaji wake.