Magufuli kuondoa 'Mawaziri vivuli' bungeni

Magufuli kuondoa 'Mawaziri vivuli' bungeni

Josorobert

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
629
Reaction score
215
Dr Magufuli katika mpango wake wa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyokuwa ya Lazima, anatarajia kupunguza baraza la mawaziri, watakaokuwa wachache na wenye viwango stahiki.

Aidha pia anatarajia kupeleka mswada bungeni wa kuondoa mawaziri vivuli ili pia kupunguza gharama zisizo za lazima. Misamaha ya kodi kwa Wabunge nayo ni miongoni mwa marekebisho atakayoanza nayo Dr Magufuli.
 
Dr Magufuli katika mpango wake wa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyokuwa ya Lazima, anatarajia kupunguza baraza la mawaziri, watakaokuwa wachache na wenye viwango stahiki. Aidha pia anatarajia kupeleka mswada bungeni wa kuondoa mawaziri vivuli ili pia kupunguza gharama zisizo za lazima. Misamaha ya kodi kwa Wabunge nayo ni miongoni mwa marekebisho atakayoanza nayo Dr Magufuli.

Safi sana Magufuli, piga kazi.
 
Magufuli ukifanya hivo, utairudisha CCM kwenye mstari. CCM itashika dola milele.
 
kwani mawaziri vivuli wanalipwa mshahara tofaut na wabunge wengine???

gharama gani zinaongezeka wakiwepo??
 
Dr Magufuli katika mpango wake wa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyokuwa ya Lazima, anatarajia kupunguza baraza la mawaziri, watakaokuwa wachache na wenye viwango stahiki.

Aidha pia anatarajia kupeleka mswada bungeni wa kuondoa mawaziri vivuli ili pia kupunguza gharama zisizo za lazima. Misamaha ya kodi kwa Wabunge nayo ni miongoni mwa marekebisho atakayoanza nayo Dr Magufuli.

Huyu ndio tuliyekua tunamtaka sisi ni kiongozi mzuri sana Hongera Magufuli kuliona hilo
 
kwani mawaziri vivuli wanalipwa mshahara tofaut na wabunge wengine???

gharama gani zinaongezeka wakiwepo??

Kwa taarifa yako hao vivuli hulipwa posho kama mawaziri, thats Magufuli anaenda kuondoa kitu hiyo
 
Ukawa wakisikia hivi wanaanza kutetemeka. Eti hata Msigwa nae alikuwa anajiita waziri kivuli. Thubutu chini ya Magufuli. #HapaKaziTu
 
Dr Magufuli katika mpango wake wa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyokuwa ya Lazima, anatarajia kupunguza baraza la mawaziri, watakaokuwa wachache na wenye viwango stahiki. Aidha pia anatarajia kupeleka mswada bungeni wa kuondoa mawaziri vivuli ili pia kupunguza gharama zisizo za lazima. Misamaha ya kodi kwa Wabunge nayo ni miongoni mwa marekebisho atakayoanza nayo Dr Magufuli.

Sawa headgirl wa Masaki IT Centre kwa mawazo yako ya "Ki-Pre form one,usilolijuwa ni kwamba,nafasi hizo unazotamani zifutwe na Makomeo,hazikuwekwa kwa hisani ya Lumumba fc project fame,ni utaratibu wa mabunge yote ya nchi zilizo na mfumo wa vyama vingi.Lengo lake ni kuleta mawazo mbadala katika uendeshaji wa serikali.Hoja yako ni sawa na kusema Kamati za kuisimamia serikali zifutwe,jambo ambalo litalifanya bunge letu kuwa kinyume na mabunge mengine duniani hususan mabunge ya nchi za Jumuia ya Madola.
 
Viva magufuli kweli punguza tu hakuna umuhimu wowote vivuli vivuli futa kabsa
 
Back
Top Bottom