Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Inaonekana Magufuli ana furaha kutuona watanzania wote makapuku.Yaani ana mawazo ya kimaskini
Msifanye masihara na kumfirisi lowassa na mnaweza mkute nyinyi ccm ndio mtafirisika
Yeye na wenzake mafisadi watafilisiwa. Magufuli yupo siliace na kazi yake.
Hebu niulizie kwa magufuli hapo lini atarudisha hela zetu alizonunulia kivuko chakavu? Lini atarudisha hasara aliyosababishia serikali kwa kukurupuka kukamata meli yenye vibali vya kimataifa vya uvuvi? Ukiona kama anapata kigugumizi hebu mwulize mbona barabara zake ziko chini ya kiwango? Mathalan toka chato kwenda bukoba viraka ndio vimejaa barabaran?
Yeye na wenzake mafisadi watafilisiwa. Magufuli yupo siliace na kazi yake.
Yeye na wenzake mafisadi watafilisiwa. Magufuli yupo siliace na kazi yake.
Diamonda hana mvuto tena baada ya kupuuzwa na wananchi.... Kwa sasa CCM wana mpango wa kupiga chini wasanii 34 kati ya wale 56 ili fedha hizo wampatie Chamelion apige show kanda ya ziwa....
Hakuna kitu kama hicho. Magufuli ni maarufu huko kuliko unavyodhani, waulize kina wenje watakujulisha. Mtu anapotea jukwaa, muda wote anaongozwa tena kwa kushikwa mkono, unategemea nani atamuamini? Nyinyi ni wakatili sana. Mnamkomalia tu Mzee wa watu Mkimpamba ili tu ajisikie yuko timamu kwa matarajio kuwa mtachukua nchi wakati mnaju kabisa hali yake. Kwanini msimpe break ya hata siku 5 tu?
Wewe umetumwa,utendaji wa Magufuli sio wenye kupoteza kumbukumbu kama mzee wenu.
MAJIZI siyo ya kuchekea.
Hivi unajua matumizi ya kampeni yalivyo? Sasa linganisha na matumzi ya kampeni ya Lowassa mwanzoni wakati anaanza. Si lazima utujibu,katulie utafakari.Anamfilisi vipi? Huu ni upu mbavu wa migazeti ya kijingakijinga,,watu wanafilisiwa hivyo ? Hizo ni kelele tu na ujinga ulowajaa hawa watu wasiojua wafanyacho.
Wafuasi gani? Wahindi wamekata kamba sasa hivi kwa kukosa kwake wafuasi. Unadhani nyinyi wenye kelele nhumu ndio wafuasi. Wahindi wamemtathmini wakamuona ni liability, sasa wamemkacha. Angekuwa na wafuasi, wahindi wangekuwa wanamuunga mkono mpaka kesho. Kaa chini uugulie lakin sio kubisha.
Bado siku chache , hili jambazi lenu mtalikana.
Hahahahaha eti Magufuli ni maarufu.... Hahahaha, haya ngoja nikuache.... Ila kama unataka kujua ulisemalo ebu tembelea hapa Sumve afu utake jina la Magufuli kama wanamjua.... Hahahahaha endeleeni kumdanganya...
Anapozomewa kama jana Mbeya ndio nafkiri anaanza kupata akili kuwa hali ni ngumu...