Magufuli kumfilisi Lowassa

Magufuli kumfilisi Lowassa

jizi hili kwenye mwamvuli wa mtu mwema, atuambie:-
1.nyumba za taifa ziko wapi?
2.pesa za kuwalipa wakandarasi ziko wapi?
3.pesa za kuwalipa wavuvi wa kichina analipa nani? Kama ni serekali na sio yeye kwanini alituingizia hasara katika umaskini huu bado!!!then awe raisi wa wapi?
4.wamuulize j.k kwa bhaharesa walikurupuka wakamlipa nini? Kama sio hasara kwa taifa hili? Huyu jamaa ana thinking problems...na watu kama hawa wasio na hekima wanaweza kulisababishia taifa hasara kubwa sana !!!!!badala ya kupiga kampeni yeye anapiga watu mkwara:-
1.wawekezaji.
2. Wafanyabiashara
3.watumishi mbalimbali.
Nb:
ATApoteza uchumi mara mbili ya utawala uliopita huyu.
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndio wanamuongezea lowassa wafuasi.

swissme

Lowassa kashaifilisi CCM.... Saizi wana mpango wa kumleta Chamelion wa Uganda ili akapige show Mwanza

Naona hii post mmejazana mashetani wa lumumba

Msifanye masihara na kumfirisi lowassa na mnaweza mkute nyinyi ccm ndio mtafirisika

Mhh..kwa hii taarifa nadhani vibaka mtaharisha uharo mzito zaidi ya ule wa.....
Cc: nifah Diva Beyonce
 
Last edited by a moderator:
Kiujumla uchaguzi wa mwaka huu ccm wanahangaika sana. yaani muda wote wanahangaika kupangua watendaji wa tume ya uchaguzi. yaani ni aibu sana kwa chama kikongwe kama ccm kuhangaishwa na upinzani. nimeamini ccm imefika ukingoni.
 
Only fools rush in where the angels fear to tread! Acheni kumdanganya Magufuli. Bila shaka hata yeye anazo kichwani za kumtosha kuelewa kuwa vita dhidi ya ufisadi huko CCM ni suala la "lip service"; ni kinyume kabisa na ajenda zao. Kuitekeleza ni kutaka kupaliwa hadi kupata kifafa!

Huo ubavu wa kumgusa Lowassa autoe wapi? Yaani ajifanye kutoona wenye chama walivyotulia kama mabundi wakisubiri kutua juu ya paa la mnoko yoyote mwenye kiherehere cha kutibua misheni zao? Bila shaka Magufuli anajua vizuri sana jeuri ya Lowassa inatoka wapi. Msiwafanye Watanzania wajinga; si Magufuli wala CCM yake wenye janja mbele ya ufisadi zaidi ya kubwekabweka tu Kama vijibwa mbele ya chatu aliyetulia akiwasoma taratiib.
 
Hapo ndio wanamuongezea lowassa wafuasi.

swissme

majizi kwa magufuli lazima wakae watu wasiibe halafu waachwe tu waendelee kutesa kwa pesa walizotuibia hapana.
 
DSC00825.jpg

Sheria kuchukua mkondo wake.
 
Asiwe lowasa tu na anao ongozana nao wote akiwemo sumaye
 
Bora hata yy chato kuna barabara za rami zenye viraka! Je mamvi kawafanyia nn huko monduli?. Kuwa makini mburula ww!
 
Kiujumla uchaguzi wa mwaka huu ccm wanahangaika sana. yaani muda wote wanahangaika kupangua watendaji wa tume ya uchaguzi. yaani ni aibu sana kwa chama kikongwe kama ccm kuhangaishwa na upinzani. nimeamini ccm imefika ukingoni.

Tatizo lako nkongu ndasu hujijui. Lala salama
 
Tatizo huelewi kuwa Mbowe ashaweka reverse kwenye gari la UKAWA halafu wewe mawazo yako yanakufikirisha kuwa bado unaenda mbele. Wenye IQ kubwa washashuka.

Watu hawajui. Nimekuwa Nikisema humu kuwa wao wanashabikia tu wakati hawajui kinachoendelea nyuma ya picha. Ni kwamba Mbowe ameishapause kuhusu swala la kuingia Ikulu na mipango yake ni kukijenga chama na kati ya mikakati yake ni pamoja na kufungua vituo vya redio na television.
Mashabiki wao hata hawafuatilii taarifa, wanakaaa tu kupiga kelele wakati kinachoendelea ni kukamilisha tu zoezi la kampeni ili mambo yaishe.
 
Achana na slogan za Mbowe mwizi
 
Yeye atafilisiwa na nani:what: au ndio ataendelea kuneemeka na kuneemesha ndugu:what:
 
Kwa hela ipi? Hivi ameishauza Godown la Pugu road? Angekuwa na pesa, asingeweka mali ya dola milioni 10 sokoni kwa dola milioni 5. Mlitegemea angekuwa na uhitaji wa Dollar milioni 5? Muwe mnakaa kimya

duuuh Lowasa fisadi wa ajabu sana ....mabilioni yote aliyonayo mpaka Magufuli anataka kumfilisi anahangaika kutafuta bilion tano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom